Migogoro ni mradi wa chawa Mbowe wao hujinifaisha zai pindi kukiwa na pande mbili zenye uhasamaKuendekeza na kuendesha taasisi kikabila na kikanda ndiyo husababisha mipasuko, sioni kama chanzo cha tatizo hilo ni timu mpya, ila ni feelings za watu.
Akina Yericko Nyerere na kikundi chake wao ni wanufaika wa propaganda uzushi na mambo yote ya hovyo ndani ya chademaHujawahi kuwa na hoja..endelea na shughuli zako za HAMAS..
Ccm kilipinga lini ushoga?Chini ya Lissu hiki chama lazima kiunge mkono ushoga..
Kwa sasa ccm itaendelea kutawala idara zote za kisiasa , kwa upinzani bado unajitafuta, ruzuku ya chadema ya nyuma yote ilipigwa na mbowe na sasa ruzuku mpya itatumika kujenga chama zaidiWeka akiba ya maneno
Na pia subiri figisu zitakazochezwa na ccm kuhusu kupata ruzuku
They can't actually do anything yaliyomkuta Nicolas Maduro yatamkuta mama akiharibu uchaguziKaskazini hawana hisa CDM tena mtukome..
Nafurah sana TL kushinda, kuna genge la watu wap.mbavu walikuwa wanafanya ni full time job kumtukana na kutukana watu wa maeneo anayotoka...
Mtukome na mkomae, Watu wa Kaskazini wawe CDM kwa maslahi yapi?
TL ameshinda apige kazi, aache makundi na kejeli kwa walioshindwa,
CCM is here to stay, at least for sometime, maana Democracia ni hisani ya Rais wa CCM and they can do anything to maintain power...
Yericko Nyerere na kikundi chake wapo mbioni kuja huko kutengeneza mazingira ccm ishinde viti vyote ili wapate visingizio vya kuwazushia Lisu na heche kuwa wanakiua chamaKaskazini tulishaizika ccm zamani sana hata jiwe ligombee na ccm tutachagua jiwe.
Chawa wa mbowe ndiyo wataharibu uchanguzi kwani badala ya kuhamasisha umoja wamekalia kubomoa chama lli kuwakomoa Lisu na HecheThey can't actually do anything yaliyomkuta Nicolas Maduro yatamkuta mama akiharibu uchaguzi
Huna lolote wewe .Wanaukumbi
Baada ya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kuisha na kupata viongozi wa wapya Mwenyekiti Tundu Lissu, na Makamu wake John Heche.
Kama tulivyosikia na kuona hotuba ya Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, kuwa uchaguzi umeacha mpasuko mkubwa ndani ya chama ingawa hawa viongozi wapya wanajifanya kama hamna kitu kilichotokea, ukimuangalia Mbowe alivyokuwa anaongea unaona wazi kabisa kaondoka CHADEMA na kinyongo moyoni na usaliti aliyofanyiwa na baadhi ya wenzake ambao alikuwa anaona ni watu wake wa karibu kumbe maadui zake
Hawa wasaliti walimchafua sana Mbowe, kwenye mitandao ya kijamii kumtukana kwenye mitandao kumuita mla rushwa mkubwa hana uchungu na CHADEMA, msaliti mkubwa alikuwa Lema, na wenzake amba walitumwa na kumshambulia Mbowe, leo hii wamesahu mchango wa Mbowe katika Chadema Lema, kamsaliti Mbowe, watu wa Kaskazini ambayo ilikuwa ngome ya Chadema. Wamasikitishwa sana na wengi wapo kimya wanasema adhabu yao wataitoa October.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Hamna kipindi watu wa Kaskazini wameumizwa kama hiki kipindi kiongozi wao mkuu Mbowe kushambuliwa, kutukanwa kudhalilishwa na kina Lema, na genge lake, baada ya Uchaguzi hawa viogozi wanaanza kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kuanza kumsifia kinafiki nani alikuwa anajua kama mkutano wa Chadema maandalizi yote pesa katoa Mbowe zaidi ya Milioni 300. Lema na wenzake walisema hili.
Nimeongea na watu wa Kaskazini wengi wanasema bora waende wakatulie kwa Mama tu CCM.
Kimsingi Lema na Lissu. Siyo wakazi wa Tanzania, Lema famila yake ipo Canada na Lissu familia yake wapo Marekani na Ubeligiji. Wote wanatembea na tiketi mfukoni.
Yericho hana nguvu ndani ya CDM ni minor sana no effect no impactYericko Nyerere na kikundi chake wapo mbioni kuja huko kutengeneza mazingira ccm ishinde viti vyote ili wapate visingizio vya kuwazushia Lisu na heche kuwa wanakiua chama
Wanaukumbi
Baada ya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kuisha na kupata viongozi wa wapya Mwenyekiti Tundu Lissu, na Makamu wake John Heche.
