THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
utakuwa umevaa kijoraFriends and our Enemies
Katika muendelezo wa kumshukuru Allah muumba wa mbingu,ardhi na vyote vilivyomo naendelea kuipongeza serikali inayoongozwa na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kudumisha amani,umoja,mshikamano na utulivu huku wananchi wazalendo tukiendelea kulipa kodi na kujenga nchi,Ahsante sana Dr Samia.
Hivi karibuni kanisa katoliki limeingia kwenye mgogoro na vita ya kurushiana maneno pamoja na waumini wake huku kanisa hilo likikomaa katika kusimamaia msimamo wa kuwakashifu na kuwatukana waumini hao na kuacha kujibu hoza za msingi za waumini wao.
Badala yake kanisa kupitia vijana wake wamehamisha mjadala na kulia huku wakisaga meno na kusema eti kwamba hao siyo waumini wa katoliki halisia,mara wakisema ni waumini njaa na wavaa vijora.
Katika yote hayo wanayosema kanisa wamepuuza kabisa kama siyo kukwepa kujibu hoja za waumini hao na badala yake hivi sasa wanatuma lawama kwamba vikundi hivyo vinapangwa na CCM na Serikali yake.
Kitu wanachoshindwa kudadavua kanisa ni kwamba ndani ya CCM na Serikali kuna wafuasi wao pia kwahiyo kusema hivyo ni kuzidi kujichimbia shimo wao wenyewe na kujitukana zaidi.
Kwa hayo yanayoendelea napenda sana kuipongeza serikali kwa kupuuza kuingia kwenye fitina ya kuwajibu wala kubishana nao na badala yake wameamua kuwapuuza na kuendelea na shughuli zake za kujenga taifa na kudumisha amani na utulivu nchini.
Ukimya huo ni jibu tosha kwa wote wanaojaribu kutengeneza fitina na kusaga sumu ili kutaka kuligawa taifa na kutengeneza mgawanyiko usio na msingi ndani ya taifa letu.
atakuwa anaimba mwamba mwamba saa hizi 😀IRAN umepata habari we mfia dini wa kitimoto
utakuwa umevaa kijora
IRAN umepata habari we mfia dini wa kitimoto
Tunataka habari za IRAN wewe mpenda imani .AchaIrani wanapaswa kuja kujifunza kwetu wahuni wahuni kama wale wanashughulikiwa vipi
Ila Insha Allah watafanikiwa kurejesha amani
Unaandika ukiwa umevaa kijora au deraaaa?
Kwani walioandaa futuhi na the comedy ya wakatoliki wavaa vijora juzi ni akina nani!?.
Friends and our Enemies
Katika muendelezo wa kumshukuru Allah muumba wa mbingu,ardhi na vyote vilivyomo naendelea kuipongeza serikali inayoongozwa na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kudumisha amani,umoja,mshikamano na utulivu huku wananchi wazalendo tukiendelea kulipa kodi na kujenga nchi,Ahsante sana Dr Samia.
Hivi karibuni kanisa katoliki limeingia kwenye mgogoro na vita ya kurushiana maneno pamoja na waumini wake huku kanisa hilo likikomaa katika kusimamaia msimamo wa kuwakashifu na kuwatukana waumini hao na kuacha kujibu hoja za msingi za waumini wao.
Badala yake kanisa kupitia vijana wake wamehamisha mjadala na kulia huku wakisaga meno na kusema eti kwamba hao siyo waumini wa katoliki halisia,mara wakisema ni waumini njaa na wavaa vijora.
Katika yote hayo wanayosema kanisa wamepuuza kabisa kama siyo kukwepa kujibu hoja za waumini hao na badala yake hivi sasa wanatuma lawama kwamba vikundi hivyo vinapangwa na CCM na Serikali yake.
Kitu wanachoshindwa kudadavua kanisa ni kwamba ndani ya CCM na Serikali kuna wafuasi wao pia kwahiyo kusema hivyo ni kuzidi kujichimbia shimo wao wenyewe na kujitukana zaidi.
