Naipongeza sana Serikali ya Samia Suluhu kwa kujiweka mbali na fitina za Kanisa Katoliki

Siyo kazi yangu kuwafundisha waumimi wenzako umahiri wa dini yenu na.miiko yenu au majina ya viongozi wenu

Ni jukumu la kanisa kuwaita na kuwapa elimu na siyo kuwatukana na kuwadhihaki.
hakuna muumini pale, sasa fatima wa mwananyamala ni muumini wa katoliki?
 
Siyo kazi yangu kuwafundisha waumimi wenzako umahiri wa dini yenu na.miiko yenu au majina ya viongozi wenu

Ni jukumu la kanisa kuwaita na kuwapa elimu na siyo kuwatukana na kuwadhihaki.
Thibitisha uumini wao Kwa kanisa katoliki.

Kama unaushahidi wa uumini wao Kwa Kanisa kwanini unapinga maaskofu wanapotoa taratibu na nidhamu zao za kikatoliki au wewe ndio unazijua zaidi ya hao viongozi wanapotoa maelekezo.
 
Thibitisha kama wale ni wakatoli ( hali ya kuwa hawajui jina la Papa wanakoshitaki kuwa ni Leo XIV na si Baba Mtakatifu wa 16.

Hawajui jina Askofu wanaye mshitaki kuwa ni Ruwai'chi na si Lwacha.

Hawajui Baraza la maaskofu wao kuwa ni TEC na si TAC.

Hawajui kunukuu maneno kutoka bibilia( wakorinto wa 13 Hadi wa 10. ndio kitu gani hiki?)

Hawajui nyimbo za Kanisa lao
Hawajui jumuiya, kigango, na parokia wanazo Toka Wala hawana vitambulisho vya ukatoliki wao licha yakuwa wameandaa press wenyewe.

Sasa wewe ndio unawajua wakatoliki zaidi tuthibitishie ukatoliki wao unatokana na nini hali ya kuwa hawajui chochote, kujiita mkatoliki pekee hakutoshi.

Thibitisha pia kauli ya Askofu ikisema wale wametumwa na chama ulichokitaja, au ndio kujistukia kwenyewe baada ya kutenda uovu? ( Maaskofu wamelaani dhamiri zao, Sasa zawasuta wenyewe)
Akikujibu ni tag mkuu!
 
Waumini watembee na vitambulisho!?..wangekua siyo wakatoliki huyo domokaya ruwaichi angesema siyo,lakini kasema msiwe kama wale wakatoliki wavaa Madera wanaohongwa
 
Friends and our Enemies

Katika muendelezo wa kumshukuru Allah muumba wa mbingu,ardhi na vyote vilivyomo naendelea kuipongeza serikali inayoongozwa na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kudumisha amani,umoja,mshikamano na utulivu huku wananchi wazalendo tukiendelea kulipa kodi na kujenga nchi,Ahsante sana Dr Samia.

Hivi karibuni kanisa katoliki limeingia kwenye mgogoro na vita ya kurushiana maneno pamoja na waumini wake huku kanisa hilo likikomaa katika kusimamaia msimamo wa kuwakashifu na kuwatukana waumini hao na kuacha kujibu hoja za msingi za waumini wao.

Badala yake kanisa kupitia vijana wake wamehamisha mjadala na kulia huku wakisaga meno na kusema eti kwamba hao siyo waumini wa katoliki halisia,mara wakisema ni waumini njaa na wavaa vijora.

Katika yote hayo wanayosema kanisa wamepuuza kabisa kama siyo kukwepa kujibu hoja za waumini hao na badala yake hivi sasa wanatuma lawama kwamba vikundi hivyo vinapangwa na CCM na Serikali yake.

Kitu wanachoshindwa kudadavua kanisa ni kwamba ndani ya CCM na Serikali kuna wafuasi wao pia kwahiyo kusema hivyo ni kuzidi kujichimbia shimo wao wenyewe na kujitukana zaidi.

Kwa hayo yanayoendelea napenda sana kuipongeza serikali kwa kupuuza kuingia kwenye fitina ya kuwajibu wala kubishana nao na badala yake wameamua kuwapuuza na kuendelea na shughuli zake za kujenga taifa na kudumisha amani na utulivu nchini.

