Naiona hatari huko mbele uteuzi wa wanajeshi walio kazini kushika nyadhifa za kisiasa

Kwa common sense hiyo hiyo kama hamna kipengere ktk katiba strictly kusema hawaruhusiwi basi kwa common sense maana yake wanaruhusiwa. Kwenye sheria kama YES imeandikwa haikubaliki basi NO inakubalika ingawa haijaandikwa.

Kwa taarifa yako, hii mada wameiona wahusika na wamejua fika kinachohojiwa hapa kina nguvu kiasi gani. Baki na vipengere sijui vipengele, lakini ujumbe uko sehemu stahiki.
 
Shetani anaishi mafichoni na ahela sasa waende huko wakaungane nae ili neno la mungu liendelee kuwa fukuzia mbali.

Ni ahera na sio ahela, halafu Mungu wa mbinguni huwa inaandikwa kwa kuanza na herufi kubwa, na sio kwa herufi ndogo kama hiyo ya kwako. Kisha utakuta vilaza wa aina yako, ndio huwa mnabishana na wanaume hapa jukwaani.
 
Kwa taarifa yako, hii mada wameiona wahusika na wamejua fika kinachohojiwa hapa kina nguvu kiasi gani. Baki na vipengere sijui vipengele, lakini ujumbe uko sehemu stahiki.
Hao wajeshi watateuliwa sababu katiba haiwakatazi, jifunzeni kukubaliana na hili.
 
Kutoka jeshini na kua kiongozi ni jambo la uzalendo tu kua Rais anateua na haifanyi hao wanajeshi kua ni wanasiasa ndo mana unaona hawajagombea chochote kisiasa, unapowaacha tu na ninyi kupiga suti ndo kunaweza kutoke yale ya Sudan na kwingineko,kwanza jeshi letu sisi wananchi wa Tanzania lina watu wenye weredi mkubwa kwa mtazamo tu na sioni kama kuna shida mbeleni kama usemavyo.

Acha wivu, acha uchu wa madaraka,acha hasira kwa kutumbuliwa kwako,vyeti feki vyako,kuzibiwa mianya ya wizi na mengineyo,maana yamkininuna hasira na makosa yako mwenyewe

Mimk kama mwananchi wa Tanzania nailewa sana serikali hii kua ni ya kuoiga kazi na kutatua matatizo yetu

Ktk kipindi cha nyuma tuliwahi kuona kutafita hati ya nyumba yako ni sawa na kutafuta mtu akugawie figo,lakini si sasa. Kila kitu kinakwenda vzr, Rais wetu huyu huyu akiwa waziri wa mabarabara tumeona mchangobwake akiunganisha mikoa na wilaya na hata vijiji kufikika kwa haraka,tunapata maji na umeme kidogo kidogo, hawatamaliza yote lakini miaka mingine 50 baadae tutakua mbali.

So kama una hasira ndugu punguza hasira acha Rais na jeshi letu wafanye kazi kwa kushirikiana,maana pia ktk maeneo mengi hasa ya ujenzi raia wakishindwa likashushwa jeshi tunaona kila mala hua linafanya kwa uwezo mkubwa na haraka,sasa kwa nini Rais asiwape mamlaka ya kusongesha maendeleo mbele?

Kua mzarendo ndugu.
Nàunga mkono hoja ! Safi kbsa! Hata vijana na walemavu wamepata nafac serkalini , kuwaacha wanqjesh wetu nyuma ndio kunakoweza sababisha hayo uwazayo lkn kwa sasa viva JPM
 
Ni ahera na sio ahela, halafu Mungu wa mbinguni huwa inaandikwa kwa kuanza na herufi kubwa, na sio kwa herufi ndogo kama hiyo ya kwako. Kisha utakuta vilaza wa aina yako, ndio huwa mnabishana na wanaume hapa jukwaani.

Mtapambana saana lakini hamtapa ahuweni hata kidogo,
Najua kwa visonono mlivyonavyo moyoni kwenu baada ya miaka mitano ingine matakuwa mmedhoofika sana kwa roho mbaya zenu.
 
Mkuu hii quote ni marekebisho ya nilichokuambia?
 
Waliolitenga jeshi kikatiba na siasa hawakuwa wajinga, mtoto akililia wembe ..
Hao anaowateua si anawateua kwa mujibu wa ibara ya 36(2) wakafanye kazi za kiutendaji za serikali. Na na hao wanajeshi si watumishi wa serikali? Na ibara ya 36(2) haijamzjia kuteua wanajeshi.
 
