Lakini wakenya ni walalamishi sana kwa kila kitu hawa watani zetu hawaridhiki angeimba wengemlalamikia kuwa wameisha muona sana kwenye video clips amejitahidi kuwachangamsha wanasema haimbi vizuri kama kwenye video inatakiwa organizers waseme preferences zao mapema sio kuja kulia baadaeDiamond anaweza sana kuimba live. Si umfuatilie coke studio.
Shida ya diamond ni moja anapenda kucheza anasahau kuna kuimba. Dancers wa nini kama anataka kucheza zaid kuliko kuimba. Huwez imba huku unacheza ni ngumu sana kumaintain. Na ndicho hicho kinamuangusha diamond angefataga ushauri wa kuwaachia dancers wacheze yeye aimbe tu
Sent using Jamii Forums mobile app