Nairobi - Mambo aliyozingua Diamond -Simba- Dangote

Lakini wakenya ni walalamishi sana kwa kila kitu hawa watani zetu hawaridhiki angeimba wengemlalamikia kuwa wameisha muona sana kwenye video clips amejitahidi kuwachangamsha wanasema haimbi vizuri kama kwenye video inatakiwa organizers waseme preferences zao mapema sio kuja kulia baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu sio msanii wa nchini kwao bdio maana
 
wasanii hupata sifa kedekede lakini hawajui kuimba baadhi yao , ni jitihada za producer kutumia softiware kurekebisha sauti na kuingarisha lakini kikitoka kitu unamsifu yeye badala ya kuisifu cubase ama produser
 
Diamond platnumz na WCB kwa ujumla waache kufanya sana shoo KENYA imekuwa too much wameshawachoka kila siku KENYA KENYA KENYA wajipe break kidogo na hizi shoo za KENYA watafute market na sehemu tofauti tofauti za Africa
 
Najua mapungufu ni kitu cha kawaida ktk kila kitu na nimeona kuwa 80% ya waudhuriaji ni ladies hao wanaume wa kenya sidhani kama walipenda hilo Diamond Go Go Go fanyia kazi hizo changamoto ndogo wewe ndio top East Africa go and conquer other markets

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala la saut nilitegemea jamaa nafanya shoo non stop hii lazma iwe na madhara na ndo mana hatumii live band saut itaisha
Umeahaur vyema mi timi wasaf kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Dogo apumzike tu kwa sasa kwani anachemka mno.....hata show yake ya Canada watu kibao walimponda na wengi tuliondoka wenyewe kabla ya show kwisha.....alituboa sana na sitaki tena kumuona LIVE.
 
Waache kuimbisha mashabiki,kila muda,,sema wasafiiiii!!!.what a hell..piga nyimbo umalize mwisho wa nyimbo mashabiki watashangilia wenyewe,,halafu wapiga vyombo wakianza kupiga anawazuia ili watu waimbe,,yan nitoe 40000 halafu niimbe mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimwambia daimond afanye live show ni kama umemshauri aache muziki hawezi Kama anapotea key kwenye playback unategemea nn kwenye live show???..... Wa moja havai mbili kaka hayo mambo ya live ni kina barnaba, kiba, dito etc
 
Diamond anahitaji vocal coach, badala ya kuimba ye anapiga makelele tu.
Esma hafai tena kuwa vocal coach? Hv yule Queen Dalin ana shughuli gan kwenye hayo matamasha?
 
"kama kuimba ni sauti nzuri ningemsign Wema" haya maneno ya Diamond way back kwenye interview Clouds FM...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…