Hayo Ni mambo ya Kawaida hapa Kenya Tena miji yote mikubwa na ndogo.Nenda youtube kaandike "hamidu estates" uone sample ya millionare wa kibongo aliyejenga nyumba za apartments mia moja kigamboni na mia moja zingne zinakuja..
Hamna yeyote. Nimejibu swali lako Sasa na wewe jibu langu. Mtanzania mweusi aliye na Mali Kama Kama Mwenye Equity Bank, Family Bank, 2 Rivers Mall, Tusky's , Naivas n.k 😂😂😂😂Na ww mtaje mkenya mwenye mali atleast km Bakhresa.
Ati wazungu, East Africa coastal areas wamekuwa wakitrade na Indians and Chinese since before Christ, we unasema nn? Kajifunze history bhana, unatuaibisha.Kama ungejua historia ungeelewa Wazungu walikuja Afrika Mashariki kabla ya Wahindi.
Endeleeni kutawaliwa na Wahindi mkisema Wamezaliwa huko.
Kuna wasukuma ni Wamarekani.
Unashangaa mhindi kuwa mtanzania.
Hzo biashara ni zako bhna, Michezo yako mi siiwezi.
Kujisifia una pesa wakati familia yako inateseka kila siku ni ujinga wa kiwango cha lami [emoji23][emoji23][emoji23]
Povu weka hapo chini.
Ushapata jibu kuwa watz weusi wenye pesa za kumwaga wapoHayo Ni mambo ya Kawaida hapa Kenya Tena miji yote mikubwa na ndogo.
Usijali bana...kwn ukikubali kuna shida gani...wakati wan jf hawakujui...wee sema hizi habari umezipenda...ndo manake mpka sasa unataka kuendelea nazo
Hyo michezo yako endelea nayo mwenyew mzee baba mbna tushamalzana
Na ujinga zaidi ni kusema uchumi wa Kenya uko Nairobi tu, ina maana sehemu nyingine za Kenya wote ni mafuka? Sasa hali iko namna hii.
2018 GDP KNY TZ
$87bn $57bn
/capita +$1700 +$1000
See you in five years. Tuone manyang'au mtakuwa wapi na sisi tutakuwa wapi. Mlifikiri giant ataendelea kulala tu wakati kumekucha? Soon tutakapomaliza Stigler's mtaona kasi itakavyokua.
WE FALA KABISHANE NA MAFALA WENZAKO.Lete statistics hapa km mmewazidi india sekta yyte ile...wacha kuandika pumba
Ndio yupo.Kuna mtu ambae ni mzungu kiuraia kwn siku hz?
WE KUMBAFU UCHUMI WA INDIA NI MKUBWA LAKINI HAWANA MAENDELEO YA KIJAMII.Hii India inayoiponda hivi inaunda magari ,ndege ,vifaa vyao vya kijeshi na kurusha vyombo vya angani hadi kwa mwezi.Tanzania haina hivyo vyote .
Tz GDP per capita $1100 ....India $3000.
Life expectancy Tz 62yrs .....India 70yrs
HDI score Tz .53 ....India .65 .
LowassaHamna yeyote. Nimejibu swali lako Sasa na wewe jibu langu. Mtanzania mweusi aliye na Mali Kama Kama Mwenye Equity Bank, Family Bank, 2 Rivers Mall, Tusky's , Naivas n.k [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio yupo.
Ansufati ni mzungu kiuraia lakini muafrica kiasili.
Hamna yeyote. Nimejibu swali lako Sasa na wewe jibu langu. Mtanzania mweusi aliye na Mali Kama Kama Mwenye Equity Bank, Family Bank, 2 Rivers Mall, Tusky's , Naivas n.k [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katika counties 47 za Kenya, counties 24 zinateseka kwa kukosa chakula alafu mpo hapa kupiga piga kelele za kishamba badala ya kwenda kuwapigia kelele hao wanasiasa wenu wanaowapapasa.
Huwezi kuwa na ya mwaka 2019 wakati mwaka haujaisha.Kasmoe ya 2019 halafu uone gap limepungua au bado linaongezeka tu kila mwaka