Naingiza milion 22 kwa mwezi kwa biashara ya kuuza Mapapai shambani

Shamba yako iko kwa wapi ili nikuje nikuunge mkono upate kabisa 44m kwa kila mwezi mumoja?
 
Money hebu tuone picha zake zikoje za papai yana uzito kilo ngapi.
 
Umewekeza sh.ngapi?maana hizi stori hazina tofauti na za yule Manguruwe,ambaye kwa sasa anashikiliwa na vyombo vya serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…