Naipongeza sana Serikali ya Samia Suluhu kwa kujiweka mbali na fitina za Kanisa Katoliki

Said somebody ambae hajui catholic si kama huduma ya mwaposa,
Ni taasis ipo before even nchi haijapata uhuru

So uliza taratibu zikoje, usiropoke kwa hisia
 
N i kweli. Kwa machawa na mashehe ni jambo la kumpongeza japo wanashabikia uuaji wa wenzao. Endelea kupongezana hadi mtakapojikuta kwenye mahakama ya kimataifa ya jinai muanze kulia.
 
 
Wao hawakuhitaji kutoka na vitambulisho vya ukatoliki,mwambie ruwaichi awakane kwamba siyo wakatoliki halafu wao wata-react
Yule mwingine mlisema siyo mkatoliki,alivyojitambulisha na kuthibitisha ukatoliki wake mkadai ni mwana CCM
KANISA LINAKIMBIA KIVULI CHAKE KINATUPA LAWAMA KWA SERIKALI
 
Yaani Askofu awaite waislam, aanze kuwafundisha taratibu za Kanisa Katoliki, ili iweje. Mafundisho wanayoyapata kwa mashekhe ubwabwa hayawatoshi? Kwa ili movie ya akina Fatuma na akina Kidawa mmefeli sana, labda ndipo uwezo wa akili yenu unapoishia!!

MUISLAM HANA MUDA MCHAFU WA KUJIFANANISHA NA KAFIRI HATA SIKU MOJA

KAENI NA WAUMINI WENU MUWAOMBE RADHI KWA KUWATUKANA HAYO NI MATATIZO YENU NA KANISA SISI WAISLAM TUNAINGIAJE SASA
 

KWAHIYO MMESHINDWA KUWAJIBU WAUMNI WENU KISHA LAWAMA MNATUPA SISI WAISLAM TENA??

RUWAICHI SI ALISEMA WALE WAUMINI NI MALOFA PIA WANA NJAA NA WAVAA VIJORA

SASA IWEJE USEME NI WAISLAM TENA
 
Said somebody ambae hajui catholic si kama huduma ya mwaposa,
Ni taasis ipo before even nchi haijapata uhuru

So uliza taratibu zikoje, usiropoke kwa hisia
Na ni kweli kanisa likikuwpo even before nchi haijapata uhuru...

Na ndiyo walikuja kama agents of colonialism as missionaries na wakawa kikwazo sana cha kupatikana uhuru nchini hapa

Leo fyoko fyoko zao wanazitoa wapi?
 
Na ni kweli kanisa likikuwpo even before nchi haijapata uhuru...

Na ndiyo walikuja kama agents of colonialism as missionaries na wakawa kikwazo sana cha kupatikana uhuru nchini hapa

Leo fyoko fyoko zao wanazitoa wapi?
Kanisa lilikuwa agent of colonialism?

Traders, explorers, hunters ambao ndio walikwua wana mchango mkubwa zaidi unawawcha wapi?
 
Alhamdulillah kwa neema ya uislamu jitu lina PHD halafu linafanya kitendo kama hiki!

Bora niendelee kuvaa KOBAZI...
 

Attachments

  • Screenshot_20260109_194446.jpg
    160.4 KB · Views: 16
akili ndogo
 
Hawa wanao jiita wasomi wa PHD wanapenda kutumia neno Haki na watu wanapaswa kutoa maoni yao kwa uwazi na uhuru lakini wao hawataki waumini wao watoe hayo maoni kwa uwazi wana double standard sana

Waachieni pia waumini wenu bila kuwapa majina ya ajabu ajabu kuelezea hisia zao na ndo democracy hiyo sio nyie kujipa ukubwa na nafasi ya kusemea wengine lkn mkisemwa nyie na watu wenu huko mnaanza kejeli tena kwa watu wenu tulieni wakuu sindano inapo ingilia ndo inatokea hapo hapo wakuu
 
Alhamdulillah kwa neema ya uislamu jitu lina PHD halafu linafanya kitendo kama hiki!

Bora niendelee kuvaa KOBAZI...

Alhamdulillah

Just imagine mtu anajiita Profesa kisha anachukua sanamu la.maria analiomba eti maria mama wa mungu tunaomba utuombee...kama.siyo wehu tuite nini??
 
Kanisa lilikuwa agent of colonialism?

Traders, explorers, hunters ambao ndio walikwua wana mchango mkubwa zaidi unawawcha wapi?

Umesoma wapi ww muimba kwaya.?

Agents of colonialism kuna hunters??teh teh

Mnalo hilo...

Missionaries,Traders and Explorers

Sasa tunashangaa kanisa leo kujifanya lina uchungu na taifa hili...toka lin??
 
Nani awe fahari kuwa mkatoliki??
Teh teh teh
Watu ambao walikuwa ni agents of colonialism na kuwafanya babu zetu wawe watumwa kuna haja gani ya kujifaharisha nao...

Wanachukua sanamu la. Mzungu wanalitundika uchi msalabani na kuliabudu na kuliita mungu mtu unawezaje kuwa fahari katika hilo??
 
Umesoma wapi ww muimba kwaya.?

Agents of colonialism kuna hunters??teh teh

Mnalo hilo...

Missionaries,Traders and Explorers

Sasa tunashangaa kanisa leo kujifanya lina uchungu na taifa hili...toka lin??
Kaanza how weak your response , umekurupuka .
Sizungumzii hunters wa wanyama nope
Hunters ni wale walitangulia kutafuta fursa,
Mfano pathfinders of empire, kabla colonil adminstration kuwa established , hunters acted as explorer
Hawa ndio walikuwa wanaenda ku survery lands, identifying resources while tracking game.

So next time usikurupuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…