Ukimya huo ni jibu tosha kwa wote wanaojaribu kutengeneza fitina na kusaga sumu ili kutaka kuligawa taifa na kutengeneza mgawanyiko usio na msingi ndani ya taifa letu.
Pole sana...naumia ukiwa pande zipi? Kuwa katoliki raha sana....najivunia sana
 
Waumini watembee na vitambulisho!?..wangekua siyo wakatoliki huyo domokaya ruwaichi angesema siyo,lakini kasema msiwe kama wale wakatoliki wavaa Madera wanaohongwa
Katoliki Ina utaratibu wa vitambulisho Toka unabatizwa taarifa zako zinatunzwa. Na popote inapofaa kutambuliwa unapaswa kwenda nacho ili uhudumiwe kama mkatoliki.

Kwatukio kama lile la press walipaswa kuwa na vitambulisho vya ukatoliki ili kuthibitisha ukatoliki wao Kwa kuwa Sheria za Kanisa Canon law zina bind mkatoliki tu ( both de Iure & de facto). Sasa unashitaki Kwa kurejea Sheria za Kanisa halafu huna utambulisho wa ukatoliki. na Kwa maongezi yao tu inawaonyesha hawajui chochote kama nilivyoeleza hapo Sasa ukatoliki wako umelala kwenye nini Sasa?

Zaidi ya kuwa mkatoliki wa Kijora tu. Hii ndio mantiki ya Askofu. Yaani Kila kitu walichofanya ilikuwa out kabisa na identity ya kikatoliki kwahiyo wale ni wakatoliki wa Vijora(wa mchongo; fake) na si wa Imani. Elewa mantiki hii ndugu.
 
Attachments

  • GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
    GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
    10.9 KB · Views: 21
TEC kipindi hiki wanalala na magauni yao, maana hawajui kesho wanapigwa na kizito gani kichwani
Kwasasa tumewaachia wajibizane na wakatoliki wenzao wanawakataa, eti hawana vitambulisho, hii sasa ni dini au kikundi cha wachawi lazima uwe na unatembea na ngozi ya fisi ndio wakutambue.
Na wakimaliza na wakatoliki wenzao, tunawachomesha na KKKT maana bado wana hasira na TEC mpaka leo kwa kula rushwa ya ESCROW
 
Friends and our Enemies

Katika muendelezo wa kumshukuru Allah muumba wa mbingu,ardhi na vyote vilivyomo naendelea kuipongeza serikali inayoongozwa na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kudumisha amani,umoja,mshikamano na utulivu huku wananchi wazalendo tukiendelea kulipa kodi na kujenga nchi,Ahsante sana Dr Samia.

Hivi karibuni kanisa katoliki limeingia kwenye mgogoro na vita ya kurushiana maneno pamoja na waumini wake huku kanisa hilo likikomaa katika kusimamaia msimamo wa kuwakashifu na kuwatukana waumini hao na kuacha kujibu hoja za msingi za waumini wao.

Badala yake kanisa kupitia vijana wake wamehamisha mjadala na kulia huku wakisaga meno na kusema eti kwamba hao siyo waumini wa katoliki halisia,mara wakisema ni waumini njaa na wavaa vijora.

Katika yote hayo wanayosema kanisa wamepuuza kabisa kama siyo kukwepa kujibu hoja za waumini hao na badala yake hivi sasa wanatuma lawama kwamba vikundi hivyo vinapangwa na CCM na Serikali yake.

Kitu wanachoshindwa kudadavua kanisa ni kwamba ndani ya CCM na Serikali kuna wafuasi wao pia kwahiyo kusema hivyo ni kuzidi kujichimbia shimo wao wenyewe na kujitukana zaidi.

Kwa hayo yanayoendelea napenda sana kuipongeza serikali kwa kupuuza kuingia kwenye fitina ya kuwajibu wala kubishana nao na badala yake wameamua kuwapuuza na kuendelea na shughuli zake za kujenga taifa na kudumisha amani na utulivu nchini.

Ukimya huo ni jibu tosha kwa wote wanaojaribu kutengeneza fitina na kusaga sumu ili kutaka kuligawa taifa na kutengeneza mgawanyiko usio na msingi ndani ya taifa letu.
Acha uchonganishi na chuki wewe kijana.
 
Thibitisha kama wale ni wakatoli ( hali ya kuwa hawajui jina la Papa wanakoshitaki kuwa ni Leo XIV na si Baba Mtakatifu wa 16.

