Naipa nafasi England kushinda Euro2020 dhidi ya Italia

Kuna kitu unavuta mleta mada, Italy kuanzia mechi za kufuzu ameahinda zote, mpaka kwenye makundi Euro pia ameshinda zote, halafu unamfananisha na huyo muingereza aliebanwa na timu ndogo juzi.
 
Hii sio ligi kwamba ubingwa unaupata kwa kushinda match nyingi
 
Ingawa siipendi timu ya Ujerumani ila ukweli ni kwamba ubingwa unaenda kwao.

Ile mechi ya kwanza na Ufaransa walipigwa kizembe tu.

Kuanzia jumatano kila atakayekutana nae atachezea kichapo.
 
I see!
 
Back
Top Bottom