Pre GE2025 Naiona kambi ya CHADEMA Kaskazini hiyoo inaeenda CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu, Lema, Msigwa, Pambalu wote waliwekewa zengwe wasiingie kamati kuu, kuondolewa madarakani, wawe wanachama wa kawaida.

Lissu akaletewa Wenje, Lema mizengwe. Ulitaka wafanyaje?
Kwa hiyo Lisu alitaka awe mgombea pekee? Maana ya Demokrasia ni nini?

Kauli za Lisu baada ya kuchaguliwa hazionyeshi kama anataka kuunganisha pande mbili zilizokuwa zinapambana ndani ya chama. Inaonyesha wazi anataka kuwaumiza waliokuwa upande wa Mbowe. Wakati anatoa ahadi kwa Rose wa njombe kwa namna atakavyoshughulikia mambo aliyofanyiwa, sura na matamshi ilionyesha wazi kuna mazito yanakuja.

Anapambana ni kweli ila si kwamba yeye ni mwema sana
 
Chini ya Lissu hiki chama lazima kiunge mkono ushoga..
Screenshot_20250122_065815_Chrome.jpg
 
Kwa hiyo Lisu alitaka awe mgombea pekee? Maana ya Demokrasia ni nini?

Kauli za Lisu baada ya kuchaguliwa hazionyeshi kama anataka kuunganisha pande mbili zilizokuwa zinapambana ndani ya chama. Inaonyesha wazi anataka kuwaumiza waliokuwa upande wa Mbowe. Wakati anatoa ahadi kwa Rose wa njombe kwa namna atakavyoshughulikia mambo aliyofanyiwa, sura na matamshi ilionyesha wazi kuna mazito yanakuja.

Anapambana ni kweli ila si kwamba yeye ni mwema sana
Kwenye issue ya Rose Mayemba nilivyomsikia Lissu amesema atahakikisha haki inatendeka. Binadamu wote wanapenda kupewa haki zao. Unaunganisha chama kwa kutenda haki, kuwa fair. CCM, polisi, chaguzi zinalalamikiwa sababu hazitendi haki.

Kuhusu Lissu kutaka kuwa mgombea pekee ndio nasikia kwako kwanza. Unauliza Demokrasia ni nini? Ni kama hicho kilichotokea Chadema juzi.
 
Kwani kiti Cha Mbowe kilikuwa ni U-king kwamba mpaka afe ndo kiti kibaki wazi? Ndio alitoa machozi na damu ila sio ticket ya kukalia kiti milele na katiba haisemi hivyo... Hii kitu ilijengea chama image mbaya sana.... Kwamba kama demokrasia imefeli kwenye chama tu vp wakipewa taasis ya Uraisi si mtu atataka akae milele?
..... Ccm na madudu Yao yote ni wajanja sana .... Hawaachi jina la mtu likawa kubwa kuliko Ccm ....
 
Wanaukumbi

Baada ya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kuisha na kupata viongozi wa wapya Mwenyekiti Tundu Lissu, na Makamu wake John Heche.

Kama tulivyosikia na kuona hotuba ya Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, kuwa uchaguzi umeacha mpasuko mkubwa ndani ya chama ingawa hawa viongozi wapya wanajifanya kama hamna kitu kilichotokea, ukimuangalia Mbowe alivyokuwa anaongea unaona wazi kabisa kaondoka CHADEMA na kinyongo moyoni na usaliti aliyofanyiwa na baadhi ya wenzake ambao alikuwa anaona ni watu wake wa karibu kumbe maadui zake

Hawa wasaliti walimchafua sana Mbowe, kwenye mitandao ya kijamii kumtukana kwenye mitandao kumuita mla rushwa mkubwa hana uchungu na CHADEMA, msaliti mkubwa alikuwa Lema, na wenzake amba walitumwa na kumshambulia Mbowe, leo hii wamesahu mchango wa Mbowe katika Chadema Lema, kamsaliti Mbowe, watu wa Kaskazini ambayo ilikuwa ngome ya Chadema. Wamasikitishwa sana na wengi wapo kimya wanasema adhabu yao wataitoa October.

Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Hamna kipindi watu wa Kaskazini wameumizwa kama hiki kipindi kiongozi wao mkuu Mbowe kushambuliwa, kutukanwa kudhalilishwa na kina Lema, na genge lake, baada ya Uchaguzi hawa viogozi wanaanza kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kuanza kumsifia kinafiki nani alikuwa anajua kama mkutano wa Chadema maandalizi yote pesa katoa Mbowe zaidi ya Milioni 300. Lema na wenzake walisema hili.

Nimeongea na watu wa Kaskazini wengi wanasema bora waende wakatulie kwa Mama tu CCM.

Kimsingi Lema na Lissu. Siyo wakazi wa Tanzania, Lema famila yake ipo Canada na Lissu familia yake wapo Marekani na Ubeligiji. Wote wanatembea na tiketi mfukoni.
Ndoto za ali-nacha
 
Kwenye issue ya Rose Mayemba nilivyomsikia Lissu amesema atahakikisha haki inatendeka. Binadamu wote wanapenda kupewa haki zao. Unaunganisha chama kwa kutenda haki, kuwa fair. CCM, polisi, chaguzi zinalalamikiwa sababu hazitendi haki.

Kuhusu Lissu kutaka kuwa mgombea pekee ndio nasikia kwako kwanza. Unauliza Demokrasia ni nini? Ni kama hicho kilichotokea Chadema juzi.
Umeandika Lisu aliletewa wenje ikionyesha hakuridhika Wenje kuamua kupambana naye yeye akiwa ameshatangaza nia. Rudi kasome niliponukuu. Na ndio sababu nikauliza maana ya demokrasia ni nini kama hatafurahishwa na wengine kupambana naye?

Ngoja tusubiri kama haki itatendeka maana haki pia huchagua upande
 
Hakuwa na shida na kupambana na Wenje, ila Lissu aliamua kwenda kupambana na aliyemtuma akamwachia Heche apambane na Wenje. Hiyo ndio demokrasia yenyewe.
 
Nimeongea na watu wa Kaskazini wengi wanasema bora waende wakatulie kwa Mama tu CCM.

Kimsingi Lema na Lissu. Siyo wakazi wa Tanzania, Lema famila yake ipo Canada na Lissu familia yake wapo Marekani na Ubeligiji. Wote wanatembea na tiketi mfukoni.

Ukisema watu wa kaskazini wanarudi CCM sababu mbowe hajachaguliwa kuwa Mwenyekiti ni kwamba umeamua kutuambia CHADEMA ni chama cha kikabila na kwa msingi huo hakitufai watanzania.

Nakubaliana na wewe kwamba Tundu na Lema wana ukaazi wa America na Canada na hawafanyi siasa kwa maslahi ya taifa hili.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
 
Hakuwa na shida na kupambana na Wenje, ila Lissu aliamua kwenda kupambana na aliyemtuma akamwachia Heche apambane na Wenje. Hiyo ndio demokrasia yenyewe.
Tukubaliane kuwa sometimes Demokrasia inaruhusu mianya ya kufanyiana zengwe hivyo hatupaswi kulaumu mtu.
 
Wanaukumbi

Baada ya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kuisha na kupata viongozi wa wapya Mwenyekiti Tundu Lissu, na Makamu wake John Heche.

Kama tulivyosikia na kuona hotuba ya Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, kuwa uchaguzi umeacha mpasuko mkubwa ndani ya chama ingawa hawa viongozi wapya wanajifanya kama hamna kitu kilichotokea, ukimuangalia Mbowe alivyokuwa anaongea unaona wazi kabisa kaondoka CHADEMA na kinyongo moyoni na usaliti aliyofanyiwa na baadhi ya wenzake ambao alikuwa anaona ni watu wake wa karibu kumbe maadui zake

Hawa wasaliti walimchafua sana Mbowe, kwenye mitandao ya kijamii kumtukana kwenye mitandao kumuita mla rushwa mkubwa hana uchungu na CHADEMA, msaliti mkubwa alikuwa Lema, na wenzake amba walitumwa na kumshambulia Mbowe, leo hii wamesahu mchango wa Mbowe katika Chadema Lema, kamsaliti Mbowe, watu wa Kaskazini ambayo ilikuwa ngome ya Chadema. Wamasikitishwa sana na wengi wapo kimya wanasema adhabu yao wataitoa October.

Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Hamna kipindi watu wa Kaskazini wameumizwa kama hiki kipindi kiongozi wao mkuu Mbowe kushambuliwa, kutukanwa kudhalilishwa na kina Lema, na genge lake, baada ya Uchaguzi hawa viogozi wanaanza kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kuanza kumsifia kinafiki nani alikuwa anajua kama mkutano wa Chadema maandalizi yote pesa katoa Mbowe zaidi ya Milioni 300. Lema na wenzake walisema hili.

Nimeongea na watu wa Kaskazini wengi wanasema bora waende wakatulie kwa Mama tu CCM.

Kimsingi Lema na Lissu. Siyo wakazi wa Tanzania, Lema famila yake ipo Canada na Lissu familia yake wapo Marekani na Ubeligiji. Wote wanatembea na tiketi mfukoni.
Wewe ni msemaji wetu watu wa Kaskazini/KLM!!??
 
Chama kijiandae na anguko kubwa sana. Mtaanza kumrushia mawe muda mafupi tu kama mnavyofanya kwa Mwambukusi.
Iraq wamepitisha ndoa kwa mtoto wa miaka 9, kama "ntume" alivyofanya, una maoni gani!!??
 
Kwa hiyo Lisu alitaka awe mgombea pekee? Maana ya Demokrasia ni nini?

Kauli za Lisu baada ya kuchaguliwa hazionyeshi kama anataka kuunganisha pande mbili zilizokuwa zinapambana ndani ya chama. Inaonyesha wazi anataka kuwaumiza waliokuwa upande wa Mbowe. Wakati anatoa ahadi kwa Rose wa njombe kwa namna atakavyoshughulikia mambo aliyofanyiwa, sura na matamshi ilionyesha wazi kuna mazito yanakuja.

Anapambana ni kweli ila si kwamba yeye ni mwema sana
Kwa hiyo Lissu akae pamoja na Mapandikizi yenu? Ili muendelee kupata siri za CHADEMA wapuuzi nyie?
 
Iraq wamepitisha ndoa kwa mtoto wa miaka 9, kama "ntume" alivyofanya, una maoni gani!!??
Wewe mweyewe shoga tena umefunga ndoa Kanisa na wewe na basha wako wate mmebatizwa nini maoni yako Trump anatambua jinsia mbili tu😂
 
Si mlisema hawezi kuwa Mwenyekiti wa Chadema? Kiko wapi?
Lissu, ametamka kuwa bila katiba mpya hakuna uchaguzi!. Sijui kama anajua kuwa Tanzania ina vyama zaidi ya 18 vya upinzani hivyo kwa kikundi chake kutoshiriki uchaguzi haisumbui hata kidogo kwa vyama vingine kushiriki uchaguzi.

Sijajua itamchukua miaka mingapi kuelewa kuwa UFIPA hata wakigomea uchaguzi bado nchi hii itafanya chaguzi zake na itapata viongozi na wataapishwa na kuendelea mbele na hakuna kitu atafanya.
 
Ndoto za ali-nacha
Kwa kifupi ni kuwa anachelewa sana kujua kuwa UFIPA hawana umuhimu wowote kwenye siasa za Tanzania na hakuna kitu wanaweza fanya watu wakawaogopa kwa kususia kwao uchaguzi. Kama watasusia uchaguzi vyama vingine vitashiriki na nchi itasonga mbele tena kwa kishindo sana.
 
Hivi kuna watu kabisa wanaamini Lissu ataweza kuwa raisi 2025?
Labda sio Tanzania.....

..ubovu wa Mama Abduli na Mchimbi ndio unaowafanya watu waote ndoto kuwa upinzani wanaweza kushinda.
 
Bila shaka upo kwenye kijiwe cha gahawaa, maneno yako yanasadifu
Hivi kweli chama kinachoshindwa kulipa 50m TZS za ukumbi wa mikutano kinawezaje kuwa muhimu na kusimamisha uchaguzi usifanyike? Kivipi yaani?
 
Kwa kifupi ni kuwa anachelewa sana kujua kuwa UFIPA hawana umuhimu wowote kwenye siasa za Tanzania na hakuna kitu wanaweza fanya watu wakawaogopa kwa kususia kwao uchaguzi. Kama watasusia uchaguzi vyama vingine vitashiriki na nchi itasonga mbele tena kwa kishindo sana.

..kwanini hawana umuhimu?

..hii nchi ni yetu sote jamani.
 
Back
Top Bottom