brownjosephati
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 616
- 758
hakuna muumini pale, sasa fatima wa mwananyamala ni muumini wa katoliki?Siyo kazi yangu kuwafundisha waumimi wenzako umahiri wa dini yenu na.miiko yenu au majina ya viongozi wenu
Ni jukumu la kanisa kuwaita na kuwapa elimu na siyo kuwatukana na kuwadhihaki.
Thibitisha uumini wao Kwa kanisa katoliki.Siyo kazi yangu kuwafundisha waumimi wenzako umahiri wa dini yenu na.miiko yenu au majina ya viongozi wenu
Ni jukumu la kanisa kuwaita na kuwapa elimu na siyo kuwatukana na kuwadhihaki.
Akikujibu ni tag mkuu!Thibitisha kama wale ni wakatoli ( hali ya kuwa hawajui jina la Papa wanakoshitaki kuwa ni Leo XIV na si Baba Mtakatifu wa 16.
Hawajui jina Askofu wanaye mshitaki kuwa ni Ruwai'chi na si Lwacha.
Hawajui Baraza la maaskofu wao kuwa ni TEC na si TAC.
Hawajui kunukuu maneno kutoka bibilia( wakorinto wa 13 Hadi wa 10. ndio kitu gani hiki?)
Hawajui nyimbo za Kanisa lao
Hawajui jumuiya, kigango, na parokia wanazo Toka Wala hawana vitambulisho vya ukatoliki wao licha yakuwa wameandaa press wenyewe.
Sasa wewe ndio unawajua wakatoliki zaidi tuthibitishie ukatoliki wao unatokana na nini hali ya kuwa hawajui chochote, kujiita mkatoliki pekee hakutoshi.
Thibitisha pia kauli ya Askofu ikisema wale wametumwa na chama ulichokitaja, au ndio kujistukia kwenyewe baada ya kutenda uovu? ( Maaskofu wamelaani dhamiri zao, Sasa zawasuta wenyewe)
Waumini watembee na vitambulisho!?..wangekua siyo wakatoliki huyo domokaya ruwaichi angesema siyo,lakini kasema msiwe kama wale wakatoliki wavaa Madera wanaohongwaThibitisha uumini wao Kwa kanisa katoliki.
Kama unaushahidi wa uumini wao Kwa Kanisa kwanini unapinga maaskofu wanapotoa taratibu na nidhamu zao za kikatoliki au wewe ndio unazijua zaidi ya hao viongozi wanapotoa maelekezo.
Ukute ndio ile mali mbovu.utakuwa umevaa kijora
Pole sana...naumia ukiwa pande zipi? Kuwa katoliki raha sana....najivunia sanaFriends and our Enemies
Katika muendelezo wa kumshukuru Allah muumba wa mbingu,ardhi na vyote vilivyomo naendelea kuipongeza serikali inayoongozwa na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kudumisha amani,umoja,mshikamano na utulivu huku wananchi wazalendo tukiendelea kulipa kodi na kujenga nchi,Ahsante sana Dr Samia.
Hivi karibuni kanisa katoliki limeingia kwenye mgogoro na vita ya kurushiana maneno pamoja na waumini wake huku kanisa hilo likikomaa katika kusimamaia msimamo wa kuwakashifu na kuwatukana waumini hao na kuacha kujibu hoja za msingi za waumini wao.
Badala yake kanisa kupitia vijana wake wamehamisha mjadala na kulia huku wakisaga meno na kusema eti kwamba hao siyo waumini wa katoliki halisia,mara wakisema ni waumini njaa na wavaa vijora.
Katika yote hayo wanayosema kanisa wamepuuza kabisa kama siyo kukwepa kujibu hoja za waumini hao na badala yake hivi sasa wanatuma lawama kwamba vikundi hivyo vinapangwa na CCM na Serikali yake.
Kitu wanachoshindwa kudadavua kanisa ni kwamba ndani ya CCM na Serikali kuna wafuasi wao pia kwahiyo kusema hivyo ni kuzidi kujichimbia shimo wao wenyewe na kujitukana zaidi.
Kwa hayo yanayoendelea napenda sana kuipongeza serikali kwa kupuuza kuingia kwenye fitina ya kuwajibu wala kubishana nao na badala yake wameamua kuwapuuza na kuendelea na shughuli zake za kujenga taifa na kudumisha amani na utulivu nchini.
Ukimya huo ni jibu tosha kwa wote wanaojaribu kutengeneza fitina na kusaga sumu ili kutaka kuligawa taifa na kutengeneza mgawanyiko usio na msingi ndani ya taifa letu.
Katoliki Ina utaratibu wa vitambulisho Toka unabatizwa taarifa zako zinatunzwa. Na popote inapofaa kutambuliwa unapaswa kwenda nacho ili uhudumiwe kama mkatoliki.Waumini watembee na vitambulisho!?..wangekua siyo wakatoliki huyo domokaya ruwaichi angesema siyo,lakini kasema msiwe kama wale wakatoliki wavaa Madera wanaohongwa
Dawa itakuwa imemuingia vzrAkikujibu ni tag mkuu!
