Nairobi is twice richer than Dar and only $6bn dollars away from reaching Tz GDP.

Nairobi is twice richer than Dar and only $6bn dollars away from reaching Tz GDP.

Nieleze, Muhindi amekuja Tanzania lini? Hao Wahindi wako Tanzania wamefika Tanzania mwaka gani? Jifunze historia Kijana,

Wahindi waliokuja kufanya barter trade hawakubakia Afrika Mashariki bali walirudi kwao na wengine wakaenda visiwani kama Maldives, comoros na Mauritius. Wahindi waliobaki humu waliletwa na Mzungu.Kama ni Barter trade bado kuna wazungu na Wachina waliofika miaka ya awali kabla ya Wakoloni pia.
Acha ubishi kijana wahindi walibakia East Africa.
Kabla ya kujengwa hiyo reli wahindi walikua wanatumika ktk uongozi mdogo kipindi cha tawala ya mjerumani.
Waswahili tukabakia kuwa akida and jumbes.
Wahindi walibaki na wakazaliana na waswahili fresh tu.
Historia haujuii ww.
Morogoro kuna makaburi ya wahindi kabla ya kuja mjerumani nimeenda na kuyashuhudia na bado wahindi wenzao wanayalinda.
 
Umekwepa mada na emojis...
Mhindi anawakeketa ipasavyo..
Punguza jazba lkn
Tangu lini wakenya mkajua history ya Africa [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wamezaliwa Tanzania alafu unaleta poyoyo zako hapa.
 
Mhindi hyo..labda utuletee mtanzania na sisi tukuletee mkenya...hao wanawakamua tu...
Rostam Aziz net worth $900M na wala hutamsikia mkenya yyte mwenye iyo mawe kama yuko mleteni
 
Wewe ndio kilaza namba humu jf [emoji23][emoji23][emoji23]
Ardhi yenye rutuba nzuri inamililikiwa na wazungu, huku nyie mkitupwa gorokocho.
Mnapepewa Mpapaso kila kona.
Umekwepa mada na emojis...
Mhindi anawakeketa ipasavyo..
Punguza jazba lkn
 
Weka Watanzania weusi wazawa na wakulia na waliotajirikia Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najua hamna na ndio nakucheka...bure kabisa.
Matajiri wa kiTz waswahili wapo man ila sio wakujitangaza.
Hela wanaficha ndani aisee don't undermine them.Tatizo unaiishi kibera hutaki kutembelea Tanzania.
Lakini ukija Tanzania tembelea na ukae japo for two weeks maeneo ya Temeke,kigamboni kisiwani,Mbezi mwisho makabe,Kibamba.
Yani waswahili wamejitenga na wana hela chafu wana millions of dollars ila hawazi expose,ninachoongea nina experience nacho.
Hao kina Mo wanamiliki miradi mikubwa kuwafikia ni ngumu kutangazika wao ni kawaida.Ila kuna waswahili wamiliki vituo vya afya,mashamba ya large scale,mahoteli wana hela.Ila hawajitangazi wala hela zao hawaziweki sana bank.
Nadhani umenielewa.
 
Usijali...ukikua utaacha
Wewe ndio kilaza namba humu jf [emoji23][emoji23][emoji23]
Ardhi yenye rutuba nzuri inamililikiwa na wazungu, huku nyie mkitupwa gorokocho.
Mnapepewa Mpapaso kila kona.
 
Total wealth
Nairobi US$49bn
Dar US$24bn
Kampala US$16bn
Addis Ababa US$14bn
Solve hili tatizo kwanza halafu ndio uje kujisifia hapa
tapatalk_1566976011396.jpeg
 
Kwhyo umeamua twende battle...tz vs ke..
Matajiri wenye asili ya kiafrika
We kijana mbona unahama hama?
Wapi nimetaka battle?
Km unataka battle la matajiri weusi kat yenu na yetu we jaribu kutembelea maeneo wanaokaa blackish wanaojiweza wa Tz halafu kafananishe na wa Kenya.
Maana sisi hatujifaragui km ninyi.
Na mtu wa kawaida ama wa uchumi wa kati wa Tz ana assets nyingi kumliko wa Kenya.
 
Haaaa!!!mbna povu lkn...
Haya yataje hayo maeneo...duniani sai humdanganyi mtu

Kibamba,Mbezi mwisho makabe,Temeke Aziz Ally & mwisho,Kigamboni kisiwani,kijichi.
Maeneo sijui ya osterbay,masaki,sinza n.k n.k huko wanakaa watu wanaojulikana sana huko paache.
Tembelea hayo maeneo ya watu hao ambao hawana umaarufu halafu usikie vile biashara wanazomiliki na assets.
Na vile wanavyoficha hela ndani.
 
Sasawa..nimeshakupata, waache waendelee kuficha hela tu...

Back
Top Bottom