Pre GE2025 Naiona kambi ya CHADEMA Kaskazini hiyoo inaeenda CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuendekeza na kuendesha taasisi kikabila na kikanda ndiyo husababisha mipasuko, sioni kama chanzo cha tatizo hilo ni timu mpya, ila ni feelings za watu.
Migogoro ni mradi wa chawa Mbowe wao hujinifaisha zai pindi kukiwa na pande mbili zenye uhasama
 
Hujawahi kuwa na hoja..endelea na shughuli zako za HAMAS..
Akina Yericko Nyerere na kikundi chake wao ni wanufaika wa propaganda uzushi na mambo yote ya hovyo ndani ya chadema
 
Kaskazini tulishaizika ccm zamani sana hata jiwe ligombee na ccm tutachagua jiwe.
 
Weka akiba ya maneno
Na pia subiri figisu zitakazochezwa na ccm kuhusu kupata ruzuku
Kwa sasa ccm itaendelea kutawala idara zote za kisiasa , kwa upinzani bado unajitafuta, ruzuku ya chadema ya nyuma yote ilipigwa na mbowe na sasa ruzuku mpya itatumika kujenga chama zaidi
 
Kaskazini hawana hisa CDM tena mtukome..

Nafurah sana TL kushinda, kuna genge la watu wap.mbavu walikuwa wanafanya ni full time job kumtukana na kutukana watu wa maeneo anayotoka...

Mtukome na mkomae, Watu wa Kaskazini wawe CDM kwa maslahi yapi?

TL ameshinda apige kazi, aache makundi na kejeli kwa walioshindwa,

CCM is here to stay, at least for sometime, maana Democracia ni hisani ya Rais wa CCM and they can do anything to maintain power...
They can't actually do anything yaliyomkuta Nicolas Maduro yatamkuta mama akiharibu uchaguzi
 
Kaskazini tulishaizika ccm zamani sana hata jiwe ligombee na ccm tutachagua jiwe.
Yericko Nyerere na kikundi chake wapo mbioni kuja huko kutengeneza mazingira ccm ishinde viti vyote ili wapate visingizio vya kuwazushia Lisu na heche kuwa wanakiua chama
 
They can't actually do anything yaliyomkuta Nicolas Maduro yatamkuta mama akiharibu uchaguzi
Chawa wa mbowe ndiyo wataharibu uchanguzi kwani badala ya kuhamasisha umoja wamekalia kubomoa chama lli kuwakomoa Lisu na Heche
 
Wanaukumbi

Baada ya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kuisha na kupata viongozi wa wapya Mwenyekiti Tundu Lissu, na Makamu wake John Heche.

Kama tulivyosikia na kuona hotuba ya Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, kuwa uchaguzi umeacha mpasuko mkubwa ndani ya chama ingawa hawa viongozi wapya wanajifanya kama hamna kitu kilichotokea, ukimuangalia Mbowe alivyokuwa anaongea unaona wazi kabisa kaondoka CHADEMA na kinyongo moyoni na usaliti aliyofanyiwa na baadhi ya wenzake ambao alikuwa anaona ni watu wake wa karibu kumbe maadui zake

Hawa wasaliti walimchafua sana Mbowe, kwenye mitandao ya kijamii kumtukana kwenye mitandao kumuita mla rushwa mkubwa hana uchungu na CHADEMA, msaliti mkubwa alikuwa Lema, na wenzake amba walitumwa na kumshambulia Mbowe, leo hii wamesahu mchango wa Mbowe katika Chadema Lema, kamsaliti Mbowe, watu wa Kaskazini ambayo ilikuwa ngome ya Chadema. Wamasikitishwa sana na wengi wapo kimya wanasema adhabu yao wataitoa October.

Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Hamna kipindi watu wa Kaskazini wameumizwa kama hiki kipindi kiongozi wao mkuu Mbowe kushambuliwa, kutukanwa kudhalilishwa na kina Lema, na genge lake, baada ya Uchaguzi hawa viogozi wanaanza kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kuanza kumsifia kinafiki nani alikuwa anajua kama mkutano wa Chadema maandalizi yote pesa katoa Mbowe zaidi ya Milioni 300. Lema na wenzake walisema hili.

Nimeongea na watu wa Kaskazini wengi wanasema bora waende wakatulie kwa Mama tu CCM.

Kimsingi Lema na Lissu. Siyo wakazi wa Tanzania, Lema famila yake ipo Canada na Lissu familia yake wapo Marekani na Ubeligiji. Wote wanatembea na tiketi mfukoni.
Huna lolote wewe .
 
Yericko Nyerere kwa sasa ndiyo Sumu kubwa ya kuihujumu kuudhofisha chadema
 
Yericko Nyerere na kikundi chake wapo mbioni kuja huko kutengeneza mazingira ccm ishinde viti vyote ili wapate visingizio vya kuwazushia Lisu na heche kuwa wanakiua chama
Yericho hana nguvu ndani ya CDM ni minor sana no effect no impact
 
Waende tu kenge hao.
20250122_202243.jpg
 
Ati "...alikua anaona ni rafiki zake kumbe ni adui zake..." na unaandika kama vile unalipwa!
Unaxahau kwmb alionywa kwmb apumzike alinde heshma, akashupaza shingo- xaxa imevunjka. Angekbali angelinda heshma na angepewa "maua yake" na kuinuliwa lkn xaxa wanamwita "aliyeshindwa" na hilo linamtia doa. Na mm xiamini Kilimanjaro wana akili za hovyo, kutimkia huko waliko wachumya tumbo- kama hao wngne, Kilinanjaro wana heshma zao na wanazitunza ...au hujui!
 
