Isionekane kama ushauri wangu huu ni sababu ya chuki dhidi ya jambazi sabaya lakini ukweli uko wazi kuna njama ya kutakatisha mamillion ya pesa yaliyotokana na ujambazi wa wazi wazi uliofanywa na Sabaya enzi za utawala wa kayafa kupitia mbinu ya michango ya wananchi kugharamia gharama za kesi lukuki zinazomkabili.
Nashauri serikali kupitia uzibiti walionao wazipige pin accounts zote zitakazotangazwa kupokea hii michango.
Nashauri serikali kupitia uzibiti walionao wazipige pin accounts zote zitakazotangazwa kupokea hii michango.