Ww utakuwa ni mzee lazima, wazee ndio huwa wanatumia propaganda outdated hivi. Amka mzee, kizazi hiki hakuna mtu ananunua proganda zenu nyie zama damu. We kameze vidonge vyako vya tezi dume hakuna mtu utamuokota kiboya hivyo.
Wanaukumbi
Baada ya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kuisha na kupata viongozi wa wapya Mwenyekiti Tundu Lissu, na Makamu wake John Heche.
Kama tulivyosikia na kuona hotuba ya Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, kuwa uchaguzi umeacha mpasuko mkubwa ndani ya chama ingawa hawa viongozi wapya wanajifanya kama hamna kitu kilichotokea, ukimuangalia Mbowe alivyokuwa anaongea unaona wazi kabisa kaondoka CHADEMA na kinyongo moyoni na usaliti aliyofanyiwa na baadhi ya wenzake ambao alikuwa anaona ni watu wake wa karibu kumbe maadui zake
Hawa wasaliti walimchafua sana Mbowe, kwenye mitandao ya kijamii kumtukana kwenye mitandao kumuita mla rushwa mkubwa hana uchungu na CHADEMA, msaliti mkubwa alikuwa Lema, na wenzake amba walitumwa na kumshambulia Mbowe, leo hii wamesahu mchango wa Mbowe katika Chadema Lema, kamsaliti Mbowe, watu wa Kaskazini ambayo ilikuwa ngome ya Chadema. Wamasikitishwa sana na wengi wapo kimya wanasema adhabu yao wataitoa October.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Hamna kipindi watu wa Kaskazini wameumizwa kama hiki kipindi kiongozi wao mkuu Mbowe kushambuliwa, kutukanwa kudhalilishwa na kina Lema, na genge lake, baada ya Uchaguzi hawa viogozi wanaanza kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kuanza kumsifia kinafiki nani alikuwa anajua kama mkutano wa Chadema maandalizi yote pesa katoa Mbowe zaidi ya Milioni 300. Lema na wenzake walisema hili.
Nimeongea na watu wa Kaskazini wengi wanasema bora waende wakatulie kwa Mama tu CCM.
Kimsingi Lema na Lissu. Siyo wakazi wa Tanzania, Lema famila yake ipo Canada na Lissu familia yake wapo Marekani na Ubeligiji. Wote wanatembea na tiketi mfukoni.

Tanzania ina watu mil65 . Ajira rasmi hazifiki mil 7.
Wengi wa waliopo kwenye ajira ni wazee na wale waliopewa ajira za Mkataba baada ya kuona kuwa wamewaumiza kwenye kikokotoo. Lakini pia jiulize Serikali hii hii iliyowaumiza wastaafu imewapa baadhi nyongeza ya miaka miwili baadhi ya wastaafu hasa kwenye majeshi kwa aibu kuwa kuna waliopata kikokotoo cha mil.12 . Ikawapa miaka mingine Kuelekea uchaguzi tena kwa upendeleo mkubwa ambao Wasira akiendelea kujinadi kuwa CCM haina ubaguzi wa kidini na kikabila tutampa data na Vijana wasomi zaidi ya mil 18 walipomtaani watalipuka na kumrudisha kwenye makao yake halisi huko NCCR mageuzi au kwingineko.
Mbowe ameshindwa na ndiyo demokrasia.
Wachagga hawajawahi kuipigia kura CCM kwa sababu ya siasa za CCM zilizoua uchumi wao.
Leo hii wapo vijana wa kihaya ,Kichaga ,Kinyakyusa na Kinyantuzu na Kikerewe wenye ujuzi na Elimu kubwa kuliko wachina na Waarabu wanaokuja kupewa kazi ya kukusanya ushuru Bandarini na airpoti badala ya yao halafu wasichague CCM kweli .
Mwendokasi unakufa wakati kuna vijana wa kaskazini wenye uwezo na uzoefu wa kuendesha mabasi tangu wakiwa shule ya msingi .
Unawapaje Waarabu waliotoka jangwani mbuga za wanyama badala ya Matajiri wazawa wa kaskazini walioendesha biashara za utalii tangu babu zao? Halafu unasema kaskazini watakimbilia CCM Lakini pia Kaskazini wakirudi CCM wamachinga watajiunga na Chadema kwa unyonge wao maana Majaliwa aliyestahili kuwa Rais ametengwa na kutupwa mbali kwa sababu hataki rushwa za wachina na waarabu kuja kuteka soko la Kariakoo na bandari.
Watu wa Kigoma nao watarudi chadema man Mpango aliyekua uchumi wa nchi akiwa waziri wa fedha anaonekana naye hapendi rushwa ili akubali nchi kuuzwa .
Watu wa Dodoma hasa wagogo hawajafurahishwa na kitendo cha Ndugai kudhalilishwa tena kwa sababu tu ya kupinga mikopo inayoishia mifukoni mwa watu wachache na kuliachia taifa deni kubwa .
Watu wa kaskazini hasa Tanga wataikataa CCM kwa sababu ya kuitupa familia ya Makamba kwa sababu kwa habari za chini chini ni kwamba Makamba amekataa kuingia kwenye siasa za kidini na kusema yeye ameishi na watu wa dini tofauti tangu enzi za mababu na leo hawawezi kuingia kwenye siasa za maji taka zinazoendeshwa chini chini ?
Ni kweli kuna Watu wa kaskazini wamekwazika lakini pia wapo waliofurahi kwa Jinsi Mbowe alivyojibu kwa vitendo hoja ya chama cha Wachagga na kidikteta kuwa ni hoja mfu kwa sasa na nguvu ya umma itasimama.
Hata CCM leo ikiweka wagombea wawili Samia naye atapata kura kutokana na mfuko wake kujaa kuliko ya watumishi wote wa umma hivyo ni rahisi kupata machawa na watu wengi aliowachagua .
Hata Lisu alimaliza muda wake halafu akangangana kubaki atapata wetu wengi japo atashindwa kutokana na wakati huo utakavyokuwa .
Mbowe hakujua wakati ni ukuta japo amepata sifa kubwa ndani na nje ya nchi . Demokrasia ni jambo kubwa sana katika ulimwengu wenye binadamu waliostarabika .
Maridhiano ya nini wakati Lisu hajawahi kufanya uovu dhidi ya CCM wala watu wake .
Mnaridhiana na nani ?
Mungu hawezi kurudhiana na shetani kwa sababu Mungu ni mwema na shetani ni muovu .
CCM walitakiwa waombe msamaha sio kuridhiana