Hawajui jina Askofu wanaye mshitaki kuwa ni Ruwai'chi na si Lwacha.

Hawajui Baraza la maaskofu wao kuwa ni TEC na si TAC.

Hawajui kunukuu maneno kutoka bibilia( wakorinto wa 13 Hadi wa 10. ndio kitu gani hiki?)

Hawajui nyimbo za Kanisa lao
Hawajui jumuiya, kigango, na parokia wanazo Toka Wala hawana vitambulisho vya ukatoliki wao licha yakuwa wameandaa press wenyewe.

Sasa wewe ndio unawajua wakatoliki zaidi tuthibitishie ukatoliki wao unatokana na nini hali ya kuwa hawajui chochote, kujiita mkatoliki pekee hakutoshi.

Thibitisha pia kauli ya Askofu ikisema wale wametumwa na chama ulichokitaja, au ndio kujistukia kwenyewe baada ya kutenda uovu? ( Maaskofu wamelaani dhamiri zao, Sasa zawasuta wenyewe)
Huu sasa ndio umbulula wa nyinyi mijitu mieusi, mnawekewa masharti ya kutambulika kwenye dini kwa kupewa na namba au kitambulisho, hii hakuna madhehebu mengine kama KKT au Wasabato, maana mmefanywa kondoo hamna akili mnapigwa mihuri ya utambulisho, ndio maana mna roho mbaya sana ya kukataa kuzika waktoliki wenzenu eti hawana utambulisho na sisi ndio tunachukua jukumu la kuwazika kila siku tena kiislamu.
Huu ukatoliki ni upumbavu ndio maana wazungu wanaukuimbia hala nyinyi mijitu mieusi mnaushobokea
Wazungu wote wameshauona ukatoliki ni upumbavu, kama lugha inapanda na una bado soma hapa

View: https://www.youtube.com/watch?v=_9HFgtD4oqo

View: https://www.facebook.com/CatholicNewsAgency/posts/the-catholic-population-in-europe-fell-by-nearly-half-a-million-people-in-2022-b/1080077250146531/
 
Machawa kwanini mnapenda kuandika mabango mareefu

Au sababu ya buku7?
Unandika bango refuu ila contents ziro
Unatumia VPN gani wee pimbi?
 
Friends and our Enemies

Katika muendelezo wa kumshukuru Allah muumba wa mbingu,ardhi na vyote vilivyomo naendelea kuipongeza serikali inayoongozwa na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kudumisha amani,umoja,mshikamano na utulivu huku wananchi wazalendo tukiendelea kulipa kodi na kujenga nchi,Ahsante sana Dr Samia.

Hivi karibuni kanisa katoliki limeingia kwenye mgogoro na vita ya kurushiana maneno pamoja na waumini wake huku kanisa hilo likikomaa katika kusimamaia msimamo wa kuwakashifu na kuwatukana waumini hao na kuacha kujibu hoja za msingi za waumini wao.

Badala yake kanisa kupitia vijana wake wamehamisha mjadala na kulia huku wakisaga meno na kusema eti kwamba hao siyo waumini wa katoliki halisia,mara wakisema ni waumini njaa na wavaa vijora.

Katika yote hayo wanayosema kanisa wamepuuza kabisa kama siyo kukwepa kujibu hoja za waumini hao na badala yake hivi sasa wanatuma lawama kwamba vikundi hivyo vinapangwa na CCM na Serikali yake.

Kitu wanachoshindwa kudadavua kanisa ni kwamba ndani ya CCM na Serikali kuna wafuasi wao pia kwahiyo kusema hivyo ni kuzidi kujichimbia shimo wao wenyewe na kujitukana zaidi.

Kwa hayo yanayoendelea napenda sana kuipongeza serikali kwa kupuuza kuingia kwenye fitina ya kuwajibu wala kubishana nao na badala yake wameamua kuwapuuza na kuendelea na shughuli zake za kujenga taifa na kudumisha amani na utulivu nchini.

Ukimya huo ni jibu tosha kwa wote wanaojaribu kutengeneza fitina na kusaga sumu ili kutaka kuligawa taifa na kutengeneza mgawanyiko usio na msingi ndani ya taifa letu.
Ndugu hivi wewe kwa mipasho hii unamapenzi na hii nchi kweli,mbona uandishi wako upon kutetea utawala tu,hujaona kosa lolote la utawala ni kusifia tu kila jambo,waislaam hatutakiwi kuwa hivyo bro,tunatakiwa tuwe mfano haijalishi aliefanya ni muislaam mwenzetu au lah. inasikitisha sana kwako wewe uislaam wake ni uthibitisho kila analolifanya ni Samia ni jema.
 
