Naipongeza TCRA kwa kumkomesha Polepole and the Likes: Massage sent!

Yea Mwigulu, Kabudi, Ndugai
Mr. Supika na msaidizi wake walitengeneza mazingira wezeshi Kwa Sheria mbovu kupitishwa Kwa Imani ile kuwa zitawakomesha wapinzani, ilikutokuwajibishwa Kwa kushindwa kutekeleza wajibu wa kuisimamia serikali wakaona wajiwekee Kinga yakutoshitakiwa.
 
Mkuu umeandika vyema lakini kama Polepole angekuwa na good intentions sawa lakini tatizo la huyu bwana hata demeanor yake tuu inaonesha ill intentions, nimekuwa subjective lakini huo ndio ukweli.
 
Mr. Supika ma msaidizi wake walitengeneza mazingira wezeshi Kwa Sheria mbovu kupitishwa Kwa Imani ile kuwa zitawakesha wapinzani, ilikutokuwajibishwa Kwa kushindwa kutekeleza wajibu wa kuisimamia serikali wakaona wajiwekee Kinga yakutoshitakiwa.
Ipo siku na wao itakula kwao. Malipo ni haoa hapa duniani
 
Afungue Saccos kama anataka wwfuasi
Na sisi hatuna muelekeo wala damu
Rais alepita ndio alituletea zao hili na wakafanya kila mabaya kwa kujiamini kuwa wanalindwa

Haka kajamaa kalivyokuwa kanaisifia V8 I bet hata oil lever gauge sijui kama aliwahi kuiona ilipo ila kwa kukingiwa kifua na kupewa mamlaka alikuwa na kibri ya ajabu

Rais akiwa na mamlaka ya hivyo anaweza hata kunyonga watu kwenye madaraja

Kuvuna tu alichopanda haitoshi hawa washtakiwe kabisa
 
Nadhani katika vyote ni kuwa Polepole hana tena ushawishi kama anavyodhani. Haaminiki tena. He lost public trust long time ago.
ingekuwa mtu ambaye hakwepo kwenye serikali iliyopita ningesikiliza mada zake ,lakini mtu yule yule aliyekuwepo kwenye awamu iliyopita akijidai na kiburi leo anafundisha SoMo wengine ambalo yeye alishindwa wakati yupo ndani ya mfumo.
 
mkubwa hongera sana kwa kurudishiwa akili zako baada ya yule hayati wa Chato kufikwa na msiba wa kujitakia

Kiukweli ndani ya utawala wa yule baba sheria zilizotungwa ni aibu hata kusimulia watoto,yule baba ni kama alikuwa mgeni Duniani nadhani huko alikokwenda ndiko wito sahihi alikoitiwa
 
wamemfunza adabu by surprise
 
Lakini naona ni mara 100 kinuke tu kuanza upya sio tatizo!

Kuishi kitumwa nchini wakati kuna kundi dogo linafaidika na keki ya taifa sio sahihi.
 
Ndio maana huwaga nahisi baadhi ya wana chadema ni wapumbavu sana!

Sasa fikiria mtu anashangilia Polepole kufungiwa na hajui kama hiyo ni mtego pia kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…