Kwa hayo yanayoendelea napenda sana kuipongeza serikali kwa kupuuza kuingia kwenye fitina ya kuwajibu wala kubishana nao na badala yake wameamua kuwapuuza na kuendelea na shughuli zake za kujenga taifa na kudumisha amani na utulivu nchini.
Ukimya huo ni jibu tosha kwa wote wanaojaribu kutengeneza fitina na kusaga sumu ili kutaka kuligawa taifa na kutengeneza mgawanyiko usio na msingi ndani ya taifa letu.
Moja ya ng'ombe zinazopandisha watu hasira, na pasipo sababu za msingi humu jukwaani; basi hii ni namba mbili. Namba moja nadhani kila mtu anaifahamu.
Thibitisha kama wale ni wakatoli ( hali ya kuwa hawajui jina la Papa wanakoshitaki kuwa ni Leo XIV na si Baba Mtakatifu wa 16.Friends and our Enemies
Katika muendelezo wa kumshukuru Allah muumba wa mbingu,ardhi na vyote vilivyomo naendelea kuipongeza serikali inayoongozwa na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kudumisha amani,umoja,mshikamano na utulivu huku wananchi wazalendo tukiendelea kulipa kodi na kujenga nchi,Ahsante sana Dr Samia.
Hivi karibuni kanisa katoliki limeingia kwenye mgogoro na vita ya kurushiana maneno pamoja na waumini wake huku kanisa hilo likikomaa katika kusimamaia msimamo wa kuwakashifu na kuwatukana waumini hao na kuacha kujibu hoja za msingi za waumini wao.
Badala yake kanisa kupitia vijana wake wamehamisha mjadala na kulia huku wakisaga meno na kusema eti kwamba hao siyo waumini wa katoliki halisia,mara wakisema ni waumini njaa na wavaa vijora.
Katika yote hayo wanayosema kanisa wamepuuza kabisa kama siyo kukwepa kujibu hoja za waumini hao na badala yake hivi sasa wanatuma lawama kwamba vikundi hivyo vinapangwa na CCM na Serikali yake.
Kitu wanachoshindwa kudadavua kanisa ni kwamba ndani ya CCM na Serikali kuna wafuasi wao pia kwahiyo kusema hivyo ni kuzidi kujichimbia shimo wao wenyewe na kujitukana zaidi.
Kwa hayo yanayoendelea napenda sana kuipongeza serikali kwa kupuuza kuingia kwenye fitina ya kuwajibu wala kubishana nao na badala yake wameamua kuwapuuza na kuendelea na shughuli zake za kujenga taifa na kudumisha amani na utulivu nchini.
Ukimya huo ni jibu tosha kwa wote wanaojaribu kutengeneza fitina na kusaga sumu ili kutaka kuligawa taifa na kutengeneza mgawanyiko usio na msingi ndani ya taifa letu.
Thibitisha kama wale ni wakatoli ( hali ya kuwa hawajui jina la Papa wanakoshitaki kuwa ni Leo XIV na si Baba Mtakatifu wa 16.
Hawajui jina Askofu wanaye mshitaki kuwa ni Ruwai'chi na si Lwacha.
Hawajui Baraza la maaskofu wao kuwa ni TEC na si TAC.
Hawajui nyimbo za Kanisa lao
Hawajui jumuiya, kigango, na parokia wanazo Toka Wala hawana vitambulisho vya ukatoliki wao licha yakuwa wameandaa press wenyewe.
Sasa wewe ndio unawajua wakatoliki zaidi tuthibitishie ukatoliki wao, kujiita mkatoliki pekee hakutoshi.
Thibitisha pia kauli ya Askofu ikisema wale wametumwa na chama ulichokitaja, au ndio kujistukia kwenyewe baada ya kutenda uovu? ( Maaskofu wamelaani dhamiri zao, Sasa zawasuta wenyewe)
wangeacha kutuma wahuni wanaojiita wakatoliki ningeamini samia amekaa kimya, ila kutuma wahuni na mafirauni kujifanya ni wakatoliki ni kukosa hoja kama wewe mwenyewe usivyo na hoja kwenye andiko lakoFriends and our Enemies