Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Kwani tofauti ni gani kama nyie mtatumia reli mpya ifikapo mwaka wa 2030 na sisi tunaotumia reli nzee 2020? Reli ni reli , chuma ni chuma. Huko Britain kuna baadhi ya sehemu bado wanatumia reli iliyojengwa 19th century na hawajaifumua. Sasa leo kwa mara ya kwanza nimeona mtu akiringa eti reli yao itakuwa mpya kishinda ya jirani yake. Afadhali uringe kuhusu treni lakini sio reli. Reli ni chuma tu na ikizeeka inafanyiwa repair. Hata Marekani hawajaunda reli mpya kwa miaka zaidi ya mia moja. Wao waliunda reli yao 19th century au hata mapema zaidi na bado hawajaunda standard gauge railway na pia wana chini ya kilomita 500 ya electric railway. Sasa watu wengi huwa wanacheka Marekani kwamba hana reli ya SGR lakini Marekani anajibu kwamba hana haja ya kujenga SGR ikiwa tayari ana reli na reli hiyo inafanya kazi vizuri tu. Sasa reli za ulaya nyingi ni nzee na hawajazifumua. Sasa wewe unakuja hapa kututambia eti "reli yetu itakuwa mpya?" wacha kushangaza watu. Reli ni vyuma tu sasa unatambia nini hapo? Afadhali ningekuelewa kama ungesema treni yenu itakuwa mpya.
Ss maneno haya ingelifaa umwambie mkenya mwenzako Nicxie anayetamba kuwa na the longest commuter rail than ours huku akisahau kwmb hzo kilometers hata cc tukitaka tunaziongeza mana reli ni ile ile ya mkoloni a.k.a ya mizigo ni maamuzi tu, pia hata hivyo cc tuna plan kujenga commuter rail ukiacha hii reli ya mkoloni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
As the president said, Nairobi is now leading the way for african cities to follow in creating a livable city.

i) Green spaces within the city (Michuki park, Karura Forest, City park etc)
ii) Pedestrian and cycling lanes all across the three districts of the CBD.
iii) A comprehensive public transport system modelled after the european system.(commuter rail and buses)
iv) Better and bigger roads than any other city in the region.(No country in the region has a road like Thika road, Nairobi expressway, a bypass network, or waiyaki way). Uganda has an expressway but it is the same size as outer ring road.

No wonder Nairobi is at the top of the list for foreigners who want to do business in africa.

By the way I came by some document from the world bank, they had projected this project to be operational by 2029 but Kenya is a decade early to the table.

Now the world bank, KR and GOK are setting their sights on a commuter rail system in mombasa which is estimated, will need about 280 km of commuter rail in two phases.
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]

Mji wowote duniani km hauna electric Railway basi huo mji ni wa kizamani
 
"Jukumu yetu kubwa kama serikali ni kupunguzia wananchi shida zao, ili wafanye biashara yao kwa haraka. Jukumu yetu sio kuongezea wanabiashara na wananchi shida" ~ President Uhuru Kenyatta.
Hii kiswahili c mchezo, hv huwa mnaelewana kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]

Mji wowote duniani km hauna electric Railway basi huo mji ni wa kizamani
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]

Mji wowote duniani km hauna electric Railway basi huo mji ni wa kizamani
HAHAHAHA, naona unaanza kushikwa na wasi wasi. Miji mingi sana duniani kwanza marekani wanatumia diesel (DMU) angalia brightline train service ya marekani hivi utasema Miami ni mji wa zamani?
Kweli watanzania mko na ushamba ya kutupwa!
Na hiyo ndoto ya sgr bado hamjaamka? Naona hata rufiji iliyokuwa izalishe stima ya kutumiwa hapo pia imekwama.
 
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]

Mji wowote duniani km hauna electric Railway basi huo mji ni wa kizamani
Yani hii mwaka tumewapiga double double. Mombasa port inazidi kupanuliwa, ilikuwa na ukubwa mara tatu ya port zote za Tanzania zikiunganishwa, sasa inaelekea kuwa ya pili kwa ukubwa bara afrika.
Kabla mshtuke na mombasa port ndio hio nairobi expressway inafanyiwa kazi usiku na mchana na inajengwa kwa miezi 18, mkishangaa ya nairobi expressway tumewagonga tena na commuter rail. Mkizidi kupagawa ndio hio rironi-mau summit expressway.
Yani hii mwaka mtashangaa sana na Kenya.
 
