Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Ina maan aalikuwa anafanya show kwa wasiwasi hue da jukwaa limetegeshwa tena . Duh Kenya bwana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maan aalikuwa anafanya show kwa wasiwasi hue da jukwaa limetegeshwa tena . Duh Kenya bwana!!
Whaat??!!! Kwa hiyo kumbe aliboronga, daa ajipange upya
Usipaniki mzee relax, team domokaya
Acha kudhariisha wanyalukolo acha kufananisha wahehe na vitu vya kutisha
Unafanisha show za mbele na za ndani, show za mbele bajeti yake ni kubwa na kwa TZ, Diamond baadhi ya show huwaga anatembea na bendi ukiona hivyo bajeti haijatosha.
Ila upande wa ku synchronize kuimba na kucheza si Diamond anayepata Diamond anayepata tabu, nishaangalia show za Cris Brown na Jason Derulo nao huwaga wanachemka upande wa sauti na kuconcetrate sana kucheza, hapa duniani msanii anaweza kuimba na kucheza kwa wakati mmoja ni Beyonce pekee na kwa Africa Fally Ipupa na Mr Flavor.
Kuhusu kuweka sauti ya kike si lazima hata mbele Kuna wasanii wakubwa, huwa hawaweki sauti za kike, kwenye nyimbo zao walizo walizo washirikisha wanawake.
Ila Mondi anahitaji sana mazoezi ya pumzi sababu kuimba na kucheza unatakiwa uwe na upepo wa kutosha kwani mara nyingi anaanza vizuri mwanzo, ila akifika kati upepo unapungua au labda inawezekana ukawa uchovu sababu kwa siku sita amefanya show nne mfululizo sehemu tofauti.
Sauti ya live anayo kama angekuwa hana asingeimba na kwa Tanzania Diamond ndiye msanii ana bendi yake, kwa hiyo malipo ya live na cd yote yana hela yake, tatizo la mondi ni ku synchronize kuimba na kucheza anachemka ndivyo vinavyomfanya pumzi ikate akifika kati, Diamond show za Mayotte, Malawi, Msumbiji, Congo zote kapiga live na bendi yake.good
ila dimond, live hawezi, hawezi na Ijulikaje hana sauti ya live
Sauti ya live anayo kama angekuwa hana asingeimba na kwa Tanzania Diamond ndiye msanii ana bendi yake, kwa hiyo malipo ya live na cd yote yana hela yake, tatizo la mondi ni ku synchronize kuimba na kucheza anachemka ndivyo vinavyomfanya pumzi ikate akifika kati, Diamond show za Mayotte, Malawi, Msumbiji, Congo zote kapiga live na bendi yake.
Sasa swala la kuzaliwa, linahusiana nini na kujua mziki? Hunijui na hatujuani kuwa mkubwa hakukufanyi ww unajua kuliko mm, clip sina nenda YouTube search hizo show utaona. Eti Umezaliwa 89 kwa hiyo ww 89 umeona mdogo au ww bado unakula kwa baba na mama yako, hebu tuheshiniane kwani hamna mahusiano ya kuwa na umri mkubwa nakujua vitu.umezaliwa mwaka 1989
hakuna waimbaji wazuri wa live nchi hii kama wanamuziki wa dansi, kiba, THT wote
Mond hawezi kuimba live, dsm ingesimama
weka clip yake moja tu ambayo anaimba live, kavukavu na please kama utaikuta mbovu usiweke, naomba nicheke kwa vitu vya msingi
Sasa swala la kuzaliwa, linahusiana nini na kujua mziki? Hunijui na hatujuani kuwa mkubwa hakukufanyi ww unajua kuliko mm, clip sina nenda YouTube search hizo show utaona. Eti Umezaliwa 89 kwa hiyo ww 89 umeona mdogo au ww bado unakula kwa baba na mama yako, hebu tuheshiniane kwani hamna mahusiano ya kuwa na umri mkubwa nakujua vitu.Ww una matatizo yako ina maana kiba na THT hawajui kuimba live? Naona unataka ligi.
Nimekupa reference hutaki kutafuta sasa unataka nini, mimi nimezaliwa 89 so what, linahusiana nini kujua mziki mbona unakuwa mawazo finyu.Alafu nimegundua kumbe, kubwa zima lakini mambo ya timu yamekutawala, maana hata ukubwa wako siuoni, we kubali kataa ila Mondi ni mkali kwenye jukwaa na entertainer MTV MAMA 2013(japo la majaji na si kura zenu za online), kapewa tuzo, best entertainer.kumbe kweli umezaliwa mwaka 1989..uko exposed sasa...umeconfirm
haya weka clip ya diamond akiimba live hapa
user name joseph1989@gmail.comNimekupa reference hutaki kutafuta sasa unataka nini, mimi nimezaliwa 89 so what, linahusiana nini kujua mziki mbona unakuwa mawazo finyu.
Nimekusachi kumbe timu kiba hunisumbui, eti 89 mdogo au anakula kwa baba na mama yako mpaka hivi sasa, kaangalie washindi wa MTV MAMA 2013 Diamond alishinda best entertainer na kura walipiga jopo la majaji wa MTV MAMA na si kura zenu za online, ndio jiulize wazungu wamempa sasa ww utakuwa nani.user name joseph1989@gmail.com
password: mama1989
haya bana
ila diamond hawezi kuimba live, elewa hivyo
Nimekusachi kumbe timu kiba hunisumbui, eti 89 mdogo au anakula kwa baba na mama yako mpaka hivi sasa, kaangalie washindi wa MTV MAMA 2013 Diamond alishinda best entertainer na kura walipiga japo la majaji wa MTV na si kura zenu za online, ndio jiulize wazungu wamempa sasa ww utakuwa nani.
Sasa mm na ww nani ameanza kumsearch mwenzake? Google andika sifa za best entertainer ni zipi ndipo utajua hajui au anajua, kumbe pamoja na ukubwa wako bado upo ktk hizi timu, hata nikisema nn huwezi ni elewa ww timu kiba, ila mzungu 2013 MTV MAMA ndiye anayejua.mpaka una search watu!! na unasema umenisearch ha ha...
weka clip diamond akiimba Live hapa
Write your reply...
Wakenya ndo washamba kwny show yaan wamepoa
Subiri team zije
Ohoooo team tayari imetimbaWewe naona km sio Jike basi mvaa Mask @ kura badala ya kula [emoji1320]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huu ni ushahidi tosha kua Wasafi walibironga. Wakenya wamemind.
Diamond anaweza sana kuimba live. Si umfuatilie coke studio.user name joseph1989@gmail.com
password: mama1989
haya bana
ila diamond hawezi kuimba live, elewa hivyo