THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
- Thread starter
-
- #41
wangeacha kutuma wahuni wanaojiita wakatoliki ningeamini samia amekaa kimya, ila kutuma wahuni na mafirauni kujifanya ni wakatoliki ni kukosa hoja kama wewe mwenyewe usivyo na hoja kwenye andiko lako
hakuna muumini pale, sasa fatima wa mwananyamala ni muumini wa katoliki?
TEC kipindi hiki wanalala na magauni yao, maana hawajui kesho wanapigwa na kizito gani kichwani
Kwasasa tumewaachia wajibizane na wakatoliki wenzao wanawakataa, eti hawana vitambulisho, hii sasa ni dini au kikundi cha wachawi lazima uwe na unatembea na ngozi ya fisi ndio wakutambue.
Na wakimaliza na wakatoliki wenzao, tunawachomesha na KKKT maana bado wana hasira na TEC mpaka leo kwa kula rushwa ya ESCROW
Wao hawakuhitaji kutoka na vitambulisho vya ukatoliki,mwambie ruwaichi awakane kwamba siyo wakatoliki halafu wao wata-reactKatoliki Ina utaratibu wa vitambulisho Toka unabatizwa taarifa zako zinatunzwa. Na popote inapofaa kutambuliwa unapaswa kwenda nacho ili uhudumiwe kama mkatoliki.
Kwatukio kama lile la press walipaswa kuwa na vitambulisho vya ukatoliki ili kuthibitisha ukatoliki wao Kwa kuwa Sheria za Kanisa Canon law zina bind mkatoliki tu ( both de Iure & de facto). Sasa unashitaki Kwa kurejea Sheria za Kanisa halafu huna utambulisho wa ukatoliki. na Kwa maongezi yao tu inawaonyesha hawajui chochote kama nilivyoeleza hapo Sasa ukatoliki wako umelala kwenye nini Sasa?
Zaidi ya kuwa mkatoliki wa Kijora tu. Hii ndio mantiki ya Askofu. Yaani Kila kitu walichofanya ilikuwa out kabisa na identity ya kikatoliki kwahiyo wale ni wakatoliki wa Vijora(wa mchongo; fake) na si wa Imani. Elewa mantiki hii ndugu.
Wasted spermFriends and our Enemies
Katika muendelezo wa kumshukuru Allah muumba wa mbingu,ardhi na vyote vilivyomo naendelea kuipongeza serikali inayoongozwa na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kudumisha amani,umoja,mshikamano na utulivu huku wananchi wazalendo tukiendelea kulipa kodi na kujenga nchi,Ahsante sana Dr Samia.
Hivi karibuni kanisa katoliki limeingia kwenye mgogoro na vita ya kurushiana maneno pamoja na waumini wake huku kanisa hilo likikomaa katika kusimamaia msimamo wa kuwakashifu na kuwatukana waumini hao na kuacha kujibu hoja za msingi za waumini wao.
Badala yake kanisa kupitia vijana wake wamehamisha mjadala na kulia huku wakisaga meno na kusema eti kwamba hao siyo waumini wa katoliki halisia,mara wakisema ni waumini njaa na wavaa vijora.
Katika yote hayo wanayosema kanisa wamepuuza kabisa kama siyo kukwepa kujibu hoja za waumini hao na badala yake hivi sasa wanatuma lawama kwamba vikundi hivyo vinapangwa na CCM na Serikali yake.
Kitu wanachoshindwa kudadavua kanisa ni kwamba ndani ya CCM na Serikali kuna wafuasi wao pia kwahiyo kusema hivyo ni kuzidi kujichimbia shimo wao wenyewe na kujitukana zaidi.
Kwa hayo yanayoendelea napenda sana kuipongeza serikali kwa kupuuza kuingia kwenye fitina ya kuwajibu wala kubishana nao na badala yake wameamua kuwapuuza na kuendelea na shughuli zake za kujenga taifa na kudumisha amani na utulivu nchini.
Ukimya huo ni jibu tosha kwa wote wanaojaribu kutengeneza fitina na kusaga sumu ili kutaka kuligawa taifa na kutengeneza mgawanyiko usio na msingi ndani ya taifa letu.
