Because Dar is not in top 10?
source?Gdp ya Kenya ni $90 billion
Sio GDP ni utajiri wa jiji GDP ni kitu kinginekama GDP ya Nairobi ni USD 49bn, nikicheki Google naona GDP ya Kenya ni USD 74bn , hii inamaanish asilimia 66 ya utajiri wa Kenya upo Nairobi, is it possible??
HAPANA MO DeWJI NI MUARABU.Kumbe nairobi hakuna billionaire $1 billion is in Tanzania only Mr.himself mo dewji,a man from singida region
HAPANA MO DeWJI NI MUARABU.
Hawaongei kuhusu businesses hawaongei kuhusu Acacia. Wanaongea kuhusu matajiri katika kila nchi. Yaani Watanzania wenzake wanaelewa kiingereza vizuri hadi wanachangia mada lakini wewe huelewi?Do you think Mkapa, Mwinyi, Kikwete, Lowassa and other noble politicians don't have multibillion investments in and outside of the country?
Kwa taarifa yako wala hizi report hazireflect the innermost core of the finance reality system of the country
Hapo sijaona multibillion investments za Barrick and Acacia ambapo their normal daily fuel consumption ni nusu ya matumizi yote ya fuel Tanzania nzima, how on earth do you underrated them?
Bado hii report ina loopholes nyingi.
Hikio kijinga hata hakijui kingereza. Wachana nakio.I can see you want to claim the SI unit of stupidity from Joto La Jiwe, we're discussing about individuals wealth not companies. That's why KCB, Equity bank, Sportpesa and Safaricom haziko hapo. So spare us your stupidity please.
Uchumi mgani? Uchumi ambao unatoshana na Nairobi?Kwa Kenya everything is Nairobi.tofauti na bongo uchumi upo scattered mwanza, Arusha Dodoma nk sio Dar pekee
Imf. Don't be lazy. Go check 2018 figures. If i am wrong i will give you anything you want.source?
Nyie hamna mtu mweusi aliye bilionea. Usiringe na huyo Muarabu kutoka Oman. Huyo ni kitukuu wa wale Waarabu wa Zanzibari waliitoka Oman. Ninyi Waafrika ni lazy sana maana sisi Waafrika tuna mihela kuwashinda. Angalia kwenye hio listi jinsi Wakenya wana pesa ndefu.Cha ajabu hakuna bilionea hata mmoja. Shame on you lazy Kenyans.
Total wealth
Nairobi US$49bn
Dar US$24bn
Kampala US$16bn
Addis Ababa US$14bn
Hehehe ,huu ndio ujinga wa kujiliwaza sababu umeshindwa .Kweli ujamaa Tz ullileta uvivu wa akili .Kujisifia una pesa wakati familia yako inateseka kila siku ni ujinga wa kiwango cha lami [emoji23][emoji23][emoji23]
Povu weka hapo chini.
Actually your "facts" only make you look worse . Hizi raslimali zote na bado GDP na per capita ya TZ ni kama nusu ya Kenya. Kwa kweli ujamaa ulileta uvivu na culture ya bongolala.Only a fool can say Lake Regions where most fish, beef, cotton, gold n diamond come is only $6 bln n Arusha the tourism capital of EA n where Tanzanite comes is having $0 blns while Mtwara where most gas comes is $0bln! Morogoro, Tanga n Mbeya agricultural n industrious regions that feed Kenya r $0 bln! And Zanzibar? BTW who r AfrAsia bank? Is the ban on gemstones a reason for this shamble report?
Here is AfrAsia Bank, a tiny bank in Mauritius
Hehehe ,huu ndio ujinga wa kujiliwaza sababu umeshindwa .Kweli ujamaa Tz ullileta uvivu wa akili .
Ivi una akili kweli wewe? kiuchumi hii huoni ni tatizo nchini kwenu.. Yaani jiji moja kushikilia zaidi ya nusu ya 'wealth' ya nchi ya Kenya na wewe upo apa kumwaga povu
A Single Mo Dewji Vs the family.No Dweji net worth is $1.9bn while Moi's family alone is $3bn. So what's your point?