Nairobi Kenya: Mzungu apigwa kipigo Cha mbwa Koko na Security wa Petrol Station baada ya kumwita Nyani mhudumu wa kuuza mafuta

Nairobi Kenya: Mzungu apigwa kipigo Cha mbwa Koko na Security wa Petrol Station baada ya kumwita Nyani mhudumu wa kuuza mafuta

Shalom,
Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo huku ikionekana huyu mzungu ni Baharia wa kugaurd ila bahati mbaya alizidiwa na ukubwa na uzito wa fimbo kubwa kubwa, kisha katika purukushani alikanyangwa mguu na gari aliokuwa amepanda.

Ni kweli hili ni funzo ila sio kwa namna ilivyotendeka inaumiza sana sana.

Nairobi ni noma sana bonge la kipigo ila yule mzungu inaonekana sio mtu wa kawaida amefanya guard za kutosha

Balaa tupu

Wadiz
HAmna video
 
Mzungu yuko sahihi, kama mnabisha kwanini nchi za Afrika wenye ngozi nyeusi bado ni masikini na zinaendlea kuwa tehemezi?
 
Back
Top Bottom