TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Viongozi wa dini wamekutana na ndg Raila Odinga ili kujadiliana kwa suala la amani, katika kikao hicho ajenda kubwa ilikuwa suala la AMANI kuliko HAKI.
Baadhi ya wanachama wa Azimio wamesema kuwa, wao hawapingani na Amani bali wanapinga Dhuruma, pia wameendelea kusema hawataki Amani ya kulazimisha bali wanataka Haki.
HAKI NI AMANI.
Pichani chini ni baadhi ya matukio wakati wa ibada hiyo ya Amani iliyofanyika nyumbani kwa Raila eneo la Karen jijini Nairobi.