Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ebwanaaeeh nimeangalia mara 10 10 kinachowapa hii shangwe yote hata siamini macho yangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] you can imagine how worst experience they struggle with [emoji3][emoji3][emoji3]
Shangaa na ufaransa pia ku purchase kutoka kw hao jamaa[emoji23][emoji23]
 
Naona mwendawazimu wa kijiji amekuja sokoni wakati zimempanda!!!
Budget ya kupulizia hewa kwenye hii mifupa ya Mkoloni aliowaachia ingetosha kujenga latest sophisticated trams lakini serikali yenu imeshawatapeli tayari 😁😁😁

Zile tram za Hungary ziliishia wapi? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

 

Vipi!! Lini mtatoka kwa vituko kama hii viti vya plastiki na mabati, kunguni, chawa na magonjwa



Tazama jinsi binadamu anafaa kusafiri siyo kupangwa kama hizo gunia zenu za mihogo kwa mkokoteni.


 
Haka ni kale kareli kibaki alijenga(rehabilitate ) back in 2011. Kutoka tao kwenda syokimau na pale buru/ Hamza station.
There is nothing new here, bado ile track ya kwenda kibera ni mbaya na haina stations za maana.
Halafu bado ile ya kwenda Ruiru ( inapitia K.U) hata usiseme.
What is new is the 25 year old locomotives (DMUs) from spain.
There irony of it all is that that train after 8years does only 2 trips, 7 A.M to syoks & jioni 6pm to town.
Bado sana
====
Kibaki launches Sh400m Syokimau Rail Service
 
Ah!! Bana kwani pesa ni ya babako mbona machungu hivyo?!!! Pesa iliwekwa kwa Commuter rail baada ya mazungumzo na world bank. Yani vitu kwa utaratibu sio kukimbilia na kushindwa kumaliza jinsi mmezoea nyinyi.
 
Nyamaza wewe hujui unachosema kama kawaida. Ujuaji halafu ujiaibishe hapa mbele ya watu wako. kwani the new 80 lb sleepers zinawekwa wakitoa zile za 50 lb mpaka hiyo ya kibaki ikangolewa zilitoka kwa bedroom yako?
Zungumza unachojua hii si soko ya machungwa na nyanya
 
Ah!! Bana kwani pesa ni ya babako mbona machungu hivyo?!!! Pesa iliwekwa kwa Commuter rail baada ya mazungumzo na world bank. Yani vitu kwa utaratibu sio kukimbilia na kushindwa kumaliza jinsi mmezoea nyinyi.
Dah kumbe hata hivi napo ni kwa nguvu ya mkopo? 😲😲😲

Mimi nilijua mmejikakamua wenyewe kutokana na ufinyu wa resources ndio mkaja na hiki kituko, 😁😁😁 kumbe ni pesa ya WB? Dah mmetapiliwa kama kawa 🀣🀣🀣
 
Demi linakaribia 70%, kila kitu lazima wakope, sasa hiyo kodi wanayokusanya inakwenda wapi?
 
That rail can only serve watu wa Mombasa road / Jogoo rd as it has always done. Though kuna ile ya kibich (gong rd) wajaluo hufinyana kama mambuzi wakienda inda kufanyia mhindi job. Mind you Thika Rd is the largest residential area that is totally ignored.
Matatu lazima, dirty uncivilized transport will continue to be the hallmark of the land of the drunk naked king
 
Lazima, nyinyi hamukopeshwi kwa sababu mtarudi kulia musamehewe. Ndiyo maana BRT phase 2 imekwama bado ni kale kilomita 21 pekee ndiyo kana fanya kazi.
Hivi tunavyozungumza World bank wamesema watatoa tena $400 million kutengeneza commuter rail ya Mombasa.
Hii ndiyo tofauti ya kuwa nchi inayoaminika kwa kulipa deni.

Hata standard chartered wameanza kufikiria mara mbili kuwapa hile mkopo ya $1.4 billion baada ya nyinyi kulia sana na kuomba word bank na IMF iwasamehe deni lenyu la Taifa.
 
tupo phase 3, what's phase 2 about? πŸ€”
 
I tell you always silence is golden, nobody will know you are a fool. Kibaki only built three stations syokimau, imara daima and Makadara and he never upgraded the line.
i) Kibera and kikuyu track rehabilitation to 80 lbs, rail realignment and stations were completed in 2020.
ii) Ruiru, Buru buru, Donholm,Dandora, embakasi, Athi river, Kenyatta University stations are complete including upgrading the Nairobi-Ruiru track and the Nairobi- embakasi track sleepers to 80 lbs.
iii) Nairobi-syokimau track sleepers upgraded in 2020 to 80 lbs.
iv) Upgraded signalling systems completed in 2020
v) Automated train control systems completed in 2020

Yani kwa kichwa yako Kibaki bado 2020 ni rais wa Kenya alafu Ruiru,Mwiki, Githurai, kibera, kikuyu ziko jogoo road? Nadhani kuna madawa umesahau kumeza.
 
leta picha za commuter stations huko kijana. bado sana...Matatu na jam lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…