komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Jibu swali kw ufasaha mkuu...tanzania inaizidi nn india
Manake hta mhindi naye atasema hawez kuja kuishi kwa nchi ya wala binadamu wenzao
India ina GDP kubwa lakini wana poor social services na ukosefu mkubwa wa ajira.
Ilhali Tz ina uafadhali.
India ni kama Kenya tu.
Tizama hapa chini.
Hivi ndio mm niiache Tz niende India?
Manake hta mhindi naye atasema hawez kuja kuishi kwa nchi ya wala binadamu wenzao