Inaonekana bado biashara ya hisa sio common kwa wananchi. Unataka wagawe wazitoe mfukoni mwao. Yaani wewe unataka faida uliyoipata kwa biashara yako ifanane na kila mtu. Siku utakapoamka unaambiwa kuwa hizo milioni 100 ulizowekeza kwenye masoko ya hisa Ni sawa na milioni tatu ndipo utapopata somo na sijui utaenda kuwadai Nani,labda huelewi Mana ya investments in stocks market bro.
Ila kuna furaha unaipata ama naipata pale unapoona mtu anaongea ishu ya kidato cha sita Kama naye Yuko kidato cha sita pia na huku Yuko primary school level so nabakia kucheka ama kufurahia.
Ni sawa na mtu anakusdanganya kuwa ameshafika mahala fulani wakati wewe unapajua kuliko yeye.
Ni sawa nishawahi mkuta jamaa anapiga pindi mahala alijitambulisha kuwa akamalizia tabora boys advance uzuri akataja miaka niliyokuwepo Sasa Ile kumbana akadai aliwahi kuhama. Nikamuacha tu Ila tulikuwa private. Mana nilimuuliza mwalimu wa fizikia aliyefundisha Ni Nani ,hajui jina