Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Hii ndio shida ya kuwa na ufinyu wa akili [emoji23][emoji23][emoji23] kazi kudandia treni kwa mbele bila kujua inakwenda wapi.
Kenya lazima muwe na Matajiri wengi kutokana na mfumo wa kifisadi mnaotumia sababu inayo sababisha mshindwe kujenga hats 4 km za sgr Kwa Pesa ya ndani ndiyo inayo Fanya muwe na Matajiri mob
Msemo huu wa wakenya ukiuelewa maana yake utajua kwanini mnamatajiri wenyi "PESA YA SERIKALI KENYA SIYO MALI YA UMMA"
Nyie ubepari umewapa nini zaidi ya gepu kubwa kati ya masikini na tajiri [emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana kuna mitaa ya matajiri masikini hawaruhusiwi kuishi,
Ardhi inamililikiwa na wachache,
Bado mnapewa misaada ya chakula karne hii,
Akili fupi,
Failed state.
Kumbe nairobi hakuna billionaire $1 billion is in Tanzania only Mr.himself mo dewji,a man from singida region
Kwa Kenya everything is Nairobi.tofauti na bongo uchumi upo scattered mwanza, Arusha Dodoma nk sio Dar pekee
Dada unabisha au unafanyeje????
A Single Mo Dewji Vs the family.
But he is Tanzanian, regardless of his race.A single Arab vs an African family.
Kila mara mnasema Kenya uchumi umeshikiliwa na Mzungu, mbona msimseme huyu muhindi vivyo hivyo?But he is Tanzanian, regardless of his race.
Kila mara mnasema Kenya uchumi umeshikiliwa na Mzungu, mbona msimseme huyu muhindi vivyo hivyo?
Wazungu wa Kenya wamekuja Kenya kabla wahindi waje Tanzania........hivi unajua historia wewe? Wazungu ndio waliowaleta Wahindi Afrika Mashariki kujenga reli.Kina mo wamezaliwa Tanzania wapo miaka na miaka hivyo ni watanzania kabsaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati hapo kwenu wamekuja ukubwani alafu mkawamilikisha mashamba yote yenye rutuba nzuri, ndio maana mkiambiwa uchumi wenu unamilikiwa na wazungu mkubali tu maana kila kitu kipo open.
Wazungu wa Kenya wamekuja Kenya kabla wahindi waje Tanzania........hivi unajua historia wewe? Wazungu ndio waliowaleta Wahindi Afrika Mashariki kujenga reli.
Kama ungejua historia ungeelewa Wazungu walikuja Afrika Mashariki kabla ya Wahindi.Tangu lini wakenya mkajua history ya Africa [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wamezaliwa Tanzania alafu unaleta poyoyo zako hapa.
MoEbu nionyeshe Mtanzania tajiri
Ni wivu tuHAPANA MO DeWJI NI MUARABU.
YesKampala is wealthier than Addis Ababa??
Ungenyamaza hapo mathare kwani lazima ubweke humu...Why are we even debating anything with people from the poorest country in the world with a slum capital. Beat it people. Beat it.