Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Ni tabia tu ya hiyo Pisi.Mku pisi kamq hizi zinaongoza kuliwa na boda boda na wanaume wa hovyo
Nina shemeji yangu Mr alimnunulia bajaji baada ya kufeli six
Anamiliki pisi kali hatari ama kweli wanawake tuna huruma nawaza alimpendea nini š¤£
Unakuta ana bwana dereva Bajaji, muuza Chips, mwenye duka la nguo nk
Ila yote kwa yote, lazima uhonge sana maana bila hivyo utaishia kuwaita mashemej tu.