Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Hebu angalia hiyo picha umetuma na hii halisi zina ufanano? Hiyo ambayo umetuma ww inaonesha hizo ni seats za new car ila ya kwenu ni hii hapa chini a.k.a mtumbas
 
Umesema Germany hakuna brt, mwamba kaja kakuonesha kwamba brt zipo unaanza kurekebisha ulichosema af ndo unaongopa hapa umeishi Germany ni Germany gn hyo uliyoishi ww ambayo haina brt? Mbn wakenya ni warongo hv?
 
HAHAHA,, mtu wa ndoto za sgr umerudi? Germany haina BRT mnavyoota nyinyi. Germany iko na basi za kutoa watu train station na kuingiza ndani mitaani sio BRT. Yao ni commuter rail na basi zao zinafanya kazi vile zetu sio BRT kama hio ya Dar ambayo mmeshindwa kumaliza phase 2.
 
Hebu angalia hiyo picha umetuma na hii halisi zina ufanano? Hiyo ambayo umetuma ww inaonesha hizo ni seats za new car ila ya kwenu ni hii hapa chini a.k.a mtumbas View attachment 1627271
Na bado phase 2 ndio hiyo inaanza kwa kasi, kwa sahi wameanza kukarabati reli ya Nairobi kuenda Limuru, nairobi kuenda lukenya, nairobi kuenda konza. Phase 2 itakuwa 200 km zingine kwa nairobi commuter rail. stesheni 25 zingine zikiwemo konza, lukenya, buruburu zinapelekwa kwa kasi. Ya mwisho itakuwa JKIA-Nairobi CBD line alafu na kuleta DMU zingine 12, tufunge phase 2.

Nyinyi endeleeni kung'ang'ana na chawa kwenye basi.
 
Hebu angalia hiyo picha umetuma na hii halisi zina ufanano? Hiyo ambayo umetuma ww inaonesha hizo ni seats za new car ila ya kwenu ni hii hapa chini a.k.a mtumbas View attachment 1627271
Usisahau tukimaliza hii phase 2 ambayo kazi ya kujenga ishaanza, tupatane 2022 tukimaliza phase iii. Hii nayo ndio itawapiga mateke kabisa kwa sababu ita ongeza 150 km ya reli mpya alafu na kuweka double track kwa line zote 14 za nairobi commuter rail, alafu na kuongeza idadi ya DMU ifikie 50. Yani baada ya kila dakika 20 kutakuwa na train ya kubeba wasafiri ndani ya nairobi metropolitan.

2022 najua ndio mtakuwa mnamaliza kuweka vioo kwa hio stesheni ya Dar ya sgr.
 
Hahahaaa una bahati cm yng ile yenye picha za kutosha imeingia virus ningekutesa humu na picha mpya za infrastructures zetu mupya mupya kabisa, cc tumeamua kujenga nchi na sio maneno maneno mnayopewa na jubilee.
 
Mwenzangu najua vitu zimekwama sio kwa kupenda kwenyu ni mikopo mlinyimwa
 
Hahahaaa una bahati cm yng ile yenye picha za kutosha imeingia virus ningekutesa humu na picha mpya za infrastructures zetu mupya mupya kabisa, cc tumeamua kujenga nchi na sio maneno maneno mnayopewa na jubilee.
Kwani ivyo nyinyi peke yenu ndio mnajenga nchi na Kenya imesimama saa zingine punguza ushamba.Nonsense
 
Wazee wa mitumbas yn karne ya 21, daahhh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
leta evidence mmepokea 5 mitumbas from Spain?
Ndio hii evidence yako. Halafu urudi uniambie Asante. Evidence iko in the first sentence. Mimi nikiongea huwa sibahatishi.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…