Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Ss maneno haya ingelifaa umwambie mkenya mwenzako Nicxie anayetamba kuwa na the longest commuter rail than ours huku akisahau kwmb hzo kilometers hata cc tukitaka tunaziongeza mana reli ni ile ile ya mkoloni a.k.a ya mizigo ni maamuzi tu, pia hata hivyo cc tuna plan kujenga commuter rail ukiacha hii reli ya mkoloni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]


Mji wowote duniani km hauna electric Railway basi huo mji ni wa kizamani
 
"Jukumu yetu kubwa kama serikali ni kupunguzia wananchi shida zao, ili wafanye biashara yao kwa haraka. Jukumu yetu sio kuongezea wanabiashara na wananchi shida" ~ President Uhuru Kenyatta.
Hii kiswahili c mchezo, hv huwa mnaelewana kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]


Mji wowote duniani km hauna electric Railway basi huo mji ni wa kizamani
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]


Mji wowote duniani km hauna electric Railway basi huo mji ni wa kizamani
HAHAHAHA, naona unaanza kushikwa na wasi wasi. Miji mingi sana duniani kwanza marekani wanatumia diesel (DMU) angalia brightline train service ya marekani hivi utasema Miami ni mji wa zamani?
Kweli watanzania mko na ushamba ya kutupwa!
Na hiyo ndoto ya sgr bado hamjaamka? Naona hata rufiji iliyokuwa izalishe stima ya kutumiwa hapo pia imekwama.
 
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]


Mji wowote duniani km hauna electric Railway basi huo mji ni wa kizamani
Yani hii mwaka tumewapiga double double. Mombasa port inazidi kupanuliwa, ilikuwa na ukubwa mara tatu ya port zote za Tanzania zikiunganishwa, sasa inaelekea kuwa ya pili kwa ukubwa bara afrika.
Kabla mshtuke na mombasa port ndio hio nairobi expressway inafanyiwa kazi usiku na mchana na inajengwa kwa miezi 18, mkishangaa ya nairobi expressway tumewagonga tena na commuter rail. Mkizidi kupagawa ndio hio rironi-mau summit expressway.
Yani hii mwaka mtashangaa sana na Kenya.
 
Nyie mafala mnadhani USA ni wapuuzi km nyie au mnadhani hawajui maana ya modern cities [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Nyie mafala mnadhani USA ni wapuuzi km nyie au mnadhani hawajui maana ya modern cities [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1623966
sasa ukiongea electric railway..nchi yenyu iko na super highways na expressway? nchi bila hizo pia ni nchi za kizamani..unanifurahisha venye unatetea nchi yenyu ilhali dunia nzima tunajua penye muko..some time stop being ignorant kubali kenya ipo mbali kuwashinda..semeni tu mnajaribu kutufikia kwa sai penye tuko
 
Huu ni ushuzi wako huu[emoji116][emoji116]
 
Economic update ikitoka world bank wakiona gap wanasema eti; "fake GDP", πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mara eti "uchumi wa kwenye makaratasi"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., juzi nimesoma afdp projection ya African economies wanasema Kenya will tople Morocco soon! Wametuachia around $15-20B., I need to put their objective analysis humu.
 
hiki ndio kibarabara unachojisifia...ulimbukeni mzigo mzito kweli
Endelea kubana pua, hapo ni ufukweni kule coco beach tunajenga fukwe zetu ziwe km Ibiza kule mlipoenda kununua mitumba, elimu imetusaidia sana cc WaTz[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Endelea kupiga kelele za gdp mana c ndo mnakula gdp, cc tunatoboa hata waweke negative but haitaondoa ukweli kwamba ndiyo Super power hapa EA utake usitake [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Endelea kupiga kelele za gdp mana c ndo mnakula gdp, cc tunatoboa hata waweke negative but haitaondoa ukweli kwamba ndiyo Super power hapa EA utake usitake [emoji3][emoji3][emoji3]
Your weak mental structure projected in your low IQ inakuaibisha!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ what is this reasoning kiukweli?., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
TZ is at the lower end (tail end) of LOWER middle income countries, sio MIC tafadhali!., na juzi tu mumeshushwa na IMF kisha mkasema ni WB iliwaweka so hamtosikiza IMF, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimaliza kusoma nenda kajinyonge [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…