Pre GE2025 Naiona kambi ya CHADEMA Kaskazini hiyoo inaeenda CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dadeki mtaamisha magoli ya propaganda saivi hadi mtachanganyikiwa.

Kweli CCM inapumulia mashine. Propagandists wote mmeubuliwa chama kina hali mbaya.

Uzuri nyakati zimeshawatupa mkono. Watanzania wanajua haki na kweli saivi ni CHADEMA tu.

Uzuri it seems hata vyombo vya dola vimeshawaona mbogamboga chenga tu. Saivi wanataka nchi iwe na mifumo imara ili mtie adabu.
 
Furaha ya ushindi wa Lissu inanikumbusha furaha ile ya ushindi wa Mwabukusi.

😂😂
 
Chama kijiandae na anguko kubwa sana. Mtaanza kumrushia mawe muda mafupi tu kama mnavyofanya kwa Mwambukusi.
 
Sidhani kama Mbowe atamsehe huyu muhuni.
 

Attachments

  • IMG_2058.jpeg
    322.3 KB · Views: 2
Bila shaka upo kwenye kijiwe cha gahawaa, maneno yako yanasadifu
 
Kite wewe.
Tuhamie CCM kwasababu gani?sisi ni opposition toka enzi za NCCR
 
Bila shaka upo kwenye kijiwe cha gahawaa, maneno yako yanasadifu
Nipo nimejibanza nakunywa
Kahawa na kashata wewe unakunywa mapuya wapi?

Chama wamekiacha uchi kila mtu anatoka na kusema lake, mara huyu vile huyu hivi. Kila shutuma mliyokuwa mnapewa kama wizi, ufisadi, chama cha ukabila, udini, ukanda na shutuma nyingine zilikuwa ni za kweli zote.
 

Attachments

  • IMG_2059.jpeg
    331.2 KB · Views: 3
Zimasemwa wapi, mbona hatuzisikii huku , au kwakua hakuna vijiwe vya kahawa kama huko kwenu?
 
hamuishiwagi propaganda kenge nyie, CUF mlisema ya kiislam, CHADEMA mbowe mkasema ya wachaga na sasa chini ya lissu mnaanza kusema ya kikatoliki. Na hiyo ccm ni ya kina nani?
 
Ni ndoto za CCM kuombea hilo litokee, bali halitatokea. Wana Chadema wanatambua, kisiasa adui yao ni chama dola kongwe CCM
 
Chama kinaongozwa na Maria sasa.. hehehe hatari sana..
 
Chama sio mali ya kaskazini.
Hiki chama ni mali ya watz wote na waliogombea na kushinda walifanya hivyo kwa mujibu wa katiba.
 
Chama kinaongozwa na Maria sasa.. hehehe hatari sana..
Maria ndo nani? Mnatapatapa tu.
Sasa mmehama kwenye hoja ya chama cha wachaga au saccos ya mbowe mmehamia kwenye ramli kama masangoma
 
Ramli tu,hamna kambi inayoenda popote.
 
Nature will take care worry not
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…