Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Mimi kama mkristo wa imani ya kikatoliki ninaiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iangalie namna ambayo wasanii wa maigizo muziki nyimbo ngoma nk wanapotaka kufikisha ujumbe kwà jamii unaogusa imani basi watumie imani yao binafsi ili hata ujumbe huo UKIWA hasi basi viongozi wa dini au imani husika hawatahemuka kuinyoshea imani au dini nyingine kidole.
Mfano mimi kama mkristo mkatoliki nikitaka kuonyesha kuna rushwa kwenye dhehebu langu dini au kanisa basi mfano utokee kwà padri na sio shehe au mufti.
Superbug
Mfano mimi kama mkristo mkatoliki nikitaka kuonyesha kuna rushwa kwenye dhehebu langu dini au kanisa basi mfano utokee kwà padri na sio shehe au mufti.
Superbug