Acha uchonganishi na chuki wewe kijana.Friends and our Enemies
Katika muendelezo wa kumshukuru Allah muumba wa mbingu,ardhi na vyote vilivyomo naendelea kuipongeza serikali inayoongozwa na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kudumisha amani,umoja,mshikamano na utulivu huku wananchi wazalendo tukiendelea kulipa kodi na kujenga nchi,Ahsante sana Dr Samia.
Hivi karibuni kanisa katoliki limeingia kwenye mgogoro na vita ya kurushiana maneno pamoja na waumini wake huku kanisa hilo likikomaa katika kusimamaia msimamo wa kuwakashifu na kuwatukana waumini hao na kuacha kujibu hoja za msingi za waumini wao.
Badala yake kanisa kupitia vijana wake wamehamisha mjadala na kulia huku wakisaga meno na kusema eti kwamba hao siyo waumini wa katoliki halisia,mara wakisema ni waumini njaa na wavaa vijora.
Katika yote hayo wanayosema kanisa wamepuuza kabisa kama siyo kukwepa kujibu hoja za waumini hao na badala yake hivi sasa wanatuma lawama kwamba vikundi hivyo vinapangwa na CCM na Serikali yake.
Kitu wanachoshindwa kudadavua kanisa ni kwamba ndani ya CCM na Serikali kuna wafuasi wao pia kwahiyo kusema hivyo ni kuzidi kujichimbia shimo wao wenyewe na kujitukana zaidi.
Kwa hayo yanayoendelea napenda sana kuipongeza serikali kwa kupuuza kuingia kwenye fitina ya kuwajibu wala kubishana nao na badala yake wameamua kuwapuuza na kuendelea na shughuli zake za kujenga taifa na kudumisha amani na utulivu nchini.
Ukimya huo ni jibu tosha kwa wote wanaojaribu kutengeneza fitina na kusaga sumu ili kutaka kuligawa taifa na kutengeneza mgawanyiko usio na msingi ndani ya taifa letu.
Huu sasa ndio umbulula wa nyinyi mijitu mieusi, mnawekewa masharti ya kutambulika kwenye dini kwa kupewa na namba au kitambulisho, hii hakuna madhehebu mengine kama KKT au Wasabato, maana mmefanywa kondoo hamna akili mnapigwa mihuri ya utambulisho, ndio maana mna roho mbaya sana ya kukataa kuzika waktoliki wenzenu eti hawana utambulisho na sisi ndio tunachukua jukumu la kuwazika kila siku tena kiislamu.Thibitisha kama wale ni wakatoli ( hali ya kuwa hawajui jina la Papa wanakoshitaki kuwa ni Leo XIV na si Baba Mtakatifu wa 16.
Hawajui jina Askofu wanaye mshitaki kuwa ni Ruwai'chi na si Lwacha.
Hawajui Baraza la maaskofu wao kuwa ni TEC na si TAC.
Hawajui kunukuu maneno kutoka bibilia( wakorinto wa 13 Hadi wa 10. ndio kitu gani hiki?)
Hawajui nyimbo za Kanisa lao
Hawajui jumuiya, kigango, na parokia wanazo Toka Wala hawana vitambulisho vya ukatoliki wao licha yakuwa wameandaa press wenyewe.
Sasa wewe ndio unawajua wakatoliki zaidi tuthibitishie ukatoliki wao unatokana na nini hali ya kuwa hawajui chochote, kujiita mkatoliki pekee hakutoshi.
Thibitisha pia kauli ya Askofu ikisema wale wametumwa na chama ulichokitaja, au ndio kujistukia kwenyewe baada ya kutenda uovu? ( Maaskofu wamelaani dhamiri zao, Sasa zawasuta wenyewe)
Ndugu hivi wewe kwa mipasho hii unamapenzi na hii nchi kweli,mbona uandishi wako upon kutetea utawala tu,hujaona kosa lolote la utawala ni kusifia tu kila jambo,waislaam hatutakiwi kuwa hivyo bro,tunatakiwa tuwe mfano haijalishi aliefanya ni muislaam mwenzetu au lah. inasikitisha sana kwako wewe uislaam wake ni uthibitisho kila analolifanya ni Samia ni jema.Friends and our Enemies
Katika muendelezo wa kumshukuru Allah muumba wa mbingu,ardhi na vyote vilivyomo naendelea kuipongeza serikali inayoongozwa na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kudumisha amani,umoja,mshikamano na utulivu huku wananchi wazalendo tukiendelea kulipa kodi na kujenga nchi,Ahsante sana Dr Samia.
Hivi karibuni kanisa katoliki limeingia kwenye mgogoro na vita ya kurushiana maneno pamoja na waumini wake huku kanisa hilo likikomaa katika kusimamaia msimamo wa kuwakashifu na kuwatukana waumini hao na kuacha kujibu hoja za msingi za waumini wao.
