Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Nandio nilikua namjibu uyo anaesema mwanza kuna zidi arusha ajibambe...
akitokea mkenya anasema kisumu ni better kwa mombasa lazima wakenya wenzie wamjibu!!
tuendelee na topic
jiji la mwanza linaloundwa na manispaa mbili pembezoni mwa ziwa Victoria unataka ulinganishe na arusha kimji kifinyu chenye biashara dolo. jiulize kwa nini majiji ya dar na mwanza tu ndo yana manispaa ndani yake labda utaondoa ujinga