Naingiza milion 22 kwa mwezi kwa biashara ya kuuza Mapapai shambani

Naingiza milion 22 kwa mwezi kwa biashara ya kuuza Mapapai shambani

Haya kama mlivyosoma ni kweli

Hakuna biashara ina hela kama mapapai

Na hakuna biashara rahisi kama papai

Papai moja shamba linauzwa tsh 1500 moja
Mtaani wanauza tsh 3000 moja

Kilimo chake rahisi sana ila usilime wakati wa mvua, papai inataka maji kidogo tu kwa siku

Mbolea sio sana mche wa papai tsh 3000 mmoja

Sasa endelea kusema maisha magumu, nimekaa pale youtube uje nakufundisha kupata hela
Naomba unishawishi hio million 22 ni average baada ya mavuno tafadhari
 
Haya kama mlivyosoma ni kweli

Hakuna biashara ina hela kama mapapai

Na hakuna biashara rahisi kama papai

Papai moja shamba linauzwa tsh 1500 moja
Mtaani wanauza tsh 3000 moja

Kilimo chake rahisi sana ila usilime wakati wa mvua, papai inataka maji kidogo tu kwa siku

Mbolea sio sana mche wa papai tsh 3000 mmoja

Sasa endelea kusema maisha magumu, nimekaa pale youtube uje nakufundisha kupata hela
Nipo hapa nauza mbegu fupi za papai ndani ya siku 90 una vuna papai kubwa lenye uzito wa kilo 6 wahi kabla mzigo hauja isha mikoani tuna tuma …. Dar free home delivery utalipia mzigo utakpo fika … call 0713
 
Mbegu za asili OPV heirloom papai zinakuwa ndogo na zinaharibika haraka haziuzwi 3000 bei ya jumla. Labda supermarket.
Hazina bei kubwa.
Anayebisha aende hata kesho masoko yoyote makubwa ya matunda Dar.
Hapa hatuharibu biashara yako bali tunaweka taarifa sahihi watu wafanye decision sahihi kibiashara.
punguza barua sina muda wa kusoma
 
Yombo na Buza wananunua papai soko la Stereo Temeke.
Hakuna papai ya bei ndogo bei ya jumla chini ya 500 na hakuna ya bei kubwa kufikia 3000 mbegu za asili.
Wewe waite watu waje subscribe YouTube channel yako wajifunze kilimo lakini usiweke bei za uongo utaumiza watu kisaikolojia mapato yakiwa kinyume na matarajio.
punguza maneno mengi
 
Nipo hapa nauza mbegu fupi za papai ndani ya siku 90 una vuna papai kubwa lenye uzito wa kilo 6 wahi kabla mzigo hauja isha mikoani tuna tuma …. Dar free home delivery utalipia mzigo utakpo fika … call 0713
UWEE
 
Back
Top Bottom