Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Mimi hunipati kiboya ivokama wewe sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi hunipati kiboya ivokama wewe sio?
sawa lakini mpaka umekuja ku comment nilishakukamata muda sana, poyeeeeeeeeeeeeeeeeMimi hunipati kiboya ivo
UKiitiwa fursa jua we ndo unaenda kuwa fursaPapai ni code? Au ni papai kweli......
Unanichosha Tu na stori zakonjoo inbox nimekutumia namna
Wahuni sio watu wazuriUKiitiwa fursa jua we ndo unaenda kuwa fursa
Zipi?Unanichosha Tu na stori zako
Huko inbox kuna kipi cha maana unatuma mkuu zaidi ya stori zakoZipi?
Hii hesabu yako kila nikiipiga simu inaandika"Chai" kwa hesabu tu ya kawaida haiwezekani, yaani kwa siku unauza karibia papai 490!!hahaaaaHaya kama mlivyosoma ni kweli
Hakuna biashara ina hela kama mapapai
Na hakuna biashara rahisi kama papai
Papai moja shamba linauzwa tsh 1500 moja
Mtaani wanauza tsh 3000 moja
Kilimo chake rahisi sana ila usilime wakati wa mvua, papai inataka maji kidogo tu kwa siku
Mbolea sio sana mche wa papai tsh 3000 mmoja
Sasa endelea kusema maisha magumu, nimekaa pale youtube uje nakufundisha kupata hela
Its good 👍 average kinalipabaada ya mavuno
Tupe maelekezo mkubwa, hatupati usingizi kabisa usikuMaganda yake ni dawa ya kukosa usingizi
Chukua maganda ya ndizi ambayo yako vizuriTupe maelekezo mkubwa, hatupati usingizi kabisa usiku
Wewe ni daktari?Chukua maganda ya ndizi ambayo yako vizuri
1. Kata kata vipande kisha chemsha kwa dk 10 kwenye moto mkali (Moto wa gesi ni bora zaidi)
2. Maganda ya ndizi ukiyachemsha kwa dakika 10 yatatoa Tryptophan na Amino acid, ambazo husaidia kuzalisha hormones zinazosababisha usingizi ambazo ni Serotonin na Melatonin.
3. Ikiwa una tatizo la Insomnia au kuamka mara kwa mara nyakati za Usiku (Kukosa usingizi) hii ni tiba tosha pasipo kutumia madawa ya Hospital.
4. Baada ya kuyachemsha kwa dk 10 yachuje kwa chujio la chai
5. Kunywa kikombe kimoja cha chai kwa matokeo mazuri zaidi weka kijiko kimoja cha asali koroga vizuri na unywe nusu saa kabla ya kulala.
6. Asali huruhusu tryptophan kuingia kwenye ubongo kwa urahisi zaidi.
Asante sana 🤝Chukua maganda ya ndizi ambayo yako vizuri

HapanaWewe ni daktari?
🙏Asante sana 🤝
uje whatsapp kuna vya maana zaidiHuko inbox kuna kipi cha maana unatuma mkuu zaidi ya stori zako
na ndio imekuvutia mpaka ukaja kuandia commentHi
Hii hesabu yako kila nikiipiga simu inaandika"Chai" kwa hesabu tu ya kawaida haiwezekani, yaani kwa siku unauza karibia papai 490!!hahaaaa
hahahaha kweli umenenamiaka ya nyuma huko...kuna kampuni ilitaka kuniajiri kusimamia mapapai huko kigamboni..nikazoom nikaona haiwezekani yaani wamejenga na kajumba hukohuko shamba nitulie huko...yakikomaa ndio nije mjini...nikagoma mbona mimi mwenyewe naweza yalima simpo tu...ila yanalipa sana hayo madude...wala huna stress nayo......hata mlaji anapata burudani akienda msalani fasta anarudi kama alienda toa haja ndogo kumbe alienda kubwa 😎 😛
Sawa. Asante sana kwa elimuHapana