Badala yake kanisa kupitia vijana wake wamehamisha mjadala na kulia huku wakisaga meno na kusema eti kwamba hao siyo waumini wa katoliki halisia,mara wakisema ni waumini njaa na wavaa vijora.
Katika yote hayo wanayosema kanisa wamepuuza kabisa kama siyo kukwepa kujibu hoja za waumini hao na badala yake hivi sasa wanatuma lawama kwamba vikundi hivyo vinapangwa na CCM na Serikali yake.
Kitu wanachoshindwa kudadavua kanisa ni kwamba ndani ya CCM na Serikali kuna wafuasi wao pia kwahiyo kusema hivyo ni kuzidi kujichimbia shimo wao wenyewe na kujitukana zaidi.
Kwa hayo yanayoendelea napenda sana kuipongeza serikali kwa kupuuza kuingia kwenye fitina ya kuwajibu wala kubishana nao na badala yake wameamua kuwapuuza na kuendelea na shughuli zake za kujenga taifa na kudumisha amani na utulivu nchini.
Ukimya huo ni jibu tosha kwa wote wanaojaribu kutengeneza fitina na kusaga sumu ili kutaka kuligawa taifa na kutengeneza mgawanyiko usio na msingi ndani ya taifa letu.
Haulazimishwi kuwa mkatoliki, Wala Kanisa halibembelezi mtu kuwa mkatoliki Lina heshimu dhamiri ya mtu akiwa hai kanisa halivizii misaba. Cha kushangazaWatu wenyewe ndio Wanajibandika ukatoliki.Huu sasa ndio umbulula wa nyinyi mijitu mieusi, mnawekewa masharti ya kutambulika kwenye dini kwa kupewa na namba au kitambulisho, hii hakuna madhehebu mengine kama KKT au Wasabato, maana mmefanywa kondoo hamna akili mnapigwa mihuri ya utambulisho, ndio maana mna roho mbaya sana ya kukataa kuzika waktoliki wenzenu eti hawana utambulisho na sisi ndio tunachukua jukumu la kuwazika kila siku tena kiislamu.
Huu ukatoliki ni upumbavu ndio maana wazungu wanaukuimbia hala nyinyi mijitu mieusi mnaushobokea
Wazungu wote wameshauona ukatoliki ni upumbavu, kama lugha inapanda na una bado soma hapa
Why Germany's Catholics are turning their back on the church
Over half a million Roman Catholics left the church in Germany last year alone. Why are people breaking with the institution? DW's Christoph Strack caught up with one former "core member" of the church.www.dw.com
Catholics Are Rapidly Losing Ground
By Eric Sammons - A new survey shows that for every 100 new Catholics, more than 800 people leave the Church. As bad as that is, the news is actually worse when we look more closely at the numbers. Radical changes are needed.crisismagazine.com
German Catholic church ‘dying painful death’ as 520,000 leave in a year
Speed of departures has been driven by series of child abuse scandals and accusations of a cover-upwww.theguardian.com
View: https://www.youtube.com/watch?v=_9HFgtD4oqo
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/CatholicNewsAgency/posts/the-catholic-population-in-europe-fell-by-nearly-half-a-million-people-in-2022-b/1080077250146531/
Uwongo mtupu, dini inayojifanya imnafuraha na mnaamini MungU inakataa kuzika wenzao, hapa ndio tunajua huyo mnaemini sio Mungu ni lijitu fulani mnaliita yesu(sio isa)Halafu wakatoliki wenyewe wafuraha na kutamba na ukatoliki wao. Wamelelewa, kimwili, kiroho, kiutu, kiakili ndani ya kanisa Wala hawana shida wanaelewa taratibu za Kanisa lao.
Kwani lazima uwe mkatoliki?Uwongo mtupu, dini inayojifanya imnafuraha na mnaamini MungU inakataa kuzika wenzao, hapa ndio tunajua huyo mnaemini sio Mungu ni lijitu fulani mnaliita yesu(sio isa)
Wakati wakristo wote wengine haamini yesu ni mungu, ni nyinyi tu ndio mmejaa huu ujinga
Dini gani hii mnapewa vitambulisho? yaani inaingia akilini kweli eti lazima uwe na namba ya kukutambulisha, hii sio dini ni cult
wangeacha kutuma wahuni wanaojiita wakatoliki ningeamini samia amekaa kimya, ila kutuma wahuni na mafirauni kujifanya ni wakatoliki ni kukosa hoja kama wewe mwenyewe usivyo na hoja kwenye andiko lako
Kwani lazima uwe mkatoliki?
Unang'ang'ania nini huku hautaki kushika taratibu na misingi yake.
Unaenda sehemu inayokufaa. Wakatoliki wenyewe wanajua taratibu zao tangu watoto Wala. Wanajivunia tu Imani yao na kutamba.
Ukatoliki Raha bwana.