mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Hayo Ni mambo ya Kawaida hapa Kenya Tena miji yote mikubwa na ndogo.Nenda youtube kaandike "hamidu estates" uone sample ya millionare wa kibongo aliyejenga nyumba za apartments mia moja kigamboni na mia moja zingne zinakuja..