Hama nchi toka uende pumbavu

Nilishaondoka zamani sana. Nawahurumia watu kama ninyi ambao mtabaki hapo hapo mlipo hata ikiwa ni 2025 (siseme uondoke - nasema hali yako ya fikra, maradhi na umasikini)!!

Masikini wa kipato mpaka fikra wewe!! Jikomboe hata na moja tu hapo!!
 
Bila kupepesa macho awamu hii imevuraga sana misingi ya Utawala bora.
 
mpaka sasa hao wajeda waliopewa nafasi wanafanya vyema.washapikwa wakaiva huko walikotoka.ni wachapa kazi na wazalendo pia waadilifu.
watatuvusha kwenda kwenye malengo kisha wanaweza punguzwa na inawezekena kwa kuwa ni watiifu.
 
Kwa taarifa fupi tu ni kwamba wakuu wa mikoa na wilaya ni sehemu ya kamati kuu ya siasa ya ccm ya mkoa/wilaya kwa hiyo hao. Askari wanaenda kufanya kazi za chama.

Katiba ya CCM iko wazi imeeleza kila kitu,usifikiri magu anawaweka bila kufikiria anajua ni wake,na ndo maana akikupa hizo nafasi mpinzani lazima utahama chama tu kwenda ccm, rejea mkuu wa mkoa kilimanjaro alihama ACT Wazarendo baada ya kuteuliwa, maana ingekuwa ngumu kufanya kwenye kamati ya siasa ya chama akiwa bado act wazarendo
Tupo kwa ajili ya kutafuta kula ya familia na maendeleo ya familia pia☺

UmeAnza ovyo umemalza swafiiiii kabisa
 
[/QUOTE
Unatolea mfano raia, Mwanajeshi ni mwanajeshi tu mpaka akifa
 
Weka kipengere cha katiba kinachosema kumteua mwanajeshi aliye madarakani kushika nyadhfa hizi ninukiukwaji...

angalau wajua kuwa jpm anashinda tena. Heko kwa kutumia common sense...
Dogo una umri gani? Umeisoma Katiba?
 
Nilishaondoka zamani sana. Nawahurumia watu kama ninyi ambao mtabaki hapo hapo mlipo hata ikiwa ni 2025 (siseme uondoke - nasema hali yako ya fikra, maradhi na umasikini)!!

Masikini wa kipato mpaka fikra wewe!! Jikomboe hata na moja tu hapo!!
Mataga Wanajivunia uchumi wa chini Kati, upumbavu mtupu
 
Hiyo inaitwa nguvu ya buku saba mkuu, buku saba inahamisha akili na ufahamu wa mtu hata katika mambo ambayo hayahitaji akili kubwa kuelewa
"mzarendo" unajua maana ya neno uzalendo? Mbona kila kitu awamu hii kinachukuliwa kwa masihala na urahisi ivi?
 
Japo sina muda wa kutoa orodha ya teuzi kama hizi na athari zake kwa historia ya dunia.

1. Katiba inakataza majeshi yetu kujihusisha na siasa kwa maana nyingine majeshi wao huwa pale kulinda katiba na sheria hawatakiwi kuwa na chama, na kwa ufupi wanatakiwa kutii kwanza katiba then wanakuja kwenye sheria , then rais kama amiri jeshi mkuu.

2. Ila bahati mbaya kwetu imegeuzwa anatangulia rais then sheria na ya mwisho katiba.

3. Liko wazi awamu ya tano kama wewe huna kadi ya CCM huwezi kuteuliwa nyadhifa yoyoyte ya kisiasa inayoambatana na uteuzi.

4. Toka enzi ya mwalimu wakuu wa mikoa hasa wa mipakani aliteuwa wastaafu kushika nyadhifa hizo alijua kuwa walishaondoka jeshini na nafsi zao zinawatu wengine.

Cha ajabu awamu hii inawatoa askati jeshini inawapa nafasi za kisiasa hii ni hatari sana kuchanganya jeshi na utawala wa kiraia hasa kwa baadae hii tabia ikiendelea.

5. Hawa wanajeshi wakizoea hili na ili wajihakikishie kupata uteuzi na wao kwa kiasi kikubwa ndio wamepewa mamlaka ya haki na usalama nchini watafanya yote kumfurahusha mteuzi sio kufata sheria na katiba.

