Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Kwamba kanzu hamvai? 🤣🤣🤣🤣Kama maaskofu wenyewe wanavaa magauni kuna ubaya gani waumini wao wakivaa vijora?
Kwamba kanzu hamvai? 🤣🤣🤣🤣Kama maaskofu wenyewe wanavaa magauni kuna ubaya gani waumini wao wakivaa vijora?
Said somebody ambae hajui catholic si kama huduma ya mwaposa,TEC kipindi hiki wanalala na magauni yao, maana hawajui kesho wanapigwa na kizito gani kichwani
Kwasasa tumewaachia wajibizane na wakatoliki wenzao wanawakataa, eti hawana vitambulisho, hii sasa ni dini au kikundi cha wachawi lazima uwe na unatembea na ngozi ya fisi ndio wakutambue.
Na wakimaliza na wakatoliki wenzao, tunawachomesha na KKKT maana bado wana hasira na TEC mpaka leo kwa kula rushwa ya ESCROW
N i kweli. Kwa machawa na mashehe ni jambo la kumpongeza japo wanashabikia uuaji wa wenzao. Endelea kupongezana hadi mtakapojikuta kwenye mahakama ya kimataifa ya jinai muanze kulia.Friends and our Enemies
Katika muendelezo wa kumshukuru Allah muumba wa mbingu,ardhi na vyote vilivyomo naendelea kuipongeza serikali inayoongozwa na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kudumisha amani,umoja,mshikamano na utulivu huku wananchi wazalendo tukiendelea kulipa kodi na kujenga nchi,Ahsante sana Dr Samia.
Hivi karibuni kanisa katoliki limeingia kwenye mgogoro na vita ya kurushiana maneno pamoja na waumini wake huku kanisa hilo likikomaa katika kusimamaia msimamo wa kuwakashifu na kuwatukana waumini hao na kuacha kujibu hoja za msingi za waumini wao.
Badala yake kanisa kupitia vijana wake wamehamisha mjadala na kulia huku wakisaga meno na kusema eti kwamba hao siyo waumini wa katoliki halisia,mara wakisema ni waumini njaa na wavaa vijora.
Katika yote hayo wanayosema kanisa wamepuuza kabisa kama siyo kukwepa kujibu hoja za waumini hao na badala yake hivi sasa wanatuma lawama kwamba vikundi hivyo vinapangwa na CCM na Serikali yake.
Kitu wanachoshindwa kudadavua kanisa ni kwamba ndani ya CCM na Serikali kuna wafuasi wao pia kwahiyo kusema hivyo ni kuzidi kujichimbia shimo wao wenyewe na kujitukana zaidi.
Kwa hayo yanayoendelea napenda sana kuipongeza serikali kwa kupuuza kuingia kwenye fitina ya kuwajibu wala kubishana nao na badala yake wameamua kuwapuuza na kuendelea na shughuli zake za kujenga taifa na kudumisha amani na utulivu nchini.
Ukimya huo ni jibu tosha kwa wote wanaojaribu kutengeneza fitina na kusaga sumu ili kutaka kuligawa taifa na kutengeneza mgawanyiko usio na msingi ndani ya taifa letu.
N i kweli. Kwa machawa na mashehe ni jambo la kumpongeza japo wanashabikia uuaji wa wenzao. Endelea kupongezana hadi mtakapojikuta kwenye mahakama ya kimataifa ya jinai muanze kulia. Tuna tatizo la elimu nchini ambapo baadhi ya dini zimewajaza watu ujuha na wivu badala ya kutafuta elimu wanatafuta fitina na uchonganishi. Kweli, ujinga ni zigo tena la uchafu
Muumini wa kanisa katoliki wallahi😁Rachel dangwa
KANISA LINAKIMBIA KIVULI CHAKE KINATUPA LAWAMA KWA SERIKALIWao hawakuhitaji kutoka na vitambulisho vya ukatoliki,mwambie ruwaichi awakane kwamba siyo wakatoliki halafu wao wata-react
Yule mwingine mlisema siyo mkatoliki,alivyojitambulisha na kuthibitisha ukatoliki wake mkadai ni mwana CCM
Yaani Askofu awaite waislam, aanze kuwafundisha taratibu za Kanisa Katoliki, ili iweje. Mafundisho wanayoyapata kwa mashekhe ubwabwa hayawatoshi? Kwa ili movie ya akina Fatuma na akina Kidawa mmefeli sana, labda ndipo uwezo wa akili yenu unapoishia!!
Tukio lile lililotengenezwa, kwa kuwatumia waislam wajifanye wakatoliki, kama una akili japo kidogo litakuwa limekufundisha maana ya ustaarabu, na jinsi upendo wa Wakristo unavyoeza kuubeba uvumilivu kama Mungu alivyoagiza. Jiulize nafsini mwako kama ingetokea wakristo wajifanye waislam halafu wakavamia ofisi ya Mufti na kuanza kumtusi, unatarajia wangerudi salama kama wale waislam waliojifanya wakristo?
