Nairobi is twice richer than Dar and only $6bn dollars away from reaching Tz GDP.

Nairobi is twice richer than Dar and only $6bn dollars away from reaching Tz GDP.

Jibu swali kw ufasaha mkuu...tanzania inaizidi nn india
India ina GDP kubwa lakini wana poor social services na ukosefu mkubwa wa ajira.
Ilhali Tz ina uafadhali.
India ni kama Kenya tu.
Tizama hapa chini.

Hivi ndio mm niiache Tz niende India?

Manake hta mhindi naye atasema hawez kuja kuishi kwa nchi ya wala binadamu wenzao
 
Maelezo yapi hapo hujayaelewa kijana?
Acha utani bhanaa.
Nimekwambia tulichoizidi sisi Tz India ni good social services na good life standards.
Nimekuonesha hali ya maisha ya India poor life standards vitu km hivyo Tz hakuna.
Sijui wapi unajikuta huelewi?
Jibu swali kw ufasaha mkuu...tanzania inaizidi nn india
Manake hta mhindi naye atasema hawez kuja kuishi kwa nchi ya wala binadamu wenzao
 
Hayo ni maneno yako..tuletee data hapa...ujue hko kijiweni hapa
Maelezo yapi hapo hujayaelewa kijana?
Acha utani bhanaa.
Nimekwambia tulichoizidi sisi Tz India ni good social services na good life standards.
Nimekuonesha hali ya maisha ya India poor life standards vitu km hivyo Tz hakuna.
Sijui wapi unajikuta huelewi?
 
We fala nn!!
Kwani huyo Cohen alouliwa na mkenya mwenzenu janamke katili lisilo na haya si mkenya kiuraia lakini Mzungu kiasili?!
Halafu ndio mnajiita mna akili ninyi wakenya!!
Shame on you.
Kwn kuna mtu ambae ni mhindi ki uraia...mbna hujielewi wewe...
 
Wazungu wanawamiliki hadi wanachukua wake zenu [emoji23][emoji23][emoji23] hv yule mama alomuua mzungu kisa pesa anaenda jela miaka mingap??
Nitajie Mtanzania mweusi rangi ya kikwete au Magufuli mwenye Mali Kama Mo Dewji 😂😂😂 ama hamna?
 
Nenda youtube kaandike "hamidu estates" uone sample ya millionare wa kibongo aliyejenga nyumba za apartments mia moja kigamboni na mia moja zingne zinakuja..
Nitajie Mtanzania mweusi rangi ya kikwete au Magufuli mwenye Mali Kama Mo Dewji [emoji23][emoji23][emoji23] ama hamna?
 
Kuna mtu ambae ni mzungu kiuraia kwn siku hz?
We fala nn!!
Kwani huyo Cohen alouliwa na mkenya mwenzenu janamke katili lisilo na haya si mkenya kiuraia lakini Mzungu kiasili?!
Halafu ndio mnajiita mna akili ninyi wakenya!!
Shame on you.
 
India ina GDP kubwa lakini wana poor social services na ukosefu mkubwa wa ajira.
Ilhali Tz ina uafadhali.
India ni kama Kenya tu.
Tizama hapa chini.

Hivi ndio mm niiache Tz niende India?

Hii India inayoiponda hivi inaunda magari ,ndege ,vifaa vyao vya kijeshi na kurusha vyombo vya angani hadi kwa mwezi.Tanzania haina hivyo vyote .

Tz GDP per capita $1100 ....India $3000.
Life expectancy Tz 62yrs .....India 70yrs
HDI score Tz .53 ....India .65 .
 
Back
Top Bottom