Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Brother BRT is trying to copy a commuter rail, all the countries you mentioned have commuter rail as the backbone of their public transport system. In fact denmark has Dsb.

Yes I used to work in Nyellebjerg in København/Copenhagen (a two zone ticket). They have trains as the main transport and mass transit buses as the last mile.

All the countries you have mentioned do not use buses as the main form of transport, they use buses for last mile connectivity which is what Kenya is doing.

Hiyo yenyu ni kujaribu kufanya commuter rail mkitumia basi ambayo hizo nchi ulizo taja hazifanyi hivyo.

Jionee vile treni zetu zinang'ara ndani

View attachment 1627212
View attachment 1627213
Hebu angalia hiyo picha umetuma na hii halisi zina ufanano? Hiyo ambayo umetuma ww inaonesha hizo ni seats za new car ila ya kwenu ni hii hapa chini a.k.a mtumbas
tapatalk_1605507249858.jpeg
 
Ujerumani nimeishi Badhomburg nikifanya kazi hapo Frankfurt kwa contiautomotive. Na pia nao basi inatumika kwa last mile, lakini treni ndiyo main form of commuter transport na kenya tunafanya hivyo pia.

Hatutaki kuchukua basi na kuifanya iwe kama commuter train (BRT). Kenya basi, tena locally assembled , zinatumika kwa last mile yani kutoka kwa stesheni ya reli kuingia mitaani kama vile europe. Kumaanisha hatuhitaji basi nyingi.
Umesema Germany hakuna brt, mwamba kaja kakuonesha kwamba brt zipo unaanza kurekebisha ulichosema af ndo unaongopa hapa umeishi Germany ni Germany gn hyo uliyoishi ww ambayo haina brt? Mbn wakenya ni warongo hv?
 
HAHAHA,, mtu wa ndoto za sgr umerudi? Germany haina BRT mnavyoota nyinyi. Germany iko na basi za kutoa watu train station na kuingiza ndani mitaani sio BRT. Yao ni commuter rail na basi zao zinafanya kazi vile zetu sio BRT kama hio ya Dar ambayo mmeshindwa kumaliza phase 2.
 
Hebu angalia hiyo picha umetuma na hii halisi zina ufanano? Hiyo ambayo umetuma ww inaonesha hizo ni seats za new car ila ya kwenu ni hii hapa chini a.k.a mtumbas View attachment 1627271
Na bado phase 2 ndio hiyo inaanza kwa kasi, kwa sahi wameanza kukarabati reli ya Nairobi kuenda Limuru, nairobi kuenda lukenya, nairobi kuenda konza. Phase 2 itakuwa 200 km zingine kwa nairobi commuter rail. stesheni 25 zingine zikiwemo konza, lukenya, buruburu zinapelekwa kwa kasi. Ya mwisho itakuwa JKIA-Nairobi CBD line alafu na kuleta DMU zingine 12, tufunge phase 2.

Nyinyi endeleeni kung'ang'ana na chawa kwenye basi.
 
Hebu angalia hiyo picha umetuma na hii halisi zina ufanano? Hiyo ambayo umetuma ww inaonesha hizo ni seats za new car ila ya kwenu ni hii hapa chini a.k.a mtumbas View attachment 1627271
Usisahau tukimaliza hii phase 2 ambayo kazi ya kujenga ishaanza, tupatane 2022 tukimaliza phase iii. Hii nayo ndio itawapiga mateke kabisa kwa sababu ita ongeza 150 km ya reli mpya alafu na kuweka double track kwa line zote 14 za nairobi commuter rail, alafu na kuongeza idadi ya DMU ifikie 50. Yani baada ya kila dakika 20 kutakuwa na train ya kubeba wasafiri ndani ya nairobi metropolitan.

2022 najua ndio mtakuwa mnamaliza kuweka vioo kwa hio stesheni ya Dar ya sgr.
 
Hahahaaa una bahati cm yng ile yenye picha za kutosha imeingia virus ningekutesa humu na picha mpya za infrastructures zetu mupya mupya kabisa, cc tumeamua kujenga nchi na sio maneno maneno mnayopewa na jubilee.
 
Mwenzangu najua vitu zimekwama sio kwa kupenda kwenyu ni mikopo mlinyimwa
 
Hahahaaa una bahati cm yng ile yenye picha za kutosha imeingia virus ningekutesa humu na picha mpya za infrastructures zetu mupya mupya kabisa, cc tumeamua kujenga nchi na sio maneno maneno mnayopewa na jubilee.
Kwani ivyo nyinyi peke yenu ndio mnajenga nchi na Kenya imesimama saa zingine punguza ushamba.Nonsense
 
Wazee wa mitumbas yn karne ya 21, daahhh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
leta evidence mmepokea 5 mitumbas from Spain?
Ndio hii evidence yako. Halafu urudi uniambie Asante. Evidence iko in the first sentence. Mimi nikiongea huwa sibahatishi.

Back
Top Bottom