Nairobi - Mambo aliyozingua Diamond -Simba- Dangote

Nairobi - Mambo aliyozingua Diamond -Simba- Dangote

Unafanisha show za mbele na za ndani, show za mbele bajeti yake ni kubwa na kwa TZ, Diamond baadhi ya show huwaga anatembea na bendi ukiona hivyo bajeti haijatosha.

Ila upande wa ku synchronize kuimba na kucheza si Diamond anayepata Diamond anayepata tabu, nishaangalia show za Cris Brown na Jason Derulo nao huwaga wanachemka upande wa sauti na kuconcetrate sana kucheza, hapa duniani msanii anaweza kuimba na kucheza kwa wakati mmoja ni Beyonce pekee na kwa Africa Fally Ipupa na Mr Flavor.

Kuhusu kuweka sauti ya kike si lazima hata mbele Kuna wasanii wakubwa, huwa hawaweki sauti za kike, kwenye nyimbo zao walizo walizo washirikisha wanawake.

Ila Mondi anahitaji sana mazoezi ya pumzi sababu kuimba na kucheza unatakiwa uwe na upepo wa kutosha kwani mara nyingi anaanza vizuri mwanzo, ila akifika kati upepo unapungua au labda inawezekana ukawa uchovu sababu kwa siku sita amefanya show nne mfululizo sehemu tofauti.

good

ila dimond, live hawezi, hawezi na Ijulikaje hana sauti ya live
 
good

ila dimond, live hawezi, hawezi na Ijulikaje hana sauti ya live
Sauti ya live anayo kama angekuwa hana asingeimba na kwa Tanzania Diamond ndiye msanii ana bendi yake, kwa hiyo malipo ya live na cd yote yana hela yake, tatizo la mondi ni ku synchronize kuimba na kucheza anachemka ndivyo vinavyomfanya pumzi ikate akifika kati, Diamond show za Mayotte, Malawi, Msumbiji, Congo zote kapiga live na bendi yake.
 
Sauti ya live anayo kama angekuwa hana asingeimba na kwa Tanzania Diamond ndiye msanii ana bendi yake, kwa hiyo malipo ya live na cd yote yana hela yake, tatizo la mondi ni ku synchronize kuimba na kucheza anachemka ndivyo vinavyomfanya pumzi ikate akifika kati, Diamond show za Mayotte, Malawi, Msumbiji, Congo zote kapiga live na bendi yake.

umezaliwa mwaka 1989

hakuna waimbaji wazuri wa live nchi hii kama wanamuziki wa dansi, kiba, THT wote

Mond hawezi kuimba live, dsm ingesimama

weka clip yake moja tu ambayo anaimba live, kavukavu na please kama utaikuta mbovu usiweke, naomba nicheke kwa vitu vya msingi
 
umezaliwa mwaka 1989

hakuna waimbaji wazuri wa live nchi hii kama wanamuziki wa dansi, kiba, THT wote

Mond hawezi kuimba live, dsm ingesimama

weka clip yake moja tu ambayo anaimba live, kavukavu na please kama utaikuta mbovu usiweke, naomba nicheke kwa vitu vya msingi
Sasa swala la kuzaliwa, linahusiana nini na kujua mziki? Hunijui na hatujuani kuwa mkubwa hakukufanyi ww unajua kuliko mm, clip sina nenda YouTube search hizo show utaona. Eti Umezaliwa 89 kwa hiyo ww 89 umeona mdogo au ww bado unakula kwa baba na mama yako, hebu tuheshiniane kwani hamna mahusiano ya kuwa na umri mkubwa nakujua vitu.
 