Huu sasa ndio umbulula wa nyinyi mijitu mieusi, mnawekewa masharti ya kutambulika kwenye dini kwa kupewa na namba au kitambulisho, hii hakuna madhehebu mengine kama KKT au Wasabato, maana mmefanywa kondoo hamna akili mnapigwa mihuri ya utambulisho, ndio maana mna roho mbaya sana ya kukataa kuzika waktoliki wenzenu eti hawana utambulisho na sisi ndio tunachukua jukumu la kuwazika kila siku tena kiislamu.
Huu ukatoliki ni upumbavu ndio maana wazungu wanaukuimbia hala nyinyi mijitu mieusi mnaushobokea
Wazungu wote wameshauona ukatoliki ni upumbavu, kama lugha inapanda na una bado soma hapa

View: https://www.youtube.com/watch?v=_9HFgtD4oqo

View: https://www.facebook.com/CatholicNewsAgency/posts/the-catholic-population-in-europe-fell-by-nearly-half-a-million-people-in-2022-b/1080077250146531/

Haulazimishwi kuwa mkatoliki, Wala Kanisa halibembelezi mtu kuwa mkatoliki Lina heshimu dhamiri ya mtu akiwa hai kanisa halivizii misaba. Cha kushangazaWatu wenyewe ndio Wanajibandika ukatoliki.

Halafu wakatoliki wenyewe wafuraha na kutamba na ukatoliki wao. Wamelelewa, kimwili, kiroho, kiutu, kiakili ndani ya kanisa Wala hawana shida wanaelewa taratibu za Kanisa lao.

Kama huwezi fuata misingi hiyo Wala Kanisa halikuzuii na unaporudi milango ipo wazi ila Kwa kukiri Imani upya.

Misingi hii ndio imeliimarisha Kanisa na kuwepo imara Hadi leo, kesho, Hadi Yesu atakaporudi.
 
Halafu wakatoliki wenyewe wafuraha na kutamba na ukatoliki wao. Wamelelewa, kimwili, kiroho, kiutu, kiakili ndani ya kanisa Wala hawana shida wanaelewa taratibu za Kanisa lao.
Uwongo mtupu, dini inayojifanya imnafuraha na mnaamini MungU inakataa kuzika wenzao, hapa ndio tunajua huyo mnaemini sio Mungu ni lijitu fulani mnaliita yesu(sio isa)
Wakati wakristo wote wengine haamini yesu ni mungu, ni nyinyi tu ndio mmejaa huu ujinga

Dini gani hii mnapewa vitambulisho? yaani inaingia akilini kweli eti lazima uwe na namba ya kukutambulisha, hii sio dini ni cult
 
Kwani lazima uwe mkatoliki?
Unang'ang'ania nini huku hautaki kushika taratibu na misingi yake.

Unaenda sehemu inayokufaa. Wakatoliki wenyewe wanajua taratibu zao tangu watoto Wala. Wanajivunia tu Imani yao na kutamba.

Ukatoliki Raha bwana.
 
wangeacha kutuma wahuni wanaojiita wakatoliki ningeamini samia amekaa kimya, ila kutuma wahuni na mafirauni kujifanya ni wakatoliki ni kukosa hoja kama wewe mwenyewe usivyo na hoja kwenye andiko lako

Samia hana muda mchafu wa kubishana na watu waliokimbia majukumu ya familia na kulea watoto kama hao wavaa magauni

Infact hao watu ni watu wa kupenda dezo dezo na hopless maishani
 
Kwani lazima uwe mkatoliki?
Unang'ang'ania nini huku hautaki kushika taratibu na misingi yake.

Unaenda sehemu inayokufaa. Wakatoliki wenyewe wanajua taratibu zao tangu watoto Wala. Wanajivunia tu Imani yao na kutamba.

Ukatoliki Raha bwana.

Raha au karaha??

Wewe unadhan kwa midume jinga kama ile inayovaa magauni kupigwa marufuku kuoa waishi maisha yao yote kwa nyege na kupiga nyeto ni Raha??Teh teh teh
 
Back
Top Bottom