Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Haki ipi tena zaidi ya kumchagua Rais mnayemtaka, na ni Ruto kwa sasa.Haki ikitendeka sote tutahudhuria sherehe ya uapisho na kumpa ushirikiano rais mpya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki ipi tena zaidi ya kumchagua Rais mnayemtaka, na ni Ruto kwa sasa.Haki ikitendeka sote tutahudhuria sherehe ya uapisho na kumpa ushirikiano rais mpya.
Haki ipi tena zaidi ya kumchagua Rais mnayemtaka, na ni Ruto kwa sasa.
sorry boss. ni bahati mbaya! sawa sirudii tena nimekoma kumwanya kabisaTafadhali hebu acha kuiga Kiswahili potofu cha wakenya. ako ndio nini sasa?
Jaluo umepigwa za usoHaki ikitendeka sote tutahudhuria sherehe ya uapisho na kumpa ushirikiano rais mpya.
Alisikika mlima viazi wa Bunju akinenaKwani matokeo yalisemaje?!
Mahakama?!
Wagombea?!
Imeshatoka hiyo.. .. Raila keshapelekwa Chaka na kina . Uhuru .. ..
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Raila hana maajabu hajatoa ushahidi kwa public kama govi keshalitoa mi naona ni aibu ya kushindwa na bwana mdogo tu inamsumbua, kura zimehesabiwa kihalali mbele ya Kikwete nae akaona Jaluo kaangukia pua kama ambavyo mimi niliona huku TZ kabla ya upigaji kura maana mkamia maji huwa hayanywi huku tunae Lowaswa Mamvi nae alipigana mno ila mi nilijua hatopata urais hadi kaburini sababu urais ni zali tu kuokota embe dodo ukiusaka sana hadi kuchora mawe nchi nzima au kugawa mitungi ya gesi huupati!Kura tumepiga vizuri tu, ila kunao wakuu wameibua tuhuma kwa kusema kura zao ziliibwa, na kwamba watafungua mashtaka, hivyo kwa taifa linaloheshimu misingi ya kisheria na demokrasia, inabidi tusubiri mwisho wake.
Unamjua Odinga kweli? Ana kura 6.9 Ruto ana 7.1 Million yaani nchi imepasuka nusu, so akiamua kulianzisha Ruto hawezi kutawala itakua migomo ya walimu, madaktari Kila siku kama ilivyokua 2013-17. So hizi kejeli hazina faida maana wanajua akiamua kulianzisha ikulu ataikimbia.Na hapo Ruto keshasema yeye siyo muumini wa story za handshake
Point Yako inaleta maswali zaidi, nani aliyeutafuta Urais kwa mabavu kama sio Ruto ambaye tokea 2013 yupo kwenye kampeni!! Hajafanya lolote miaka 10 zaidi ya kuzurura kusaka kura.Raila hana maajabu hajatoa ushahidi kwa public kama govi keshalitoa mi naona ni aibu ya kushindwa na bwana mdogo tu inamsumbua, kura zimehesabiwa kihalali mbele ya Kikwete nae akaona Jaluo kaangukia pua kama ambavyo mimi niliona huku TZ kabla ya upigaji kura maana mkamia maji huwa hayanywi huku tunae Lowaswa Mamvi nae alipigana mno ila mi nilijua hatopata urais hadi kaburini sababu urais ni zali tu kuokota embe dodo ukiusaka sana hadi kuchora mawe nchi nzima au kugawa mitungi ya gesi huupati!
iko hivi ukiona mtu flani anatumia nguvu kubwa kutafuta cheo flani huyo ana kitu kibaya amekipanga ni ufisadi au mauaji ya watu flani amepanga mkosee tu mumpe mtajuta halafu watu hawa wasakaji vyeo na mamlaka huwa hawapati kwakuwa hudhani wao wakipewa watafanya bora zaidi ya aliekalia kiti kumbe hawajui mziki wake! mf unaweza kudhani kuwa Mwalimu ni kazi rahisi tu kufundisha dkk 40 tu ila siku ukiupata ualimu unashangaa kumbe unatakiwa kuandaa vipindi na notes ndo ulale saa 7 usiku kila siku mwaka mzima kama unataka ufaulu wa A kwa wanafunzi wako na kupanda cheo!!
Binafsi because Mau Mau walipigana wakikuyu siamini kama Jaluo atakuja kuwa Rais wa Kenya under Kenyatta family's watch!! Jaluo ni mbinafsi na mjuaji mno!
Huwa nikienda sana Nairobi ukipita border askari anakuuliza utarudi lini kwenyu yaani wabaguzi mno nikiwa pale mjini mitaa yangu Tom mboya street, Latema Road na River Road na kule majengo kwenye soko la Miraa wamejipanga wanauza kwenye makapu kama sisi tunavyouza karanga!!
This step taken so far is good for the growth of democracy but ngoja wafungue mafaili tupate kujua yaliyomo japo sidhani kama itasaidia kitu because I believe the system and tume favour Mr Ruto as President elect. It might be just a technique from Raila who knows deep in his heart that he is beaten to just minimize supporters' pain for losing this election which they invested million of dollars and lots of timeUPDATE:
Mzee mzima RAO hataki mchezo na vijana wa kizazi kipya amepeleka ushahidi ukiwa kwenye canter mahakamani.
View attachment 2331404
MK254 Zuga
But RAO bado mdogo sana kiumri ukilinganisha na baadhi ya marais waliopo madarani, kuna mmoja anakimbilia 9x, wkt RAO ana 7x.This step taken so far is good for the growth of democracy but ngoja wafungue mafaili tupate kujua yaliyomo japo sidhani kama itasaidia kitu because I believe the system and tume favour Mr Ruto as President elect. It might be just a technique from Raila who knows deep in his heart that he is beaten to just minimize supporters' pain for losing this election which they invested million of dollars and lots of time
I would wish to meet Raila and look him in the eyes and ask him as to why he wants to be president that much! amepanga nini na urais? ( the moment of truth) wakenya tum remind Raila this time is the best for his retirement from high level politics arudi Kisumu kupumzika, how many years amecontest in vain? he should feel the shame!!