Mimi kama mkristo wa imani ya kikatoliki ninaiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iangalie namna ambayo wasanii wa maigizo muziki nyimbo ngoma nk wanapotaka kufikisha ujumbe kwà jamii unaogusa imani basi watumie imani yao binafsi ili hata ujumbe huo UKIWA hasi basi viongozi wa dini au imani husika hawatahemuka kuinyoshea imani au dini nyingine kidole.
Mfano mimi kama mkristo mkatoliki nikitaka kuonyesha kuna rushwa kwenye dhehebu langu dini au kanisa basi mfano utokee kwà padri na sio shehe au mufti.
Superbug
Upole na busara zetu zinatafsiriwa ni unyonge kuna imani ukitumia haiba za viongozi wao au nyumba zao za ibada wanakuchomea nyumba mchana kweupe sasa ili kuwe na mizania ya haki basi kila mtu amkosoe kiongozi wake wa dini kwà maovu yake au kupitia dhehebu lake.Kweli wewe ni Superbug 😂😂😂😂
Dini ya kikristu inahubiri upendo. Amri kubwa kuliko zote ni amri ya mapendo. .Upole na busara zetu zinatafsiriwa ni unyonge kuna imani ukitumia haiba za viongozi wao au nyumba zao za ibada wanakuchomea nyumba mchana kweupe sasa ili kuwe na mizania ya haki basi kila mtu amkosoe kiongozi wake wa dini kwà maovu yake au kupitia dhehebu lake.
Neno kusingizia umelitumia vibaya katika uhalisi wa yanayotokea.Na si uislamu tu.Waigize u-Buddha,Hindu,Bahai,Uyahudi,Voodoism nk.Kwa ufupi kila mtu acheze ngoma ya kwao ili akiulizwa kuhusu ufungaji mzuri wa kibwebwe aueleze kwa matao.hivi kwanini msideal na msanii aliyefanya hilo kosa mnatusingizia waislamu wote?
Mko so volitile kwenye mambo ya imani hamna subira kuna mkuu wa wilaya mlimfanyia hovyo dodoma mwanamke kisa kavaa ushungi Enzi za JK bahati nzuri vyombo vya usalama vikapeleka taarifa sahihi kwamba yule mama alikuwa mkristo. Imagine isingekuwa taasisi za usalama yule mama na familia yake ingekuwaje?hivi kwanini msideal na msanii aliyefanya hilo kosa mnatusingizia waislamu wote?
Watu tata sana kuishi nao imagine kuchinja nyama miaka ile ya JK walikuwa wanalazimisha na mpaka leo tumekaa kimya ila leo wanaimba nyimbo za kuwatumia viongozi wa dini za kikristo.Uko sahihi kabisa ingekuwa ni mkristo ndiye amemwambia shekh PITA HUKU kungechimbika pasingetosha
Basata imelalaMimi kama mkristo wa imani ya kikatoliki ninaiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iangalie namna ambayo wasanii wa maigizo muziki nyimbo ngoma nk wanapotaka kufikisha ujumbe kwà jamii unaogusa imani basi watumie imani yao binafsi ili hata ujumbe huo UKIWA hasi basi viongozi wa dini au imani husika hawatahemuka kuinyoshea imani au dini nyingine kidole.
Mfano mimi kama mkristo mkatoliki nikitaka kuonyesha kuna rushwa kwenye dhehebu langu dini au kanisa basi mfano utokee kwà padri na sio shehe au mufti.
Superbug
Wachapwe viboko waamke au wamwagiwe maji ya baridi sana waamke.Basata imelala
Hao Baraza la sanaa ni wasanii kichizi. Wanafanya usanii mbalimbali, wanafanya maigizo, na wanafanya mazingaombwe pia. Unaweza ukadhani unawacharaza Basata bakora kumbe wameshakufanyia zengwe unawatandika wazazi wakoWachapwe viboko waamke au wamwagiwe maji ya baridi sana waamke.
Uko sahihi kabisa ingekuwa ni mkristo ndiye amemwambia shekh PITA HUKU kungechimbika pasingetosha