Nairobi is twice richer than Dar and only $6bn dollars away from reaching Tz GDP.

Nairobi is twice richer than Dar and only $6bn dollars away from reaching Tz GDP.

I’m somewhat perplexed! These statistics should be supporting data for a more substantive discourse. A fierce debate on these statistics is not more meaningful than beating a dead horse, I’m afraid!
 
Imekuuma sio...[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Hii ndio shida ya kuwa na ufinyu wa akili [emoji23][emoji23][emoji23] kazi kudandia treni kwa mbele bila kujua inakwenda wapi.
 
Siku zote ldc haiwezi kuwa na matajiri wengi kuliko Mdc bali itaongoza katika maskini wengi
Kenya lazima muwe na Matajiri wengi kutokana na mfumo wa kifisadi mnaotumia sababu inayo sababisha mshindwe kujenga hats 4 km za sgr Kwa Pesa ya ndani ndiyo inayo Fanya muwe na Matajiri mob
Msemo huu wa wakenya ukiuelewa maana yake utajua kwanini mnamatajiri wenyi "PESA YA SERIKALI KENYA SIYO MALI YA UMMA"
 
Si eti huruhusiwi..mitaa imepangwa ikapangika...ni plan ya county...huwez ukaachwa ukajenga kiholela kila mahali...km sai kuna coumties magavana kuna maeneo wameyatenga kw ajili ya residentials na pia km business district...

Huwezi enda ukaauziwa ili ujenge kibanda...no!!kila mahali na desturi zake
Nyie ubepari umewapa nini zaidi ya gepu kubwa kati ya masikini na tajiri [emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana kuna mitaa ya matajiri masikini hawaruhusiwi kuishi,
Ardhi inamililikiwa na wachache,
Bado mnapewa misaada ya chakula karne hii,
Akili fupi,
Failed state.
 
Kwa Kenya everything is Nairobi.tofauti na bongo uchumi upo scattered mwanza, Arusha Dodoma nk sio Dar pekee

Hivi unadhani Mwanza, Arusha na Dodoma zimeendelea kuliko Mombasa, Kisumu na Nakuru? Wewe una akili?
 
Kina mo wamezaliwa Tanzania wapo miaka na miaka hivyo ni watanzania kabsaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati hapo kwenu wamekuja ukubwani alafu mkawamilikisha mashamba yote yenye rutuba nzuri, ndio maana mkiambiwa uchumi wenu unamilikiwa na wazungu mkubali tu maana kila kitu kipo open.
Kila mara mnasema Kenya uchumi umeshikiliwa na Mzungu, mbona msimseme huyu muhindi vivyo hivyo?
 
Kina mo wamezaliwa Tanzania wapo miaka na miaka hivyo ni watanzania kabsaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati hapo kwenu wamekuja ukubwani alafu mkawamilikisha mashamba yote yenye rutuba nzuri, ndio maana mkiambiwa uchumi wenu unamilikiwa na wazungu mkubali tu maana kila kitu kipo open.
Wazungu wa Kenya wamekuja Kenya kabla wahindi waje Tanzania........hivi unajua historia wewe? Wazungu ndio waliowaleta Wahindi Afrika Mashariki kujenga reli.
 
Tangu lini wakenya mkajua history ya Africa [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wamezaliwa Tanzania alafu unaleta poyoyo zako hapa.

Kama ungejua historia ungeelewa Wazungu walikuja Afrika Mashariki kabla ya Wahindi.

Endeleeni kutawaliwa na Wahindi mkisema Wamezaliwa huko.
 
Why are we even debating anything with people from the poorest country in the world with a slum capital. Beat it people. Beat it.
Ungenyamaza hapo mathare kwani lazima ubweke humu...
 
Back
Top Bottom