Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili yako finyu sana1.Rais mstaafu Jakaya kikwete
2.Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe
3.Mzee Yusuph Makamba
Sina mengi sana ,kazi iendelee let we trust our beloved Rais Samia atawashauri wafanye maamuzi hayo .
Vyovyote vile iwe CDM au CCMTukiendelea kuongozwa na CCM? au Andazi?
You could be sick!1.Rais mstaafu Jakaya kikwete
2.Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe
3.Mzee Yusuph Makamba
Sina mengi sana ,kazi iendelee let we trust our beloved Rais Samia atawashauri wafanye maamuzi hayo .
Pamekuuma namba 2 hapo ?You could be sick!
Wish you best of lucky with your illness!Pamekuuma namba 2 hapo ?
Hao ndio Deep State?? Hii nchi ina laana hao akina Mbowe mnawaonea tu1.Rais mstaafu Jakaya kikwete
2.Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe
3.Mzee Yusuph Makamba
Sina mengi sana ,kazi iendelee let we trust our beloved Rais Samia atawashauri wafanye maamuzi hayo .
Upo sahihi kabisa!!1. Rais mstaafu, Jakaya kikwete
2. Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe
3. Mzee Yusuph Makamba
Sina mengi sana, kazi iendelee let we trust our beloved Rais Samia atawashauri wafanye maamuzi hayo.
Ilikuwa ni 1-1, bado wiki moja inasoma 2-1Siasa haina kustaafu na pili unarithisha hadi watoto na wajukuuu na vitukuu na vilembwe, sasa unachoongea hakitekelezeki naona..
Kwa ufupi endelea kungoja...
😆😆😆😆😆 MnazinguaIlikuwa ni 1-1, bado wiki moja inasoma 2-1
Wewe huelewi chochoteHao ndio Deep State?? Hii nchi ina laana hao akina Mbowe mnawaonea tu
Hasikilizwi huku ni mmoja wao ?Namba 2 unamuonea, hasikizwi.