Nairobi is twice richer than Dar and only $6bn dollars away from reaching Tz GDP.

Nairobi is twice richer than Dar and only $6bn dollars away from reaching Tz GDP.

Unayasema wewe hayo
Au we waonaje....watanzania wanaweza kuwa wahindi?
Hakuna raia anayekatazwa kuwa raia wa India.
Hadi mchina mwenye uhasama na India anapewa uraia India.
Lakini jiulize kwa umasikini wa jamii ya India nan atataka atoke Tanzania akawe raia wa India?
Kule watu wanaenda kusoma then wanarudi,kule sio pazuri ukajenge maisha.
 
Tanzania inaizidi nn india

Watanzania ndo nchi gani[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Manake naona wewe umeona nchi katika hyo post yangu...
Ngoja nikueleweshe vizuri, labda utanielewa.Nikuulize swali?

Mohammed Dewji ni mtanzania au ni mhindi?
 
Tanzania inaizidi nn india
India ina GDP kubwa lakini wana poor social services na ukosefu mkubwa wa ajira.
Ilhali Tz ina uafadhali.
India ni kama Kenya tu.
Tizama hapa chini.

Hivi ndio mm niiache Tz niende India?
 
Back
Top Bottom