Mwisho wa siku watataka wakae wao na hakuna wa kuwazuia naiyona nchi inaelekea kutawaliwa na jeshi na sio kuongozwa na raia.

View attachment 1499742
Nawasilisha kwa ufupiView attachment 1499767
dosama
Mkuu umetoa hoja ya msingi sana......

Lakini unajua ni kama unampigia mbuzi gitaa?

Huyu Jiwe hataki kuelewa lolote, zaidi ya kijiimarisha yeye madarakani, kwa nia ya kuendelea kutawala hadi mwisho wa maisha yake!
 
Japo sina muda wa kutoa orodha ya teuzi kama hizi na athari zake kwa historia ya dunia.

1. Katiba inakataza majeshi yetu kujihusisha na siasa kwa maana nyingine majeshi wao huwa pale kulinda katiba na sheria hawatakiwi kuwa na chama, na kwa ufupi wanatakiwa kutii kwanza katiba then wanakuja kwenye sheria , then rais kama amiri jeshi mkuu.

2. Ila bahati mbaya kwetu imegeuzwa anatangulia rais then sheria na ya mwisho katiba.

3. Liko wazi awamu ya tano kama wewe huna kadi ya CCM huwezi kuteuliwa nyadhifa yoyoyte ya kisiasa inayoambatana na uteuzi.

4. Toka enzi ya mwalimu wakuu wa mikoa hasa wa mipakani aliteuwa wastaafu kushika nyadhifa hizo alijua kuwa walishaondoka jeshini na nafsi zao zinawatu wengine.

Cha ajabu awamu hii inawatoa askati jeshini inawapa nafasi za kisiasa hii ni hatari sana kuchanganya jeshi na utawala wa kiraia hasa kwa baadae hii tabia ikiendelea.

5. Hawa wanajeshi wakizoea hili na ili wajihakikishie kupata uteuzi na wao kwa kiasi kikubwa ndio wamepewa mamlaka ya haki na usalama nchini watafanya yote kumfurahusha mteuzi sio kufata sheria na katiba.

Mwisho wa siku watataka wakae wao na hakuna wa kuwazuia naiyona nchi inaelekea kutawaliwa na jeshi na sio kuongozwa na raia.

View attachment 1499742
Nawasilisha kwa ufupiView attachment 1499767
Lema alishatahadharisha kuwa hii tabia ya kuwakaribisha wanajeshi sebuleni iko siku watataka kuingia chumbani, jamaa ameziba masikio
 
Japo sina muda wa kutoa orodha ya teuzi kama hizi na athari zake kwa historia ya dunia.

1. Katiba inakataza majeshi yetu kujihusisha na siasa kwa maana nyingine majeshi wao huwa pale kulinda katiba na sheria hawatakiwi kuwa na chama, na kwa ufupi wanatakiwa kutii kwanza katiba then wanakuja kwenye sheria , then rais kama amiri jeshi mkuu.

2. Ila bahati mbaya kwetu imegeuzwa anatangulia rais then sheria na ya mwisho katiba.

3. Liko wazi awamu ya tano kama wewe huna kadi ya CCM huwezi kuteuliwa nyadhifa yoyoyte ya kisiasa inayoambatana na uteuzi.

4. Toka enzi ya mwalimu wakuu wa mikoa hasa wa mipakani aliteuwa wastaafu kushika nyadhifa hizo alijua kuwa walishaondoka jeshini na nafsi zao zinawatu wengine.

Cha ajabu awamu hii inawatoa askati jeshini inawapa nafasi za kisiasa hii ni hatari sana kuchanganya jeshi na utawala wa kiraia hasa kwa baadae hii tabia ikiendelea.

5. Hawa wanajeshi wakizoea hili na ili wajihakikishie kupata uteuzi na wao kwa kiasi kikubwa ndio wamepewa mamlaka ya haki na usalama nchini watafanya yote kumfurahusha mteuzi sio kufata sheria na katiba.

Mwisho wa siku watataka wakae wao na hakuna wa kuwazuia naiyona nchi inaelekea kutawaliwa na jeshi na sio kuongozwa na raia.

View attachment 1499742
Nawasilisha kwa ufupiView attachment 1499767
namba 3 si kweli
 
Back
Top Bottom