HAHAHAHA, naona unaanza kushikwa na wasi wasi. Miji mingi sana duniani kwanza marekani wanatumia diesel (DMU) angalia brightline train service ya marekani hivi utasema Miami ni mji wa zamani?
Kweli watanzania mko na ushamba ya kutupwa!
Na hiyo ndoto ya sgr bado hamjaamka? Naona hata rufiji iliyokuwa izalishe stima ya kutumiwa hapo pia imekwama.
Nyie mafala mnadhani USA ni wapuuzi km nyie au mnadhani hawajui maana ya modern cities [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-11-11-10-14-41.jpeg
 
Nyie mafala mnadhani USA ni wapuuzi km nyie au mnadhani hawajui maana ya modern cities [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1623966
sasa ukiongea electric railway..nchi yenyu iko na super highways na expressway? nchi bila hizo pia ni nchi za kizamani..unanifurahisha venye unatetea nchi yenyu ilhali dunia nzima tunajua penye muko..some time stop being ignorant kubali kenya ipo mbali kuwashinda..semeni tu mnajaribu kutufikia kwa sai penye tuko
 
Huu ni ushuzi wako huu[emoji116][emoji116]
tapatalk_1596014337657.jpeg
tapatalk_1589306309662.jpeg
 
Yani hii mwaka tumewapiga double double. Mombasa port inazidi kupanuliwa, ilikuwa na ukubwa mara tatu ya port zote za Tanzania zikiunganishwa, sasa inaelekea kuwa ya pili kwa ukubwa bara afrika.
Kabla mshtuke na mombasa port ndio hio nairobi expressway inafanyiwa kazi usiku na mchana na inajengwa kwa miezi 18, mkishangaa ya nairobi expressway tumewagonga tena na commuter rail. Mkizidi kupagawa ndio hio rironi-mau summit expressway.
Yani hii mwaka mtashangaa sana na Kenya.
Economic update ikitoka world bank wakiona gap wanasema eti; "fake GDP", 😂😂😂 mara eti "uchumi wa kwenye makaratasi"😂😂😂., juzi nimesoma afdp projection ya African economies wanasema Kenya will tople Morocco soon! Wametuachia around $15-20B., I need to put their objective analysis humu.
 
hiki ndio kibarabara unachojisifia...ulimbukeni mzigo mzito kweli
Endelea kubana pua, hapo ni ufukweni kule coco beach tunajenga fukwe zetu ziwe km Ibiza kule mlipoenda kununua mitumba, elimu imetusaidia sana cc WaTz[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1603262103035.jpeg
tapatalk_1603262121945.jpeg
tapatalk_1603262109625.jpeg
 
Economic update ikitoka world bank wakiona gap wanasema eti; "fake GDP", [emoji23][emoji23][emoji23] mara eti "uchumi wa kwenye makaratasi"[emoji23][emoji23][emoji23]., juzi nimesoma afdp projection ya African economies wanasema Kenya will tople Morocco soon! Wametuachia around $15-20B., I need to put their objective analysis humu.
Endelea kupiga kelele za gdp mana c ndo mnakula gdp, cc tunatoboa hata waweke negative but haitaondoa ukweli kwamba ndiyo Super power hapa EA utake usitake [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Endelea kupiga kelele za gdp mana c ndo mnakula gdp, cc tunatoboa hata waweke negative but haitaondoa ukweli kwamba ndiyo Super power hapa EA utake usitake [emoji3][emoji3][emoji3]
Your weak mental structure projected in your low IQ inakuaibisha!😂😂😂 what is this reasoning kiukweli?., 😂😂😂😂😂
 
TZ is at the lower end (tail end) of LOWER middle income countries, sio MIC tafadhali!., na juzi tu mumeshushwa na IMF kisha mkasema ni WB iliwaweka so hamtosikiza IMF, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimaliza kusoma nenda kajinyonge [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

Back
Top Bottom