BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Mhhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAmna videoShalom,
Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo huku ikionekana huyu mzungu ni Baharia wa kugaurd ila bahati mbaya alizidiwa na ukubwa na uzito wa fimbo kubwa kubwa, kisha katika purukushani alikanyangwa mguu na gari aliokuwa amepanda.
Ni kweli hili ni funzo ila sio kwa namna ilivyotendeka inaumiza sana sana.
Nairobi ni noma sana bonge la kipigo ila yule mzungu inaonekana sio mtu wa kawaida amefanya guard za kutosha
Balaa tupu
Wadiz
Watanzania wanapenda sana uzushi. Ona wanavyonizushia mimi.Bila video huu ni uzushi kama uzushi mwingine
Uzushi tu huo. Ona wanavyonizushia mimi.Mhhh
Na we wazushieWatanzania wanapenda sana uzushi. Ona wanavyonizushia mimi.