Sasa swala la kuzaliwa, linahusiana nini na kujua mziki? Hunijui na hatujuani kuwa mkubwa hakukufanyi ww unajua kuliko mm, clip sina nenda YouTube search hizo show utaona. Eti Umezaliwa 89 kwa hiyo ww 89 umeona mdogo au ww bado unakula kwa baba na mama yako, hebu tuheshiniane kwani hamna mahusiano ya kuwa na umri mkubwa nakujua vitu.Ww una matatizo yako ina maana kiba na THT hawajui kuimba live? Naona unataka ligi.

kumbe kweli umezaliwa mwaka 1989..uko exposed sasa...umeconfirm


haya weka clip ya diamond akiimba live hapa

weka link kutoka utube

Diamond hajui kuimba Live, iko wazi hii
 
kumbe kweli umezaliwa mwaka 1989..uko exposed sasa...umeconfirm


haya weka clip ya diamond akiimba live hapa
Nimekupa reference hutaki kutafuta sasa unataka nini, mimi nimezaliwa 89 so what, linahusiana nini kujua mziki mbona unakuwa mawazo finyu.Alafu nimegundua kumbe, kubwa zima lakini mambo ya timu yamekutawala, maana hata ukubwa wako siuoni, we kubali kataa ila Mondi ni mkali kwenye jukwaa na entertainer MTV MAMA 2013(japo la majaji na si kura zenu za online), kapewa tuzo, best entertainer.
 
user name joseph1989@gmail.com

password: mama1989

haya bana

ila diamond hawezi kuimba live, elewa hivyo
Nimekusachi kumbe timu kiba hunisumbui, eti 89 mdogo au anakula kwa baba na mama yako mpaka hivi sasa, kaangalie washindi wa MTV MAMA 2013 Diamond alishinda best entertainer na kura walipiga jopo la majaji wa MTV MAMA na si kura zenu za online, ndio jiulize wazungu wamempa sasa ww utakuwa nani.
 
Nimekusachi kumbe timu kiba hunisumbui, eti 89 mdogo au anakula kwa baba na mama yako mpaka hivi sasa, kaangalie washindi wa MTV MAMA 2013 Diamond alishinda best entertainer na kura walipiga japo la majaji wa MTV na si kura zenu za online, ndio jiulize wazungu wamempa sasa ww utakuwa nani.

mpaka una search watu!! na unasema umenisearch ha ha...

weka clip diamond akiimba Live hapa
 
mpaka una search watu!! na unasema umenisearch ha ha...

weka clip diamond akiimba Live hapa
Sasa mm na ww nani ameanza kumsearch mwenzake? Google andika sifa za best entertainer ni zipi ndipo utajua hajui au anajua, kumbe pamoja na ukubwa wako bado upo ktk hizi timu, hata nikisema nn huwezi ni elewa ww timu kiba, ila mzungu 2013 MTV MAMA ndiye anayejua.
 
Write your reply...

Wakenya ndo washamba kwny show yaan wamepoa


Diamond analazimisha watu waimbe nae kila baada ya dakika 2, alitakiwa wapagawe na show sio kwa kulazimishwa. Nafikiri Diamond anajali sana kucheza kuliko vocal, kitu ambacho kwa level alizofikia sasa awe makini navyo
 
Hakuboronga soma Uzi vizuri team Kibamia

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ushahidi tosha kua Wasafi walibironga. Wakenya wamemind.
Inabidi apate darasa jinsi ya kufanya show
Screenshot_2019-01-01-17-41-41-1.jpeg
Screenshot_2019-01-01-17-40-05-1.jpeg
Screenshot_2019-01-01-17-29-26-1.jpeg
Screenshot_2019-01-01-17-30-28-1.jpeg
Screenshot_2019-01-01-17-32-01-1.jpeg
Screenshot_2019-01-01-17-34-34-1.jpeg
Screenshot_2019-01-01-17-34-55-1.jpeg
Screenshot_2019-01-01-17-35-55-1.jpeg
 
user name joseph1989@gmail.com

password: mama1989

haya bana

ila diamond hawezi kuimba live, elewa hivyo
Diamond anaweza sana kuimba live. Si umfuatilie coke studio.
Shida ya diamond ni moja anapenda kucheza anasahau kuna kuimba. Dancers wa nini kama anataka kucheza zaid kuliko kuimba. Huwez imba huku unacheza ni ngumu sana kumaintain. Na ndicho hicho kinamuangusha diamond angefataga ushauri wa kuwaachia dancers wacheze yeye aimbe tu
 
Back
Top Bottom