Tukio lile pia limeonesha udhaifu wa kiimani kwa waislam, yaani mtu yupo kufanya lolote alimradi amelipwa, sawa na wale mashekhe ubwabwa ambao huwezi kusikia wakisema lolote hata pale waumini wao wanapouawa na Serikali, kwa vile tu Serikali inawapa ubwabwa wa kujaza matumbo yao.
Na ni kweli kanisa likikuwpo even before nchi haijapata uhuru...Said somebody ambae hajui catholic si kama huduma ya mwaposa,
Ni taasis ipo before even nchi haijapata uhuru
So uliza taratibu zikoje, usiropoke kwa hisia
Kanisa lilikuwa agent of colonialism?Na ni kweli kanisa likikuwpo even before nchi haijapata uhuru...
Na ndiyo walikuja kama agents of colonialism as missionaries na wakawa kikwazo sana cha kupatikana uhuru nchini hapa
Leo fyoko fyoko zao wanazitoa wapi?
akili ndogoFriends and our Enemies
Katika muendelezo wa kumshukuru Allah muumba wa mbingu,ardhi na vyote vilivyomo naendelea kuipongeza serikali inayoongozwa na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kudumisha amani,umoja,mshikamano na utulivu huku wananchi wazalendo tukiendelea kulipa kodi na kujenga nchi,Ahsante sana Dr Samia.
Hivi karibuni kanisa katoliki limeingia kwenye mgogoro na vita ya kurushiana maneno pamoja na waumini wake huku kanisa hilo likikomaa katika kusimamaia msimamo wa kuwakashifu na kuwatukana waumini hao na kuacha kujibu hoja za msingi za waumini wao.
Badala yake kanisa kupitia vijana wake wamehamisha mjadala na kulia huku wakisaga meno na kusema eti kwamba hao siyo waumini wa katoliki halisia,mara wakisema ni waumini njaa na wavaa vijora.
Katika yote hayo wanayosema kanisa wamepuuza kabisa kama siyo kukwepa kujibu hoja za waumini hao na badala yake hivi sasa wanatuma lawama kwamba vikundi hivyo vinapangwa na CCM na Serikali yake.
Kitu wanachoshindwa kudadavua kanisa ni kwamba ndani ya CCM na Serikali kuna wafuasi wao pia kwahiyo kusema hivyo ni kuzidi kujichimbia shimo wao wenyewe na kujitukana zaidi.
Kwa hayo yanayoendelea napenda sana kuipongeza serikali kwa kupuuza kuingia kwenye fitina ya kuwajibu wala kubishana nao na badala yake wameamua kuwapuuza na kuendelea na shughuli zake za kujenga taifa na kudumisha amani na utulivu nchini.
Ukimya huo ni jibu tosha kwa wote wanaojaribu kutengeneza fitina na kusaga sumu ili kutaka kuligawa taifa na kutengeneza mgawanyiko usio na msingi ndani ya taifa letu.
Alhamdulillah kwa neema ya uislamu jitu lina PHD halafu linafanya kitendo kama hiki!
Bora niendelee kuvaa KOBAZI...
Kanisa lilikuwa agent of colonialism?
Traders, explorers, hunters ambao ndio walikwua wana mchango mkubwa zaidi unawawcha wapi?
Nani awe fahari kuwa mkatoliki??Mbona unalazimisha ukatoliki😆, unaona jinsi gani ni fahari kuwa mkatoliki mpaka mnauganda. Ni Raha kuwa mkatoliki eti. Ukihamia tu kwenye jumuiya ya watu kumi tu unaenda na kitambulisho Cha ukatoliki tukuthibitishe sembuse ubalozini? Are you serious? Ubalozini ni gengeni? Yaani watu muandamane kushitaki ubalozini na kufanya press halafu usiwe na utambulisho. Si ndio ulofa huu.
Unashitaki Kwa kutumia Canon law bila kuthibitisha Ukatoliki wako? Sasa Canon law itatoaje hukumu bila kuthibitisha Ukatoliki wako kwanza kwasababu Ina bind mkatoliki tu.
Katoliki ni imara ipo systematic. Haendeshwi kiholela. Ni complex sana kama upo nje huwezi jua chochote.
Watu wanachezea ukatoliki bila kujua mifumo yake mwishoni mnaumbuka.
Na hauwezi kujua mifumo yake kizembe mwishoni mnaumbuka.
Kaanza how weak your response , umekurupuka .Umesoma wapi ww muimba kwaya.?
Agents of colonialism kuna hunters??teh teh
Mnalo hilo...
Missionaries,Traders and Explorers
Sasa tunashangaa kanisa leo kujifanya lina uchungu na taifa hili...toka lin??