Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
- Thread starter
- #621
National youth service continuing with fencing off the rail corridor along eastern bypass and outer ring road
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Great progressThe old lady from 1899 ,Nairobi central railway station (Queen Victoria) is still undergoing some major changes day and night ahead of launch.
View attachment 1623166
View attachment 1623167
View attachment 1623168
Toa ujinga wako hapa! Una matatizo akilini mwako wewe? Mbona kuchanganyikiwa?, yaani stendi ya basi inakupa orgasm![emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni mshenzi kupindukia The best 007!.,
Hawa ni wazembe sn huwa wanapeana moyo humu nawaangalia nawacheki nasema hiiiiii [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]sio kwa hasira hizi.
kwani nini imekushangaza hapa kwenye hii toroli yenu???
Wanatumia nguvu nyingi kupigia debe mitumba [emoji23][emoji23][emoji23]Hawa ni wazembe sn huwa wanapeana moyo humu nawaangalia nawacheki nasema hiiiiii [emoji3][emoji3]
mitumba lakini tuko nayo..nyinyi mtabaki kuplay catch up game kwetu hadi vizazi vyenuWanatumia nguvu nyingi kupigia debe mitumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Mitungi ya changaa ndio size yenu "komaaeni na size zenu"mitumba lakini tuko nayo..nyinyi mtabaki kuplay catch up game kwetu hadi vizazi vyenu
hizo chupa zenu za wine ziwapi tuone?ama bado mnasubiri miaka mitano mingine ya magu kama mlivyosema 2015Mitungi ya changaa ndio size yenu "komaaeni na size zenu"
"Komaaeni na size zenu"hizo chupa zenu za wine ziwapi tuone?ama bado mnasubiri miaka mitano mingine ya magu kama mlivyosema 2015
Mitumba!
Kenyatta huwa anajua kucheza nao hawa wazembe kaona wanapigia kelele electric sgr ya Tz akapita pita Spain akaona mitumba akawachukulia ili kupoza kelele zao ila mwakani tukileta vyuma vyetu ndipo watakapojua tofauti ya mtumba na brand new[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mitumba!
Ni sawa sawa na demu aliyegawa sana kwenye mtaa fulani halafu akawa anajulikana sana watu wakamzoea wakawa hawamshobokei tena halafu huyo demu akahamia mtaa mwingine watu wa mtaa huo wakawa wanamshobokea sana kumbe kule alikotoka alishaonekana wa kawaida sana na walishamchoka,
Hivi ndivyo mitumba yenu ilivyo kupitia huo mfano.
demu na train wapi na wapi?umekosa hoja mkaka..mngojeni magu awaletee zenu mjaze servers za jfMitumba!
Ni sawa sawa na demu aliyegawa sana kwenye mtaa fulani halafu akawa anajulikana sana watu wakamzoea wakawa hawamshobokei tena halafu huyo demu akahamia mtaa mwingine watu wa mtaa huo wakawa wanamshobokea sana kumbe kule alikotoka alishaonekana wa kawaida sana na walishamchoka,
Hivi ndivyo mitumba yenu ilivyo kupitia huo mfano.
A voice from desperate person.demu na train wapi na wapi?umekosa hoja mkaka..mngojeni magu awaletee zenu mjaze servers za jf
tuki...tuta.....hivi hamchoki na hizi kauli...ila watz muwavumilivu sanaKenyatta huwa anajua kucheza nao hawa wazembe kaona wanapigia kelele electric sgr ya Tz akapita pita Spain akaona mitumba akawachukulia ili kupoza kelele zao ila mwakani tukileta vyuma vyetu ndipo watakapojua tofauti ya mtumba na brand new[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
look directly into the mirror, you will see the desperate person..the person using words only but not a single shred of evidence.a guy hoping and praying something happens..but till then,only the word of mouth can boost his egoA voice from desperate person.
Anajua kucheza nao kinoma,Kenyatta huwa anajua kucheza nao hawa wazembe kaona wanapigia kelele electric sgr ya Tz akapita pita Spain akaona mitumba akawachukulia ili kupoza kelele zao ila mwakani tukileta vyuma vyetu ndipo watakapojua tofauti ya mtumba na brand new[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tuki... Tuta....au co[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tuki...tuta.....hivi hamchoki na hizi kauli...ila watz muwavumilivu sana