The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Wakenya wote tazama hapa chini muendelezo wa hii modern bus stop ya Mbezi, yn kuna underground parking ambayo iko floor ya tatu kwenda chini huwez kuta EA nzima so hilo ni bao lingine tumewapiga, kuna mkenya ataniletea kile ki underground parking ambacho kinahifadhi gari ishirini ambacho nacho kilishachapwa na ile ya Dar, hii yetu mpya inahifadhi gari km utitiri [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaha unajifanya mwehu, weka airport au terminus yako hapa tulinganishe hv hv ikiwa haijakamilika [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1629131View attachment 1629132