Kama tulivyosikia na kuona hotuba ya Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, kuwa uchaguzi umeacha mpasuko mkubwa ndani ya chama ingawa hawa viongozi wapya wanajifanya kama hamna kitu kilichotokea, ukimuangalia Mbowe alivyokuwa anaongea unaona wazi kabisa kaondoka CHADEMA na kinyongo moyoni na usaliti aliyofanyiwa na baadhi ya wenzake ambao alikuwa anaona ni watu wake wa karibu kumbe maadui zake
Hawa wasaliti walimchafua sana Mbowe, kwenye mitandao ya kijamii kumtukana kwenye mitandao kumuita mla rushwa mkubwa hana uchungu na CHADEMA, msaliti mkubwa alikuwa Lema, na wenzake amba walitumwa na kumshambulia Mbowe, leo hii wamesahu mchango wa Mbowe katika Chadema Lema, kamsaliti Mbowe, watu wa Kaskazini ambayo ilikuwa ngome ya Chadema. Wamasikitishwa sana na wengi wapo kimya wanasema adhabu yao wataitoa October.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Hamna kipindi watu wa Kaskazini wameumizwa kama hiki kipindi kiongozi wao mkuu Mbowe kushambuliwa, kutukanwa kudhalilishwa na kina Lema, na genge lake, baada ya Uchaguzi hawa viogozi wanaanza kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kuanza kumsifia kinafiki nani alikuwa anajua kama mkutano wa Chadema maandalizi yote pesa katoa Mbowe zaidi ya Milioni 300. Lema na wenzake walisema hili.
Nimeongea na watu wa Kaskazini wengi wanasema bora waende wakatulie kwa Mama tu CCM.
Kimsingi Lema na Lissu. Siyo wakazi wa Tanzania, Lema famila yake ipo Canada na Lissu familia yake wapo Marekani na Ubeligiji. Wote wanatembea na tiketi mfukoni.
Na kw mxingi huo, kw kua Zenji na Tanganyika zinatawaliwa na waislam, ndo tuxeme CCM ni msikiti na msikiti ni CCM!?Chadema sasa iko chini ya miamvuli miwili;
1. Chini ya Maria Sarungi
2. Chini ya Baraza la Maaskofu
Maria Sarungi ndio final say pale, Lissu hasemi kitu kwa Maria kwa sababu, Chadema inakwenda kutumika kuvutia fedha za misaada kutoka nje na hao wafadhili, Maria ndio anao sasa.
Nguvu ya ukatoliki imetumika kumsimika Lissu kuwa Mwenyekiti, KKKT imepigwa KO mbaya sana na Katoliki chini ya Jesuits Kitima.
Lissu hasemi kitu kwa viongozi wake wa kiroho na ni Katoliki, wamempa maelekezo Lissu ambakishe Mnyika aendelee kuwa Katibu Mkuu kwa maana, Mnyika ni kijana mtiifu wa Kikatoliki.
Chadema sasa ni Kanisa, Kanisa ni CHADEMA. Kwisha habari!
Bado hamjasema, mtasema Tu. Kwahio Sio chagadema tena wala sacoss ya Mbowe? Nyie mna mental illness inawasumbuaChadema sasa ni Kanisa, Kanisa ni CHADEMA. Kwisha habari!
Umemjibu vyema SanaNa kw mxingi huo, kw kua Zenji na Tanganyika zinatawaliwa na waislam, ndo tuxeme CCM ni msikiti na msikiti ni CCM!?
Utopolo gani huu!?
Tafuta msaada wa kisaikolojia mkuuChadema sasa iko chini ya miamvuli miwili;
1. Chini ya Maria Sarungi
2. Chini ya Baraza la Maaskofu
Maria Sarungi ndio final say pale, Lissu hasemi kitu kwa Maria kwa sababu, Chadema inakwenda kutumika kuvutia fedha za misaada kutoka nje na hao wafadhili, Maria ndio anao sasa.
Nguvu ya ukatoliki imetumika kumsimika Lissu kuwa Mwenyekiti, KKKT imepigwa KO mbaya sana na Katoliki chini ya Jesuits Kitima.
Lissu hasemi kitu kwa viongozi wake wa kiroho na ni Katoliki, wamempa maelekezo Lissu ambakishe Mnyika aendelee kuwa Katibu Mkuu kwa maana, Mnyika ni kijana mtiifu wa Kikatoliki.
Chadema sasa ni Kanisa, Kanisa ni CHADEMA. Kwisha habari!
Siku chache kabla ya lisu kutangaza kuwania uenyekiti alikuwa kaundiwa zengwe na mbowe la kufukuzwa chadema, kilichomuokoa Lisu ni kuongea vitu vya Siri vya Mbowe ambavyo Mbowe hakutarajia kuwa Lisu alikuwa akivijua , ndipo upepo ghafra ukabadilika na nia ya kumfukuza chadema kuisha lakini Wajumbe wasiopendezwa na hilo zengwe wakamshauri Lisu agombee uenyekiti ili iwe fimbo ya kumchapa Mbowe kwa kuendekeza Majungu fitna na kutaka kumshusha Lisu kisiasa