Wanaukumbi

Baada ya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kuisha na kupata viongozi wa wapya Mwenyekiti Tundu Lissu, na Makamu wake John Heche.

Kama tulivyosikia na kuona hotuba ya Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, kuwa uchaguzi umeacha mpasuko mkubwa ndani ya chama ingawa hawa viongozi wapya wanajifanya kama hamna kitu kilichotokea, ukimuangalia Mbowe alivyokuwa anaongea unaona wazi kabisa kaondoka CHADEMA na kinyongo moyoni na usaliti aliyofanyiwa na baadhi ya wenzake ambao alikuwa anaona ni watu wake wa karibu kumbe maadui zake

Hawa wasaliti walimchafua sana Mbowe, kwenye mitandao ya kijamii kumtukana kwenye mitandao kumuita mla rushwa mkubwa hana uchungu na CHADEMA, msaliti mkubwa alikuwa Lema, na wenzake amba walitumwa na kumshambulia Mbowe, leo hii wamesahu mchango wa Mbowe katika Chadema Lema, kamsaliti Mbowe, watu wa Kaskazini ambayo ilikuwa ngome ya Chadema. Wamasikitishwa sana na wengi wapo kimya wanasema adhabu yao wataitoa October.

Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Hamna kipindi watu wa Kaskazini wameumizwa kama hiki kipindi kiongozi wao mkuu Mbowe kushambuliwa, kutukanwa kudhalilishwa na kina Lema, na genge lake, baada ya Uchaguzi hawa viogozi wanaanza kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kuanza kumsifia kinafiki nani alikuwa anajua kama mkutano wa Chadema maandalizi yote pesa katoa Mbowe zaidi ya Milioni 300. Lema na wenzake walisema hili.

Nimeongea na watu wa Kaskazini wengi wanasema bora waende wakatulie kwa Mama tu CCM.

Kimsingi Lema na Lissu. Siyo wakazi wa Tanzania, Lema famila yake ipo Canada na Lissu familia yake wapo Marekani na Ubeligiji. Wote wanatembea na tiketi mfukoni.

Umekurupuka wapinzani wa kaskazini mpaka katiba mpya na maendeleo sio uchawa. Walikuwepo kuanzia wakati wa Mrema hawaendi CCM. Wamasai tu ndiyo hawajielewi
 
Chadema sasa iko chini ya miamvuli miwili;

1. Chini ya Maria Sarungi
2. Chini ya Baraza la Maaskofu

Maria Sarungi ndio final say pale, Lissu hasemi kitu kwa Maria kwa sababu, Chadema inakwenda kutumika kuvutia fedha za misaada kutoka nje na hao wafadhili, Maria ndio anao sasa.

Nguvu ya ukatoliki imetumika kumsimika Lissu kuwa Mwenyekiti, KKKT imepigwa KO mbaya sana na Katoliki chini ya Jesuits Kitima.

Lissu hasemi kitu kwa viongozi wake wa kiroho na ni Katoliki, wamempa maelekezo Lissu ambakishe Mnyika aendelee kuwa Katibu Mkuu kwa maana, Mnyika ni kijana mtiifu wa Kikatoliki.

Chadema sasa ni Kanisa, Kanisa ni CHADEMA. Kwisha habari!
Na kw mxingi huo, kw kua Zenji na Tanganyika zinatawaliwa na waislam, ndo tuxeme CCM ni msikiti na msikiti ni CCM!?
Utopolo gani huu!?
 
Chadema sasa iko chini ya miamvuli miwili;

1. Chini ya Maria Sarungi
2. Chini ya Baraza la Maaskofu

Maria Sarungi ndio final say pale, Lissu hasemi kitu kwa Maria kwa sababu, Chadema inakwenda kutumika kuvutia fedha za misaada kutoka nje na hao wafadhili, Maria ndio anao sasa.

Nguvu ya ukatoliki imetumika kumsimika Lissu kuwa Mwenyekiti, KKKT imepigwa KO mbaya sana na Katoliki chini ya Jesuits Kitima.

Lissu hasemi kitu kwa viongozi wake wa kiroho na ni Katoliki, wamempa maelekezo Lissu ambakishe Mnyika aendelee kuwa Katibu Mkuu kwa maana, Mnyika ni kijana mtiifu wa Kikatoliki.

Chadema sasa ni Kanisa, Kanisa ni CHADEMA. Kwisha habari!
Tafuta msaada wa kisaikolojia mkuu
 
Siku chache kabla ya lisu kutangaza kuwania uenyekiti alikuwa kaundiwa zengwe na mbowe la kufukuzwa chadema, kilichomuokoa Lisu ni kuongea vitu vya Siri vya Mbowe ambavyo Mbowe hakutarajia kuwa Lisu alikuwa akivijua , ndipo upepo ghafra ukabadilika na nia ya kumfukuza chadema kuisha lakini Wajumbe wasiopendezwa na hilo zengwe wakamshauri Lisu agombee uenyekiti ili iwe fimbo ya kumchapa Mbowe kwa kuendekeza Majungu fitna na kutaka kumshusha Lisu kisiasa

Sidhani kama Mbowe alikuwa anataka kumfukuza Lissu kwenye chama. Mbowe sio kichaa. Nafikiri alitaka abaki mwanachama wa kawaida asiye na cheo, ushawishi mkubwa.

Nafikiri yeye alikuwa anataka kuwaondoa watu wanaopinga maridhiano, Mbowe alitaka azungukwe na watu watakaokubaliana na kila anachosema na kuwaondoa wasumbufu kwenye vikao vya maamuzi.
 
Back
Top Bottom