Humu ndani mashoga wengi sana wewe ukiwa.kiongozi.waoWao hawakuhitaji kutoka na vitambulisho vya ukatoliki,mwambie ruwaichi awakane kwamba siyo wakatoliki halafu wao wata-react
Yule mwingine mlisema siyo mkatoliki,alivyojitambulisha na kuthibitisha ukatoliki wake mkadai ni mwana CCM
Kwa maudhui yaliyopo katika andiko lako hili unakidhi vigezo vyote vya sifa tajwa hapo juu.Friends and our Enemies
Hata lile ***** Mufti Zuberi na lenyewe linavaa gauni na lemba kichwaniKama maaskofu wenyewe wanavaa magauni kuna ubaya gani waumini wao wakivaa vijora?
Kiti moto unatumia?Kama maaskofu wenyewe wanavaa magauni kuna ubaya gani waumini wao wakivaa vijora?
Mbona unalazimisha ukatoliki😆, unaona jinsi gani ni fahari kuwa mkatoliki mpaka mnauganda. Ni Raha kuwa mkatoliki eti. Ukihamia tu kwenye jumuiya ya watu kumi tu unaenda na kitambulisho Cha ukatoliki tukuthibitishe sembuse ubalozini? Are you serious? Ubalozini ni gengeni? Yaani watu muandamane kushitaki ubalozini na kufanya press halafu usiwe na utambulisho. Si ndio ulofa huu.Wao hawakuhitaji kutoka na vitambulisho vya ukatoliki,mwambie ruwaichi awakane kwamba siyo wakatoliki halafu wao wata-react
Yule mwingine mlisema siyo mkatoliki,alivyojitambulisha na kuthibitisha ukatoliki wake mkadai ni mwana CCM
Jibu kwa walioandaa kile kikundi fake cha waumini piaUkimya huo ni jibu tosha kwa wote wanaojaribu kutengeneza fitina na kusaga sumu ili kutaka kuligawa taifa
Rubbish!Friends and our Enemies
Katika muendelezo wa kumshukuru Allah muumba wa mbingu,ardhi na vyote vilivyomo naendelea kuipongeza serikali inayoongozwa na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kudumisha amani,umoja,mshikamano na utulivu huku wananchi wazalendo tukiendelea kulipa kodi na kujenga nchi,Ahsante sana Dr Samia.
Hivi karibuni kanisa katoliki limeingia kwenye mgogoro na vita ya kurushiana maneno pamoja na waumini wake huku kanisa hilo likikomaa katika kusimamaia msimamo wa kuwakashifu na kuwatukana waumini hao na kuacha kujibu hoja za msingi za waumini wao.
Badala yake kanisa kupitia vijana wake wamehamisha mjadala na kulia huku wakisaga meno na kusema eti kwamba hao siyo waumini wa katoliki halisia,mara wakisema ni waumini njaa na wavaa vijora.
Katika yote hayo wanayosema kanisa wamepuuza kabisa kama siyo kukwepa kujibu hoja za waumini hao na badala yake hivi sasa wanatuma lawama kwamba vikundi hivyo vinapangwa na CCM na Serikali yake.
Kitu wanachoshindwa kudadavua kanisa ni kwamba ndani ya CCM na Serikali kuna wafuasi wao pia kwahiyo kusema hivyo ni kuzidi kujichimbia shimo wao wenyewe na kujitukana zaidi.
Kwa hayo yanayoendelea napenda sana kuipongeza serikali kwa kupuuza kuingia kwenye fitina ya kuwajibu wala kubishana nao na badala yake wameamua kuwapuuza na kuendelea na shughuli zake za kujenga taifa na kudumisha amani na utulivu nchini.
Ukimya huo ni jibu tosha kwa wote wanaojaribu kutengeneza fitina na kusaga sumu ili kutaka kuligawa taifa na kutengeneza mgawanyiko usio na msingi ndani ya taifa letu.
Haitupi shida,mlianza na CNN mkashindwa mkaja na ICC mkaangukia PUA,Mkaja na Maaskofu wakiwasaidiwa na Warioba mkafa kibudu kabisa
Siyo kazi yangu kuwafundisha waumimi wenzako umahiri wa dini yenu na.miiko yenu au majina ya viongozi wenu
Ni jukumu la kanisa kuwaita na kuwapa elimu na siyo kuwatukana na kuwadhihaki.
Hakuna wa kuwatumia wahuni wale.wavaa magauni wanaoishi kwa nyeto wewe.
Nami binafsi kama Kiranja wa jamii nachukua nafasi hii kuwapongeza viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuwa imara na kutoonyesha ukondoo kwa hizi senema zinazochezwa na serikali ya Samia na chama chake cha CCMFriends and our Enemies