Pre GE2025 Naiona kambi ya CHADEMA Kaskazini hiyoo inaeenda CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wapi imeandikwa ni lazima vyama vyote vya upinzani viunge mkono kauli ya Lissu ili jambo liwe na uhalali?

Unadhani saivi ni nyakati za kibabe? Hujui kiwa mnapingana na wakati? Hujui hata huko kwenye vyombo vya dola kuna watu saivi wanaona nyie ni wajinga na mnapaswa kupumzishwa?
 
Yaani wewe Ritz Leo umekuwa mtetezi wa watu wa kasikazini ndani ya CDD..?? Kweli ukistaajabu ya Musa.
Si nyie mlisema ni chama Cha wachaga.. a.k.a chagadema..?
Nilifikiri ungefurahi wachaga wanapigwa chini..
 
Wewe ni chizi ujue
Kama hamjajipanga na uchaguzi wa Oktoba 2025 mna hiyari ya kukaa pembeni mtakuja kushiriki siku zijazo kama mtakuwa bado mko hai lakini eti Tanzania isifanye uchaguzi kisa UFIPA wanataka katiba mpya ni ujinga wa hali ya juu sana kuwahi kutokea!.
 
Kwanza miaka yote mliyokuwa wabunge na mnabugia ruzuku kwani katiba gani ilikuwa inatumika? Halafu mchakato wa katiba si mliuvuruga na wahuni wenzenu wa UKAWA au?

Tunawasubiri kwa hamu sana na hiyo slogan yenu ya No Reform No Election tuwanyooshe vizuri mpaka mtakaa sawa!

Tukutane Oktoba 2025
 
Ww utakuwa ni mzee lazima, wazee ndio huwa wanatumia propaganda outdated hivi. Amka mzee, kizazi hiki hakuna mtu ananunua proganda zenu nyie zama damu. We kameze vidonge vyako vya tezi dume hakuna mtu utamuokota kiboya hivyo.
Chama kikuu cha upinzani ni chama chenye wabubge wengi bungeni siyo chama chenye kelele mitandaoni!..

Chama kikuu cha upinzani ni kile chenye kuongoza kambi kuu ya upinzani bungeni na kuwa na idadi kubwa ya wabunge ! Sasa sijui kama hili unalijua!
 
Kama hamjajipanga na uchaguzi wa Oktoba 2025 mna hiyari ya kukaa pembeni mtakuja kushiriki siku zijazo kama mtakuwa bado mko hai lakini eti Tanzania isifanye uchaguzi kisa UFIPA wanataka katiba mpya ni ujinga wa hali ya juu sana kuwahi kutokea!.
Mambo ya CHADEMA yanakuwashia nini?
 
Kuna watu wameanza kupata mihemko ya kuanza kufikiria Lissu agombee Urais 2025, hamjui bado atafanya kazi gani kwenye uwenyekiti wake, mnataka agombee Urais?
😂
 
Kwa hiyo Lissu akae pamoja na Mapandikizi yenu? Ili muendelee kupata siri za CHADEMA wapuuzi nyie?
Hasira za ni mkuu? Awafukuze tu yeye ndio top kwa sasa.

Kuhusu issue ya mapandikizi hilo hana ujanja wa kulikwepa na hakuna taasisi yenye ujanja huo. Itabaki kuwa siri akiamua kutoshirikisha mtu yeyote yale anayoyawaza.
 
Kambi hiyo hiyo ambayo ilipost video ya ku support lissu?
Au kuna kambi nyingine?
 
Kumekucha
 
UMETOKA KUZIMU, unakuja kuposti UHARO WA DENGU NA MTORI🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Chama kikuu cha upinzani ni chama chenye wabubge wengi bungeni siyo chama chenye kelele mitandaoni!..

Chama kikuu cha upinzani ni kile chenye kuongoza kambi kuu ya upinzani bungeni na kuwa na idadi kubwa ya wabunge ! Sasa sijui kama hili unalijua!
Kwenye hizi chaguzi za kishenzi unapata wapi nguvu ya kuongelea chama chenye wabunge wengi ama wachache bungeni? Uchaguzi kama ule wa cdm juzi ndio ungeweza kuongea wingi na uchache wa wabunge, sio kwa upuuzi ule unaoendelea kwenye chaguzi za nchi.
 
Litakuwa pigo kubwa kwa Chadema ikiwa Kaskazini watajiunga na ACT
 
Hivi kuna watu kabisa wanaamini Lissu ataweza kuwa raisi 2025?
Labda sio Tanzania.....
Ni kweli, maana rais wa Tanzania sio lazima awe rais kwa kura halali, huku Lisu akiamini kwenye ushindi wa kura halali tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…