Nairobi Flood Tragedy: Mvua Kubwa Yaua 23, Mali na Magari Yasombwa na Maji

Nairobi Flood Tragedy: Mvua Kubwa Yaua 23, Mali na Magari Yasombwa na Maji

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Nairobi-Floods-1.jpg
heavy-rains-1.png

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Nairobi imeleta maafa makubwa baada ya watu 23 kuthibitishwa kufariki kufuatia mafuriko yaliyosomba baadhi ya maeneo ya jiji. According to emergency reports, zaidi ya magari 70 yamesombwa na maji huku nyumba na biashara nyingi zikiharibiwa na mafuriko. Rescue teams wamefanikiwa kuokoa takriban watu 29 waliokuwa wamekwama ndani ya magari na majengo yaliyofurika maji.

Mafuriko hayo pia yamesababisha barabara nyingi kufungwa na usafiri kusimama katika baadhi ya maeneo. Wakazi wengi wanasema poor drainage system na mitaro iliyoziba imechangia sana hali hii, wakitaka serikali ya jiji kuchukua hatua za haraka kabla ya mvua kuendelea kuleta maafa zaidi.
IMG-20260307-WA0245.jpg

Source: Citizen digital
 

Attachments

  • Screenshot_20260307-171730.jpg
    Screenshot_20260307-171730.jpg
    68.3 KB · Views: 50
Back
Top Bottom